Mfumo wa elimu wa Competency-Based Curriculum (CBC), unaojulikana pia kama Competency-Based Education (CBE), ulianzishwa nchini Kenya mwaka 2017 kuchukua nafasi ya mfumo wa zamani wa 8-4-4.
Mfumo huu unalenga kumsaidia mwanafunzi kupata maarifa, kukuza vipaji na kujifunza ujuzi anaoweza kutumia...
Kero yangu ni kuhusu EWURA na mfumo wa utoaji leseni zao kama hizi za electrical installation, kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa tunaona taasisi zingine wanatoa leseni zao baada ya muda mchache unafanya malipo kwenye Mtandao na kuipata lakini wao wanatumia siku 40 hadi 60 ukiuliza wanasema ni...
Anonymous
Thread
changamoto
electrical
electrical installation
ewura
hizi
leseni
mfumo
zao
Mtaalamu wa teknolojia nchini Kenya, Eliud Gilisho, amebuni mfumo mpya unaoitwa Afande, unaolenga kukabiliana na wizi wa simu kwa kuwezesha simu iliyoibwa kupiga kelele, kufuatilia eneo ilipo na kurekodi picha za video zinazoweza kusaidia kumtambua mwizi.
Ubunifu huo umetokana na tukio la mwaka...
Habari wanajamii,
Naomba msaada na ushauri kuhusu changamoto ninayokutana nayo wakati wa kufanya usajili wa chuo.
Vyeti vyangu vya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (nakala halisi) vinaonyesha majina yangu matatu kwa usahihi likiwemo jina CHRISTOPHER
Vilevile, ninapoangalia taarifa zangu...
Anonymous
Thread
kuhusu
majina
mfumo
msaada
naomba
tatizo
usajili
vyuo
Tukio la kukamatwa kwa watu wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya limeripotiwa katika eneo la Mwenge.
Kwa taarifa za awali, watuhumiwa hao wamekamatwa wakiwa na kiasi kikubwa cha dawa zinazodaiwa kuwa za kulevya.
Tukio hilo limeibua mjadala kuhusu biashara haramu ya dawa za...
Miaka 5 ijayo (2026 - 2031) dunia haitaenda pole pole. Kitaalamu, tunakwenda kwenye miaka ya AI kufanya kazi badala ya kuongea tu.
Hizi ndizo tech 7 zitakazobadilisha maisha yako moja kwa moja:
1. AI Agents - AI itakufanyia kazi, sio kukujibu tu
Sasa hivi unaniuliza, nakujibu. Miaka 5 ijayo...
Kwa wale mnaoendesha biashara za uwakala wa fedha (M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa n.k.), mnatumia mfumo gani kurekodi na kufunga hesabu zenu za kila siku?
Nimekuwa nikiwaza na kuumiza kichwa maana mambo siyaelewi kabisa naomba nilizie humu kwa wadau wenye biashara ya uwakala nyie...
AISEE NIMEANGALIA HII TIMU SIJAJUA ATAKUTANA NA SIMBA AMA YANGA SIJAANGALIA
ILA WATAKAOKUTANA NAO JAMAN WAJIPANGE HAWAJAMAA HAWANA HURUMA KABISA
WAKO LAMA COMO YA 🇮🇹
KILA LA KHERI USM ALGER
Shirika la Posta Tanzania linaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza kutokana na changamoto ya kimfumo inayoathiri upatikanaji wa huduma za simu kupitia namba 0735 008 008.
Wakati jitihada za kushughulikia changamoto zikiendelea, unaweza kuwasiliana nasi na kupata huduma kupitia namba zifuatazo...
Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile
George Jackson David
Aisha Muhammad Nurdin
Uhuru Baraka Amani
Judith Christopher Benard
Salehe Abdul Ally
kunafuta utambulisho wa asili na...
Wakuu, salaam.
Leo naleta jambo linalowagusa wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuhusu zoezi la Room Shopping 2026/27 lililotangazwa na DARUSO kupitia Wizara ya Maji, Makazi na Mazingira.
Ratiba iliyotangazwa:
3 Novemba: COICT Hostels, saa 4:00 asubuhi
4 Novemba: Magufuli na...
Vital points au range areas ni somo la sayansi ya mwili, somo ambalo linamfanya mpiganaji wa ngao awe na uwezo au uelewa wa kumdhibiti adui, kumlemaza adui, kumshinda adui au kumuua adui kwa muda wa sekunde 3 - 5 .
Maeneo ya shabaha ni
1. The eyes
2. The nose
3. The side of the neck
4. The...
Halafu mkiambiwa mna ma IT wasio na uwezo mmewajaza humo maofisini mnatuteka na kutupa kesi za uhaini .
Watoto wanalala kwenye internet cafe kusubiri mfumo
Kwa muda sasa ushapata mtu WA kubadilishana nae kituo cha kazi tena mikoa tofauti kipengele cha incoming request hakifunguki kwa wote hata sasa ukiingia inakuletea AN UNEXPECTED ERROR OCCURRED
Jamani tunaomba marekebisho ya mfumo yazingatiwe kwa wakati, kwani mfumo huu ni kwa taifa zima...
Moja ya changamoto zinazowakabili developers wanaotengeneza mifumo ya kusimamia device kama simu zinazotolewa kwa mkopo, ni usimamizi wa technology inayowezesha mifumo yao kuwasiliana na device ya mteja moja kwa moja.
Kwa mfano, kampuni inapompa mteja simu kwa makubaliano ya kulipa kwa awamu...
Na Mwandishi Wetu
Serikali imepanga kuhakikisha mikoa yote nchini inatumia mfumo wa kidijitali wa usimamizi na umilikishaji wa ardhi, e-Ardhi, ifikapo Juni 2027.
Hatua hiyo inayolenga kurahisisha upatikanaji wa hati za ardhi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Katibu Mkuu wa Wizara...
Ndugu zangu tuzinduke kwenye huu usingizi mzito, tumeshalala kwa kipindi kirefu sana sasa ni muda sahihi wa kuvuta shuka na kutupilia mbali Fikra na Tamaduni zote zilizotokana na Wazungu. Tuanze mwanzo kila kitu kiwe chetu. Kitu cha kwanza kuking'oa kiwe mfumo wetu wa Utawala huu mfumo wa...
Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika?
Je, huu ni mkakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.