mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanaume aomba ushauri kufuatia mke wake kufariki baada ya majibu ya DNA

    Imetokea nigeria mwanaume mmoja aliamua kupima watoto wake wawili DNA. Majibu yakatoka watoto wote si wake. Mkewe akafa ghafla baada ya kupata majibu. Ungekuwa weae ungechukua uamuzi gani kwa watoto au unampa ushauri gani huyo jamaa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3

    Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Jirani na Mke/Mchepuko wake, Ulivyonigombanisha na Mke wangu

    Wakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi. Sisi tunaishi eneo moja tulivu sana, eneo moja wapo huku Bunju. Tunakaribia Miaka Miwili tokea tuhamie. Tuna jirani yetu, amehamia hana hata Mwezi so hatufahamiani zaidi ya kuonana njiani hasa nyakati...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nimekamata Ujumbe Katika Simu ya Mke Wangu Akimtumia Mama Yake Majina ya Wanawake Anaohisi Kuwa ni Michepuko Yangu, Nimeshangaa na Kufadhaika.

    Msaada wenu tafadhali. Amechambua jumbe zangu katika simu yangu, kila jumbe ya kike iliyokuwa tata kidogo kwake amelitafuta jina la namba hiyo na sasa amemtumia mama yake majina yote. Hili nimeligundua leo baada ya kuinasa katika siku yake.....bila shaka alijisahau kuifuta. Majina haya...
  5. Termux

    JamiiForums Tanzania Kukosa hamu ya kula na uchovu, mate kujaa mdomoni sana ni dalili ya nini?

    Habari JF, mke wangu mimba yake ilitoka ikiwa na mwezi mmoja. Lakini tangu itoke ni mwezi sasa na bado anatema mate mengi sana. Je inaweza ikawa ni dalili ya nini? Ni mimba au inaweza ikawa tatizo lengine?
  6. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Machozi ya mtoto wa jirani yangu yamenisikitisha sana

    Habari muda huu Wana JF, Kuna kisa nilileta hapa kuwa mtoto wa Jirani yangu amezoea kuniita baba. Jana majira ya saa 5 asubuhi, ilibidi niwaage Jirani zangu baadhi ambao tumeishi vizuri muda wote niliokuwepo hapa, sehemu niliokuwa naishi Ina nyumba 3 Ila ziko kwenye fensi moja Jirani yangu...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu tunafurahia sana ndoa yetu, ijue maana ya kumuita mwanadani wako "Baby"

    Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako baby basi utafurahia maisha ya mahusiano yako, hasa wote mkiwa mnafahamu hilo Sasa je nini maana ya...
  8. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

    Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa. Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana JF mpaka wakaoana, na kuwa na familia kabisa, mtakaonijibu mje na ushaidi...
  9. Ma mbwa

    JamiiForums Tanzania Nina damu group 0+ na mke wangu ana group 0- msaada tafadhali

    Habari waungwana, Niende moja kwa moja kwenye mada, ni hivi mimi Nina group 0+ lakin wife ana 0- mke wangu alipopata ujauzito niliambiwa ili mtoto wetu aweze kuishi ni lazima achome sindano ya ant-D. Sindano moja tu inauzwa laki mbili na elfu themanini kwa kipindi hicho na kweli alichoma...
  10. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Natarajia kumuoa mke wangu Elineema Shayo

    Mke wangu ni Elineema Shayo mtoto wa kibopa,msomi wa ngazi ya shahada ya uzamili na mwanamke au katika wanawake wenye akili kuwahi kuishi nae maisha yangu sijui kwanini nimechelewa kumpata ila japo ni single mother lakini ananipenda sana na kunijali kwenye shida na raha Elineema shayo alinikuta...
  11. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Je, watoto watanichukia

    Habari zenu Wana Jf Tumekuwa tuna ugomvi Mara kadhaa na wife me sio muongeaji Sana..nikionaga ugomvi ni mkubwa nakaa kimya au naondoka lkn Kama mmegombana usiku ujue uwezi kulala ataongea na kulaumu kila kitu. Wife ana tabia mkigombana tu au ukampiga vibao viwili vitatu anakimbilia...
  12. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kuna utofauti wa mke wangu na hao wake zenu sometime wana act kama dada poa

    Hivi fikiri mke wa mtu anavaa nguo fupi sana haipiti magoti halafu mbaya zaidi akikutana na wanaume anaweka kanga ili wanaume wasione mbunye huo si Udada poa? Wake zenu wanavaa Madera marefu halafu anatumia mkono wa kushoto kulishikia huo ni uchangudoa nawaambia Mke wangu yeye ni full stara...
  13. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nimeota tunasafiri kwa kupaa nikiwa na mke wangu na mtoto

    Ilikuwa na safari nzuri sana japo kuna wakati yale mafeni tuliyokuwa tunayatumia kupaa yalikuwa yanagoma kuzunguka ila kabla hatujadondoka yanazunguka tena huku mke wangu akiwa na mtoto mgongoni tulienda kutua kwenye mji mmoja ambao nilona kuna fremu nyingi za biashara huku kukiwa na biashara...
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu nifundisheni jinsi ya kumpa mwanamke mimba

    Kama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida. Nawaza labda naeza kwenda kujaribu kwa mwanamke mwingine kisha inase na sipo tayari kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya huyu. Kama...
  15. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Wimbo 'naheshimu madanga ya mke wangu'

    Kwani basata kazi imewashinda? Nipo kwenye basi naskia wimbo wa singeli mtu anaimba et naheshimu madanga ya mke wangu! Hivi wanetu watajifunza nini kwenye wimbo kama huu?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mke wangu vitendo ulivyomfanyia Mama yangu sitosahau kamwe

    Ilikuwa ni mwishoni mwa Mwaka jana 2022. Basi kutokana na kazi nyingi za kijamii huku ikizingatiwa kuwa Taifa tulikuwa bize ktk kujenga nchi, huku wengine tukihitajika zaidi katika maswala ya kitaifa ikiwemo swala la maridhiano, katiba Mpya, mfumuko wa bei ya bidhaa, kuifungua nchi na harakati...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Sijamuelewa mke wangu

    Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda...
  18. Heci

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

    Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato. Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya. Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta...
  19. Phobia

    JamiiForums Tanzania Nimechapiwa mke wangu na mzoa taka

    Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae Mimi nafanya kazi ya kuendesha magari makubwa ya kwenda Congo kupeleka mizigo...
  20. kwisha

    JamiiForums Tanzania Nampenda mchepuko wangu kuliko mke wangu

    Pamoja na kuwa katika dunia ya sasa imekuwa vigumu saana kumpata mwanamke au mwanaume ambaye anatambua nafasi yake vizuri, yaani kama ni mwanamke anajua mwanaume na mwanamke hawako sawa, kama walivyo kuwa mama zetu wa zamani. Lakini kuna mwanamke nimempata nilimtongoza kwa nia ya kutaka kula...
Back
Top Bottom