mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    DOKEZO Kuna mchezo mchafu kwenye mfumo mpya wa kusajili madaktari (HPRS)

    Mnamo tarehe 12 nilifanya malipo ya kuhuisha (renew) leseni yangu ya taaluma ili niweze kuendelea kufanya kazi kisheria kupitia mfumo mpya. Nilitengeneza Control Number kupitia mfumo huo na nikafanya malipo kwa kutumia Airtel Money. Malipo yalifanikiwa bila tatizo lolote, kama inavyoonekana...
  2. F

    Nani kati ya Samia na mfumo mfu anayetawala Tanzania?

    Alipoapishwa kuwa rais kutokana na ajali ya kufiwa mtangulizi wake, rais Samia aliahidi mambo mengi mazuri. Alimuita Tundu Lissu na kuongea naye mambo mazuri. Alianza kujitenganisha na utawala wake na Magufuli. Alianza kutofautiana na mfumo. Muda haukupita, mara Samia wa matumaini akaanza kuwa...
  3. Masalu Jacob

    Huu mfumo wa utawala tuuchukue ndio uwe mfumo rasmi wa uongozi na utawala

    Habari Tanzania !. Naomba niweke mawazo yangu hapa jukwaani. Ikiwapendeza nawaomba mtumie huu mfumo ili mfanikiwe maendeleo; 1. Madiwani ndio waiongoze halmashauri; (a) Mwenyekiti na Msaidizi wake wa Halmashauri wawe raia wa kawaida wasomi ngazi ya Shahada moja na kuendelea asitokane na...
  4. M

    Msaada kwenye mfumo wa idras

    Habari zenu nahitaji msaada ni wapi nitapata mafunzo ya IDRAS Iwe ni sehemu, taasisi, au ofisi itakayonisaidia jinsi ya kujifunza mfumo Kwa vitendo Natanguliza shukrani na pia napokea ushauri wowote unaolenga kunisaidia
  5. Dr. Zaganza

    Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia unapotumia dawa za magonjwa ya mfumo wa mkojo na sehemu za uzazi kama UTI, kisonono (gonorrhea) na kaswende (syphil

    . Epuka kufanya ngono hadi matibabu yakamilike na daktari athibitishe kuwa ni salama, ili kuzuia kuambukiza wengine au kuambukizwa tena. Hii watu wengi hupuuzia lakini imekuwa ikifanya watu wengi kutokupona kabisa maana unapokuwa unatumia dawa hata wale bakteria walinzi wanakuwa wanazidiwa na...
  6. A

    KERO Changamoto ya ucheleweshaji wa maombi ya hati kwenye mfumo wa e-Ardhi Dodoma

    Maombi ya hati kupitia mfumo wa e-Ardhi kwa wakazi wa Dodoma bado yanaendelea kuwa changamoto kubwa. Mtumiaji anaweza kufanikiwa kutuma maombi kwenye mfumo, lakini maombi hayo hukaa muda mrefu bila kusonga kwenye hatua za uidhinishaji (approval stages) hadi pale anapomtafuta afisa anayehusika...
  7. H

    Je, Kampuni au Taasisi Yako Inahitaji Mfumo Maalum?

    Peculiar Enterprises Ltd. ni kampuni ya teknolojia inayobuni na kutengeneza mifumo ya kidijitali kwa makampuni, mashirika, taasisi na biashara zenye mahitaji ya kitaasisi. Mbali na kuendesha mfumo unaosimamia zaidi ya biashara 20,000 Africa unaojulikana kama SmartBusiness, pia tunatengeneza...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    Inasemekana mfumo wa AC kwenye gari la Simba umekufa

    Kumbe ndiyomaana Chama kashindwa akapanda bodaboda.
  9. ShesRise_1

    Je tatizo ni watu au mfumo?

