mimi

  1. Rais Samia: Mimi mfanyakazi Namba 1 sikupata nyongeza ya Mshahara

    Akizungumza kutoka katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi), #RaisSamia amesema ongezeko la 23% la Mshahara lililofanyika mwaka 2022 halikuwagusa Wafanyakazi wote akiwemo yeye. Amesema lengo la nyongeza hiyo ilikuwa kuwainua Wafanyakazi wa Kima cha Chini huku ikiongeza Posho kwa...
  2. Jirani anafosi nimle, mimi naona so

    Hellow african, Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza unaenda wapi nikamwambia basi akasema anaomba ni mbebee nyanya za 500 na vitunguu vya jero pamoja na...
  3. Hadi sasa sijutii kuwepo tigo postpaid, sioni dalili yoyote ya kuhama labda tu voda supakasi waje na vifurushi vya ziada kwa bei nafuu

    Ni tangu nwezi wa saba nafaidi mema ya internet ya Tigo postpaid. sina haja ya kujibana ama mambo ya kuzima data, natwanga tu. Offcourse kulikuwa na kash kash za speed kushuka usiku ila nilikuja kutatua tatizo kwa kutafuta wifi router naitega sehem yenye network internet speed saf tu. GB 80...
  4. Wallah nitakuroga, Chezea hao hao siyo mimi

    Hii kauli imenishangaza. Huyu demu ananitishia maisha hivi hivi? Sijalala usiku wote namwazia .... Hivi anajielewa huyu? Nlimuuliza amewahi date wanaume wangapi akadai wa 4 jumla na mimi. Sasa hao wengine mbona hakuwaroga na walimwacha? Au kama aliwaroga ilimsaidia nini? Nimewaza sijui...
  5. Huyu mchumba alitaka kumuua baba yangu kisha animalizie na mimi

    Usije ukadhubutu kudate mwanamke toka Kilimanjaro au Arusha. Usidhubutu. Nlipata demu mmoja wa kipare kipindi hicho nataka kuoa. Alikuwa anafanya kazi bank. So mara nyingi nikienda ku deposit mkwanja namtumia yeye. Akawa anaona account yangu imenona. Aka fall in love nayo. Mtoto alikuwa white...
  6. Hii ndiyo sababu ya mimi kutokuwa na huruma na Ndugu

    Baba yangu alifariki wakati nikiwa Mtoto mchanga hivyo nililelewa na Mama tu naye hakuwa na uwezo hivyo nilisomeshwa na wasamaria wema. Mtu pekee Aliyekuwa na uwezo wa kiuchumi ni dada aliyeolewa na yeye hakutaka mazoea kabisa. Kwa jinsi maisha yalivyokuwa magumu, nilipofika Chuo nikawa...
  7. Mimi ni kijana mwenye degree tatu ninaeuza nyanya Karatu

    Asikwambie mtu, biashara ni ngumu sana, isitoshe pesa hakuna. Vyuma vimekaza ilihali mama yangu anamiliki "garage" iliyosheheni makopo kibao ya grisi Nina shahada tatu nilizozisotea kwa muda mrefu sana. Mbali na kujibana bana kwenye matumizi ya boom langu ambalo nilihitaji kumega nusu ya pesa...
  8. Kuna ugumu Gani wa kumfikisha mwanamke kilelen?

    Binafsi nilichelewa kuingia kwenye ulimwengu wa kimahusiano. Moja ya sababu zilizonichelewesha ni uoga wa kutongoza. Nilikuwa mjanja sana ila Zuzu Kwa wanawake. Kutongoza ilikuwa ni adhabu kwangu, niliamua kuchagua Maisha tofauti mapenzi nikawaachia wengine!! Muda mwingi niliutumia kujifunza...
  9. Wana Simba SC naomba tujadili Kikosi kipi Kipangwe katika Derby ijayo ila Mimi nashauri tujilipue na hiki

    1. Aishi Manula ( kama Kapona ) 2. Shomary Kapombe ( kama Kapona ) 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock Inonga ( kama Kapona ) 6. Sadio Kanoute 7. Kibu Denis 8. Muzamiru Yassin 9. Jean Baleke 10. Clatous Chama 11. Saido Ntibanzokinza Baadae napendekeza Waingie wafuatao...
  10. Nipeni elimu juu ya madeni ya Luku, hayo madeni huwa yanakopwa na nani? Kwanini nidaiwe mimi kwenye meter yangu?

