mimi

  1. Nachukia wanaopenda kuuliza suala la dini sababu siamini katika dini bali uwepo wa Mungu. Je, nipo sahihi?

    Kiukweli kwa Tanzania ukimwambia mtu huna dini unaonekana mtu wa ajabu sana. Ila kwangu nimekuwa nikijilazimisha sana na kuishi maisha ya kinafki sana ili tu nionekane nina dini ila kadri muda unavyokwenda najiona kabisa sina mihemko na hizi dini jamani iwe Christian au Islamic au buddha sijui...
  2. Mimi lawama zote nazielekeza kwa team ya azam fc wametimiza lengo lao la kuikomesha yanga

    Figisu kwa team ya young African zilianza kwenye match dhidi ya azam ile match tulioangalia wote tutakubaliana hapa kuwa azam alipania kuwaumiza wachezaji nyota wa young African kwa makusudi ili kuwakomoa kutokana na mgogoro uliokuwa umeibuka baina ya team hizo mbili na kupelekea yanga kupata...
  3. Kwa hakika Yanga Imeonewa kwa ukubwa sana japo mimi ni Simba ila ukweli usemwe kuwa lile ni goli

    Kama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa. Naibu waziri wa michezo kasema Mhe Hamisi Mwinjuma au Mwanafalsafa kasema kuwa hilo watalifanyia kazi. Sasa Nakukaribisha na wewe Uangalia Kweli hili sio goli?
  4. Kwa kiwango cha Omar pa Jobe na Fred Michael, hata mimi enzi zangu nakiwasha ndondoni hawakunifikia, ila bahati iko kwao

    Habari wadau, nawatazamaga hawa jamaa wawili strikers wa simba sc, hata siwaelewi, kipindi hiki tunakuwaje na viongozi wa kubahatisha kwa upande wa uteuzi wa wachezaji!!! Unawezaje kutuaminisha fred na jobe na proffessional players ilhali kiwango chao ni zero? Hapana, hapa tumepigwa na kitu...
  5. Huyu jamaa kuwauliza wakristu na waislamu swali ambalo Mimi nimeshindwa kulijibu

    Naomba mnisaidie kujibu hoja hii tafadhali.
  6. Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

    Kwanza kabisa namshukuru mh rais wetu. Anaupiga mwingi kinyama. Katika pita pita maishani nimezalisha wanake wa 4. Katika hao watatu hawa kila muda nikijisikia kutaka kulamba naomba napangiwa siku naenda nalamba. Na wote hao wameshaolewa tena. Wawili katika hao watatu wakinipangia ratiba...
  7. G

    Mimi G4N naomba kuteuliwa kuwa mwenezi. Nikiteuliwa tu, wanaccm wote wenye miaka 55+ nawafuta uanachama

    Sababu zangu ni hizi:- 1. Wamefikisha umri wa kustaafu, hivyo wakalee wajukuu zao. 2. Wanaziba nafasi za vijana. 3. Wao ndiyo wamelifikisha taifa hapa lilipo Sasa wanagombea ili iwe Nini tena? Naitwa G4N naomba kuteuliwa kuwa katibu mwenezi. Endapo nitateulowa nitafanya yafuatayo.:- 1...
  8. A

    Mimi ni fundi simu nipo kanda ya ziwa

    SAMAHANI MIMI NI FUNDI SIMU NAHITAJI CONNECTION YA KAZI KANDA YA ZIWA MWENYE CONNECTION
  9. M

    Veronika wakunifanyia haya Mimi?

    Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa...
  10. M

    Mimi mgeni

    Nikaribisheni , nilikuwa guest sasa hivi nimejiunga rasmi
  11. Ningekuwa mimi ndio Waziri wa Michezo ningejikita kujenga vyuo vya mpira wa miguu vitakavyo simamiwa na Taifa stars

    Kwanza kabisa mikakati yangu ingekua ni kuifanya Taifa starts ijitegemee kwa kujiingizia kipato chake yenyewe. Ningefanyeje kufanikisha hilo ningeomba bajeti kwaajili ya Taifa stars ijenge vyuo (Football academies) vya mpira wa miguu kila wilaya. Vyuo vitakavyo fundisha soka kwa watoto wadogo...
  12. P

    Ni lini viongozi wetu watakuwa na huruma na sisi?

    Kwa sauti ya unyenyekevu kabisa niiombe serikali iwe na huruma kwa wananchi wake. Nia ya kuanzishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii pamoja na bima ya afya ya taifa ni njema. Ila kinachoendelea sasa ni kwamba haya mambo yamekuwa kama laana, masikitiko kwa wanachama wake. Nimeshuhudia watu...
  13. Mchumba wangu kaniambia "Mimi ni mzuri bwana nitaolewa na mwanaume wowote yule tena kwa mahari juu"

    Huyu mwanamke sasa anakoelekea nampiga chini kimya kimya na kumpotezea mazima japo nimetoa mahari kubwa aisee kwanza kwenye uchumba ndugu zake walikuwa waongo waongo sana just imagine mpaka leo sijawahi kuona call yoyote ile kutoka kwa mzazi wake wala ndugu yake yoyote yule je likitokea tatizo...
  14. Licha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka

    Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda. Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu. Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba...
  15. Haya magroup ya shule mmlishamaliza shule miaka yapata 12. mnachangishana Hivi mimi ndiye nawaza negative?

    Tuliomaliza shule wakati magroup ya whatsapp hayajaanza tulibadilishana mawasiliano tu..baadae teknolojia ikatukutanisha kwa sura zetu pichani na wengine hawaweki nyuso zao isipokuwa avatar au picha za wanawe nakadhalika. Kazi inakuwa na maswali pale lnapokuwa hamuonani na mnaanzisha group la...
  16. Mimi naamini Ukraine na Marekani wapo juu ya huu mpango wa ugaidi nchini Urusi!!

    Kutokana na Uharaka wakujibu Zelensky anahusika moja kwa moja,pia mipango iliyoanzishwa na marekani mapema mwezi huu kuwa kunaweza kutokea shambulizi la kigaidi basi hizo zilikuwa ni propaganda zilizotengenezwa kuiaminisha jamii kuwa ikitokea wasema hata marekani alisha sema! Sasa wakasahu kuwa...
  17. Kuna mwaka siku tarehe na siku kama ya leo nilizaliwa mimi. Unajua ni mwaka gani?

    Hebu tujaribu udadisi huu kidogo. Mimi nilizaaliwa miaka kadhaa iliyopita leo nimegundua siku na tarehe zimejirudia ila mwaka na mwezi ni tofauti; je, ndugu zangu mnajua nimezaliwa mwaka gani namwezi upi?
  18. Miaka mitatu ya Hayati Magufuli, anaishi kwenye mawazo na fikra za watanzania

    MIAKA MITATU YA JPM;HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI ANAISHI KWENYE MAWAZO NA FIKRA ZA WATANZANIA. Leo 17:30hrs 15/03/2024 Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki...
  19. S

    Bilionea Nwoko: Nimi siwezi kumuoa mwanamke ambaye sio bikra

    Bilionea Ned Nwoko kutoka nchini Nigeria amesema huwa hafungi ndoa na Mwanamke ambaye sio bikra. Bilionea huyo hadi sasa ana wake 6 anaishi nao wote hadi sasa. Maneno hayo alitamka kwenye interview Mpya na kuweka wazi kuwa yeye akitaka kuoa ni lazima mwanamke husika awe bikra bila hivyo Haoi...
  20. Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

    Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo ni ya kupewa na wazazi ama jamii yako lakini hayana uhusiano na wewe as mtu. Lakini, unachokitaja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…