mimi

  1. Mimi ni kijana wa miaka 20 nahitaji ushauri wa wa kazi nayoweza kufanya kulingana na elimu yangu

    Wakuu nawasilisha kama kichwa kinavyojieleza nahitaji mnipe ushauri kama mdau wenu. Nilifeli kidato cha nne mwaka 2018 mpaka sasa hivi nipo nipo tu sina cha kufanya naishi na wazazi wangu wote bila kumsahau dada na kaka yangu ambae anasoma chuo hapo UDOM. Mara zote nimekuwa nikiisaidia familia...
  2. P

    Dereva wa uber natafu gari ya kazi iwe hesabu au mkataba

    Mimi ni dereva wa uber natafu gari ya kazi iwe hesabu au mkataba pia nina account ya uber na leseni namba yangu ni 0764254637
  3. Huyu mwanamke ana Watoto wanne kutoka kwa baba wanne tofauti mimi nataka kupewa Uuncle mbuzi. Never, Mjipange Wanawake

    Zaman ilikuwa ngumu sana kukuta mwanadada ana watoto wawil, watatu wana baba tofaut tofaut. Mimi sikuwa nikikutana sana na matukio ya hivi. Naumwa toka last week. Sometimes nakuwa fresh then nakuta kichwa kinawaka moto mpaka kizunguzungu. Ninepima Typhoid, Malaria, UTI, Pressure, kiwango cha...
  4. Pigo za Mimi mars mmezielewa

    Aisee😋😋😋
  5. Mimi ni mwanaume rijali ninaeogopa madudu washawasha na umbali wa kutoka juu hadi chini

    Kusema ukweli Mimi ni rijali na vigezo vifuatavyo vinathibitisha Hilo. Nina six pack Mrefu Mweusi Katili kidogo Sijawahi kupigwa kwenye ngumi. Nk Ila udhaifu wangu ukitaka nilie kama mtoto mdogo nirushie dudu washawasha lenye manyoya na likitembea linajinyonga nyonga. Uoga wangu wa pili ni...
  6. Sijui nifanyaje mimi...

    Habari za sasa wakuu, mpaka naandika uzi huu nipo njia panda sijui nielekee wapi? Sijui nifanyaje mimi!? Ni muda sasa tangu mpenzi wangu aanze kulalamika anasumbuliwa na jamaa mmoja hivi (ambayo ni kilema) Sasa anasema anamuonea huruma kwahiyo anataka amkubalie. Dah! Sasa mimi sielewi...
  7. Hii ni tabia mbaya nionavyo mimi, kwa mashoga na madogo wa mke

    Nashangaa kitanda nacholalia iweje mke wangu ulale na dada yako, na wakati kuna chumba kingine, ati kisa mimi sipo? Nashangaa bafu la chumbani wadogo zako wanalitumia na wakati unajua ni la wawili tu mimi na wewe na wakati huo kuna bafu tena la ndani hapo kwenye korido? Nashangaa we dogo...
  8. Nimeelewa kwaninj wanawake wanataka wanaume wenye umri wa kuanzia miaka 30

    Habarini wanajukwaa. Mwezi ujao naingia miaka 31 kwa sasa nipo ukingoni mwa 30. Kwa nipo na mke wangu tukiwa na watoto wawili. Maishani mwangu nilianza rasmi kuwa na mahusiano serious ya kimapenzi nikiwa na umri wa miaka 17. Nikiri tu ya kwamba tangu nikiwa umri huo mpaka nafikia 30 kwa...
  9. Je mimi ni mzembe sana?

    mambo vip wakuu! nimekumbuka kisa kilichoniumiza sana.. miaka iliyopita nilifaulu kupata kazi kwenye shirika la umma lakini ilikuwa mkataba.baada ya mkataba niliendelea kusaka ajira hapa na pale sasa nilifaulu kuingia practical moja maswali yalikuwa vizuri kabisa ila computers nilikuwa natumia...
  10. B