    Habari zenu wote humu ndani. Kuna sehemu ilikuwa na frem mpya kabisa nikaona nichukue chumba, kila chumba kina meter yake, cha ajabu leo hii naaka ninunue luku ya elf 5 inakataa, nikaweka umeme wa elf 10 nimeambuliwa kupewa unit 10 tu za ememe wa elf 3 huku deni likiwa elf 6, buku iliyobaki...
  11. KISA: Mwenye nyumba na wapangaji wenzangu walidhani mimi ni jambazi, siku walipojua kazi yangu walishangaa

    Pasaka njema kwa wakristo wote, naomba niwape kisa hiki cha ukweli kilichotokea kusini mwa Tanzania mkoa x katika nyumba moja ya Bibi mstaafu. Jinsi nilivyo muonekano wangu, sio mfupi sana wala mrefu sana niko wastani,mweusi ila nina sura ya upole, sina ndevu nina mwili wa wastani sio mnene...
  12. RPC Muliro: Sura yangu ya Ukauzu isiwatishe Mimi ni Mtu Mpole, Mkarimu na mwenye Huruma sana

    "Nina Upendo, Huruma, Mpole na Mkarimu sana kuliko vile ambavyo labda Watu wengi wanadhani" amesema RPC Kamanda Muliro Asubuhi hii akizungumza katika Kipindi Bora cha Jumapili cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho Mimi GENTAMYCINE ni Balozi wake Mkuu na wa Kujiteua Mwenyewe. Kamanda...
  13. Vidonda vya tumbo vinaanza kurejea, nifanye nini kukabiliana na changamoto hii?

    Msaada, Mimi ni mhanga wa acid kujaa kwenye tumbo had kupanda kwenye Koo Kwa muda wa miaka miwili. Nilienda hospital mbalimbal bila mafanikio ila nikaenda singida hospital ya itigi wakanipa dawa na vyakula ambavyo natakiwa nisitumie na mpangilio wa kula, kweli nikafanya hivyo baada ya miezi...
  14. Mimi na mke wangu tunafurahia sana ndoa yetu, ijue maana ya kumuita mwanadani wako "Baby"

    Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako baby basi utafurahia maisha ya mahusiano yako, hasa wote mkiwa mnafahamu hilo Sasa je nini maana ya...
  15. Nikutongoze tukubaliane, halafu nikukute na mwanaume mwingine uzuge zuge! Labda kama sio Makide mimi

    Nina mchumba angu wa tangia 2014. Ni single mother wa watoto watatu bado mbichi hajachujuka sana, ni kaunta Bar jina kapuni. Siku moja tulitofautiana nilikaa caunta nikala bia sana, namjua kitabia ukimpa upenyo anakuibia. Nilimpa Cash akanipa bia. Sikudai chench before hand. Akanipa larger...
  16. Hivi ni mimi ninayekula chakula kwa Speed au nyie Wenzangu mnawezaje kutumia nusu saa kwenye kula tu?

    Mimi banaa, nmekulia kwenye huu ustaharabu wa Kila mtu na Sahani yake. Lakini napo ilikua inanibidi kumwambia mwanandugu tuchanganye Msosi tule fasta fasta , sio kwamba lengo lilikua nikumpiga KO kama ambavyo wengi wasomaji mwaweza kudhania, la Hasha, lengo ilikuaga ni Ili tuwahi kumaliza...
  17. Msanii Mimi Mars atamani kupata mtoto

    MSANII wa Bongo Fleva, Marianne Mdee ‘Mimi Mars’ ameweka wazi kuwa anatamani kupata mtoto. Mimi Mars amesema baadhi ya watu wanadhani kuwa hapendi kuwa na mtoto, isipokuwa aliamua kujipa muda kidogo na kwamba hivi karibuni ataitwa mama. “Kila kitu ni mipango hivyo nilikuwa najipanga nikiwa...
  18. Wazungu ninaowajua Mimi ukiona wanakusifia Mwafrika jua yafuatayo...

    1. Wewe ni Empty Set 2. Wameshakudharau 3. Wanakusanifu 4. Wanafaidika nawe 5. Wamekutega na Umetegeka 6. Watapenda usiishie tu Kuwakaribisha Sebuleni Kwako bali watapenda hadi Chumbani ( Bedroom ) Kwako waingie. 7. Watakuambukiza Laana na Dhambi isiyosamehewa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu...
  19. Mimi mgeni nipokeeni jukwaani

    Mimi mgeni nipokeeni jukwaani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…