mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nampenda mchepuko wangu kuliko mke wangu

    Pamoja na kuwa katika dunia ya sasa imekuwa vigumu saana kumpata mwanamke au mwanaume ambaye anatambua nafasi yake vizuri, yaani kama ni mwanamke anajua mwanaume na mwanamke hawako sawa, kama walivyo kuwa mama zetu wa zamani. Lakini kuna mwanamke nimempata nilimtongoza kwa nia ya kutaka kula...
  2. JamiiForums Tanzania Nilimkopesha mtaji akaenda kumwambia mke wangu yeye ni mke mwenza

    Wazee hakuna binadamu amezaliwa na roho mbaya tunafundishana nimeamini. Leo ndoa haikaliki kisa tu msaada na huruma yangu iliniponza, kiukweli nilimla siku 1 ila sasa anaharibu nyumbani. Hela yangu ameshanilipa sasa balaa ni hapo anasema nilimhonga na anatamba kwa mke wangu yeye ni mke mwenza...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?

    Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani. Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja...
  4. JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka tuweke pochi mezani kila mwisho wa mwezi.

    Wakulungwa! Hii Ndio itakuwa Salam yangu rasmi. Wakulungwa!!!... Wakulu. Mimi Nina familia imebarikiwa niseme ukweli wa wazi. Na mabarikio yanatokana na kujituma na kutii wakubwa na wadogo. Kimsingi hata mtoto wangu wa miaka 2 namheshim na nikimkosea au ninapohisi amekosewa nikiwa around. Na...
  5. JamiiForums Tanzania Startimes mmenigombanisha na mke wangu

    Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi. Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka

    Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu. Kuna member humu ndani ameanzisha uzi juu ya kuchepuka na mke wa mtu, na pia akatoa ushauri kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kuna member humu anatembea na mke wangu, nitakachomfanya tusilaumiane

    Nimegundua kuna member humu ndani anatembea na mke wangu kutokana na uzi aliouandika humu. Uzi wenyewe ni huu Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza Member alieandika huu uzi anatembea na mke wangu, na mke wangu amemdanganya vitu vingi sana...
  8. JamiiForums Tanzania Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili. Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

    !
  10. JamiiForums Tanzania Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

    Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano. Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure...
  11. JamiiForums Tanzania Mke wangu ananidharau nifanyeje?

    Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike, sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu. Sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua. Kinachoniuma ni kuona watoto...
  12. JamiiForums Tanzania Najuta kuoa huyu mke wangu Adelina

    Wakuu, Kweli nimeamini hawa viumbe ni nyoka aisee, nimekoma kuoa hawa watu watu kutoka kanda ile ya Kaskazini, hawa wanawake siyo poa kabisa najuta kabisa, dah! Huyu mwanamke anajikuta ni 'feminist' sana, jeuri, kiburi na dharau juu, sijui kwanini ananifanyia hivi, sijui anajua nampenda sana...
  13. JamiiForums Tanzania Mke wangu Adelina Kimambo

    Good morning! Huyu mwanamke nampenda sana na wala mpaka sasa sijaamini kwanini yupo na mimi aisee, jinsi mimi nikijiangalia wala hata siamini kabisa japo mimi naishi Marekani na ako pesa za kubadilishia mboga lakini siamini kabisa. Mke wangu Adelina Kimambo kwanza ametokea familia ya kitajiri...
  14. JamiiForums Tanzania Kimada alivyonifanya nimsahau mke wangu yaliyonikuta Najuta

    Hii ni story ya kweli nilisimuliwa na jamaa yangu nami naileta kwenu kama funzo. Ilikuwa mwaka 2004 ujenzi wa barabara ya Shinyanga-Mwanza umepamba moto chini ya Grinaker LTA nami nikiwa mmojawapo kati ya wafanyakazi wa kampuni hiyo. Kazi yangu ilikuwa ni kugawa mafuta kwenye magari na mashine...
  15. JamiiForums Tanzania Namshangaa mke wangu ananunua sana CHUPI kuliko Sindiria ona sasa matiti yanadondoka TUBWi, hadi wa Ng'ambo wanaliona TITI lililo lala ni aibu

    Miaka kadhaa iliyopita nikiwa maeneo ya Namanga Makangira nikiwa njiani kuelekea kanisa la St Peter pale, nilipofika karibu na shule ya msingi Mbuyuni Kuna gari moja ilitokea Mwenge, karibu na Mbuyuni palikuwa na kijishimo uchwara yule bwana aliendesha gari Kwa kasi na kunimwagia Yale maji(kama...
  16. JamiiForums Tanzania Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

    Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha. Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya...
  17. JamiiForums Tanzania Nikipata mshahara tu ghafla mke wangu namuona kama anageuka kuwa ngendere

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, yaani nikipata mshahara tu gafla namuona wife anataka kugeuka kuwa ngedere, yaani anabadilika kabisa huwezi amin. Yaani nataman hata kumpeleka Hifadhi ya Mikumi. Kwanza masikio yake nayaona yanataka kuwa marefu kama ngedere, manyoya ya mgongo...
  18. JamiiForums Tanzania Barua kwa atakayekuja kuwa mke wangu

    Natumai u mzima wa afya mke wangu, mimi naendelea vizuri sema niombee sana ukipata muda, haijawahi pita siku sijakuombea, hivi uko wapi?, unafanya nini?, tutaonana lini?, itakuwa wapi?,,mke wangu roho inaniuma kila nikiwaza kuwa kuna uwezekano mkubwa upo namwanaume saizi, mke wangu napata wivu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mke wangu kutokubadilika

    Habari za Leo Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35 nimeoa na kubahatika kupata watoto wawili. Nimeoa takribani miaka 6 iliyopita na mke wangu nilimtoa kijijini kutokana na hali yangu ya uchumi haikua sawa. Changamoto iliyofanya kuandika huu uzi ni kwamba mke wangu habadiliki kabisa, ule...
  20. JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    Wakuu naomba ushauri. Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja. Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…