    Mimi siyo Tajiri. Mngemwona Baba yangu mngezimia na kufa kwa mshangao

    Wengi nikiandika humu maisha yangu wanadhani mimi ni tajiri. Wala si tajiri. Maisha ya kumiliki gari GMC,RR,Mercedes Benz, BMW, VW za miaka ya hivi karibuni na kukaa apartment Oysterbay si utajiri. Nawakatilia kabisa.ni maisha ya kawaida ambayo mtanzania yeyote anaweza ishi. Mimi kusafiri kwa...
  11. Rais Museveni: Sitaki kupatanishwa na Upinzani

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameonya watu wenye lengo la 'kumpatanisha' yeye na upande wa upinzani baada ya kumalizika uchaguzi mkuu uliompa ushindi kuongoza muhula wa sita. Huku upande wa upinzani unaoongozwa na msanii Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine aliyeshika nafasi ya pili miongoni...
  12. Hivi nikiwaambia Mimi ni mzungu kabisa mtaamini? Au mtakataa?

    Mimi ni mzungu kabisa baba yangu ni mu Irish na mama anatokea Scotland hivyo ni mskochi Kama hamuami shauri yenu.
  13. Mimi mwanaume mweupe, napenda sana wanawake weusi. Je, ni mimi tu au?

    Kiukweli linapokuja swala la mwanamke kwangu inabidi awe mweusi kwakweli. Huwa inanipa hisia za ushindi kwamba nimepata mwanamke adimu ambaye hajajichubua na ni mwafrika orijino. kwa sasa nimeo na mke wangu ni mweusi, na hata hapo zamani nilikuwa kinganganizi msumbufu mno kuhakikisha binti...
  14. Mimi Piga ua, Magufuli namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono: niulize kwanini?

    Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince. Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini. Kwani ni lengo lao...
  15. Kitabu katika kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar sehemu ya kwanza. Pitio la kitabu: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

    KITABU KATIKA KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SEHEMU YA KWANZA PITIO LA KITABU MIMI, UMMA PARTY NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MWANDISHI: HASHIL SEIF HASHIL Kuandika historia ya ukombozi katika nchi za Kiafrika kunahitaji ujasiri mkubwa sana na sababu yake ni kuwa Afrika ina historia rasmi...
  16. N

    Mimi Nasoma HGL, hivi chuo naweza kusomea Geology?

    Mimi nasoma HGL hivi chuo naweza kusomea GEOLOGY?
  17. Natafuta nafasi ya kazi ya Ualimu

    Habari za majukumu wana JF education? Naamini katika mafanikio ya kila mtu kuna mtu nyuma yake hata kama mafanikio yako yalikuja bila kusaidiwa na mtu naamini umewahi kusaidia mtu. Humu ndani kuna wamiliki wa shule, maheadmaster, headteachers, managers, HRs nk. Naomba msaada wa kutimiza...
  18. J

    Membe: Sijaumbwa kuwa Rais wala sina tamaa ya Urais, mimi sitaki nionekane kibwengo

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea. Membe amesema yeye hana tamaa na wala hajazaliwa ili awe Rais ndio maana anabakia kuwa mshauri. Ni fisi tu ndiye mwenye...
  19. M

    Kutokana na Umuhimu wake Kiuchumi kama kuna Habari ambayo nilidhani tungeijadili kwa Kina leo ni hii.......

    This' why most tourists do not return to Tanzania after first visit? Kwanini Watalii wengi wakiitembelea Tanzania mara ya Kwanza hawarudi tena? Taarifa: The Citizen Online na The Citizen Newspaper la leo. Kama labda Wanyama wetu au pengine hata Sisi huwa tunanuka bila kujijua hivyo tunawakera...
  20. Mzazi mwenzangu bado ananitaka licha ya yeye kuolewa

    Wakuu! Nimeandika haya ili wakujifunza ajifunze na wakupuuzia apuuzie hasa vijana ambao hamjaoa. Miaka saba iliyopita kabla sijamuoa Mke wangu kipenzi, tukiwa wachumba. Alitokea mrembo mmoja kutoka Geita, mimi nilikuwa chuo wakati huo yeye naye alikuwa chuo pale NIT Dar es salaam. Hapa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…