    Hivi ni kweli ni rahisi kulalamika ukiwa nje ya mfumo eti kwa sababu wewe si mnufaika wa moja kwa moja? Kwa mfano, unaweza kusema mtu fulani ni fisadi. Lakini je, ukipewa nafasi ya huyo mtu, una uhakika kwamba na wewe hutageuka kuwa fisadi? Mfano👇 Mtu asiye na kipato anaweza kuapa...
  10. Diwani

    Upande mwema wa Mfumo dume unaofifia taratibu

    Mfumo dume ni mfumo wa Kihistoria unaoelezewa kwa upande mmoja (Mbaya) hivi leo, kwenye kizazi chenye kulea na kuendekeza huruma kimatukio, kuna upande wa Mfumo huu haukusimuliwa ndio maana leo kuna majanga tunayoyaona. Mfumo dume ulitengeneza HALI YA UMILIKI kwa Wanaume, kuwaweka wao kuwa...
  11. A

    KERO Mfumo wa NaPA unagoma kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB)

    National Physical Address (NaPA) kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB) inagoma kuendelea na kutoa notification ya hivi Toka last week till now. Contacts zao walizoweka hazipatikani, kuna moja inapatikana mara moja moja na ikipatikana haipokelewi.
  12. Nigrastratatract nerve

    Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani. Yaani kumbuka sasa hivi...
  13. Candela

    Mfumo wa bos Brela hauna notifications

    Katika mfumo wa ORS ulikuwa ukifanya application unapata notifications za status ya maombi yako. Mfano kama kuna mabadiliko au marekebisho mfumo una ku notify. Baada ya kuhamia BOS haiko hivyo tena. Unatakiwa kuingia kwenye akaunti moja kwa moja kuangalia kama kuna updates zozote.
  14. The lastborn9319

    Msaada,kwenye mfumo wa heslb olams

    "An error occurred please ..." Hili tatizo kwenye kujisajiri heslb olams online mmelitatuaje
  15. A

    KERO Wanafunzi Chuo kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) tumesaini ada bodi ya mikopo mpaka sasa Leo 1-07-2026 hazijawekwa kwenye mfumo wa matokeo

  16. M

    DOKEZO Mfumo wa BRELA unasumbua kutuma barua pepe ya uthibitishaji

    Ni wiki ya tatu sasa nikiwa najaribu kutumia mfumo wa BRELA kusajili jina la biashara, lakini nakumbana na changamoto ile ile kila mara. Mfumo unaonesha kuwa barua pepe (email) imetumwa, lakini ninapokagua kwenye email yangu hakuna ujumbe wowote unaowasili. Nimejaribu mara nyingi bila...
  17. bless on

    Imihigo: Mfumo wa Kuwawajibisha Viongozi wa Tanzania

    Umewahi kujiuliza kwanini miradi mingi mtaani kwetukama barabara, ujenzi wa madarasa, au usambazaji wa umeme na maji inachelewa sana, alafu kiongozi aliyefeli anahamishwa tu kituo cha kazi badala ya kuwajibishwa? Kule jirani zetu Rwanda kuna mfumo wa kijasusi wa utendaji kazi unaitwa Imihigo...
  18. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe: Uzembe wa Ma-Afisa Rasilimali Watu katika Mfumo wa PEPMIS umezuia Watumishi kutopanda daraja

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ametoa maelekezo hayo Juni 23, 2026 kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 katika Viwanja vya...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Checkmate ya Siasa: Pale Mfumo Unapolazimika Kujilinda Dhidi ya Shinikizo baada ya kufanya blunders

    Anaandika Robert Heriel Mtibeli Post zilizopita nilisema serikali au mtu hutawaliwa na kwa kutumia mambo matatu. Yaani ili serikali yeyote dunia iongoze hutumia. Mambo haya matatu; a) Hofu Kile watu wanachokiogopa. Serikali nyingi za kimabavu hutumia njia hii. Hata hivyo hasara ya njia hii ni...
  20. Light Saber Imetosha Sasa

    Ni Wakati Sasa JF Kuanzisha Mfumo wa Kuwalipa "Content Creators" Wetu. Huu Ndio Ukweli wa Kisheria na Kiuchumi.

    Wakuu salama, Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa JamiiForums (JF). Leo nimekaa na kutafakari kwa kina sana kuhusu mchango wetu sisi watumiaji katika kuuendesha, kuukuza, na kuuongezea thamani mtandao huu unaopendwa zaidi nchini. Nimekuja na hoja moja ya msingi: Ni wakati sasa kwa uongozi wa...
Back
Top Bottom