mengi

Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mashauriano ya kiroho: Hifadhi hii mada itakusaidia kwa mengi

    Naweka summary/reviews za mada nyingi nilizoandika na kushauriana na watu mbali mbali ndani na nje ya JF.. Sina ruhusa yao hivyo siwezi kumtaja yoyote Nitakaribisha na maswali pia 1. Tiba ya kiroho yenye nguvu iliyobaki ni tiba ya chumvi ya mawe maana mpaka sasa haijanajisiwa wala...
  2. JamiiForums Tanzania Identification zetu JF zinaficha mengi sana

    Nimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mienendo ya baadhi yetu ndani ya jukwaa hili nikaishia kuwaza; Ndani ya hili jukwaa Kuna watu wamejipa ukuu ila ni hakika yangu ukikutana nao lazma utapigwa na butwaa. Kuna watu Wana tabia fulan ndani ya hili jukwaa ila naamin tungepata nafasi ya kujuana...
  3. JamiiForums Tanzania Majengo mengi yanayojengwa Dar es salaam hasa maghorofa hayavutii(hayana mvuto)

    Sijapata bahat ya kutoka nchi za watu, inshallah kikubwa uzima naweza fanikiwa fika siku moja, ila mara nyingi napenda sana kuingia YouTube na kutazama miji mkuu au majiji ya nchi husika. Mfano kama muda huu naiangalia GABORONE _🇧🇼 yaani unaona jinsi majengo yanavyovutia, unaona majengo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mengi kuhusu hema la kuabudia kupitia wimbo huu kutoka kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile

    https://youtu.be/t8GR0scaBDU?si=WSSQno-FJC9qGszB
  5. JamiiForums Tanzania Mashuka na foronya vinaficha mengi

    Jana ilikuwa siku ya wandwanao maandalizi yalikuwa mengi huko magetoni.. Hasa usafi kwa ajili ya maandalizi Shughuli ya usiku wa jana imewaacha wengi wakiwa hoi na uchovu mwingi na wengine muda huu wanaperuzi mitandaoni wakiwa bado vitandani Waliopata wageni wa kulala muda huu ndio wanapata...
  6. JamiiForums Tanzania Nimepanga nisome open university degree ya ICT, Lakini malalamiko ya watu humu ni Mengi je ni uhalisia?

    Mimi ni mtumishi, Nilipata ruhusa ya kwenda masomoni lakini sikwenda kwasababu ya ukiritimba uliopo halmashauri kwamba ukienda masomoni basi uwezi kupanda daraja, na Mimi napanda daraja Mwakani, nimetimiza miaka mitatu ya ajira Sasa, naona nikasome kitu kingine, passion yangu ni Mambo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Msiba wa dada mkwe unaibua maswali mengi yanayohitaji majibu

    Kuna msiba uliotokea ila umeibua maswali mengi ya chinichini. Kwa jicho langu la kijasusi najiuliza maswali hapa ambayo bado yanakosa majibu. Kwanza, huyo dada mkwe anaitwa nani, mbona taarifa nyingi za huo msiba hazitaji jina lake? Pili, mbona hatujaonyeshwa picha ya marehemu wakati wa uhai...
  8. JamiiForums Tanzania Mungu huwa anasingiziwa mengi

    Niwaambie Mungu hakuna kitu anapanga hapa duniani Mungu hapangi watawala wa kisiasa Wala kidini. Dini zote nimeletwa na wanadamu na zinawatumikia wanadamu. Nawaambia hata vifo vyote vinatokana tu na binadamu. Mnamsubiri Mungu endeleeni lakini nnawaambia. Duniania Ni shetani makini na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mnavyozidi kujitangaza msisahau kuongeza/maintain chaneli Bora kuwe na machaguo tofauti

    Mfano sasa ivi kwenye tamthlia/filamu mmeziondoa au kushindwa kuzibakisha chaneli za muvi za Kinaijeria za AMC chanel na AMC series, Wakati wenzenu DStv wanazo mpaka chanel za tamthlia/muvi za Wasauzi,Ghana na Kenya na za Lugha zao za makabila... Hivyo kwenye muvi machaguo ni machache, mteja...
  10. JamiiForums Tanzania Nafukua: Kwanini Oktoba 29 kulikuwa na makundi mengi yasiyo rasmi yenye silaha yakiua raia? Ina amaana asilimia kubwa ya jeshi halikuunga mkono?

    Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina nani ? je, kwanini serikali itumie makundi hayo yasiyo fahamika kuzuia waandamanaji kwa kuwauwa ...
  11. JamiiForums Tanzania Mwaka 2026, hakikisha unaombea kuachishwa kazi. Kuna mengi katika maisha zaidi ya kuingia ofisini kila siku

    UOGA ndo kitu kinachoweza kuelezewa kwanini mpaka sasa hutaki kuacha kazi, lakini hio kazi utaiacha mwishowe kwa lazima ukifika umri flan. Kama ipo siku lazima utafukuzwa kwa lazima ama kustaafu kwanini usianze maandalizi mapema! Tushachoka kuskia taarifa za watu kujiua bila kua na sababu hivo...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna matangazo mengi ya mtandaoni ya mikopo ila TCRA na BOT wanajua pesa waliolipwa kwa uongo na uchochezi.

    Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu. Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili. Embu tupate Futuhi ya watoa mikopo
  13. JamiiForums Tanzania Enyi Tume ya uchunguzi, nendeni kwa Chacha Dereva aitwae na watawala AFISA msafirishaji, aliyevunjwa miguu na polisi ana mengi

    Nimepokea ujumbe wenu WA kunitaka niwape USHAIDI kama kweli Nini najua kabla na baada ya uchaguzi kilichagiza machafuko? Kwanza niwambie siji. Pili niwambie nawajua nyinyi ni watii wake huyu RAIS. TATU nawasaidia nendeni kwa chacha awaeleeze alivyokamatwa ndo mtajua yakuwa tarehe 29 nchi YETU...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ewe Mkristo Wakati Unasherehekea Christmas Ukiwa Katika Wakati wa Maonevu Mengi ya Watawala, Mungu Anakuasa Usishirikiane na Watawala Dhulumati

    Wakati Wakristo wanaitwa kuheshimu mamlaka kwa sababu mamlaka zinatoka kwa Mungu, tamko hilo halihusu kwa watawala wote, bali watawala wale wasiotenda kinyume na mapenzi ya Mungu. Yaani watawala wale ambao ma.laka yao yametoka kwa Mungu. Lakini ufahamu kuwa shetani naye anajitahidi wakati wote...
  15. JamiiForums Tanzania Makampuni mengi ya sanaa,umisi yana nini angalia hii

    kuna media ilikuwa inaongoza kwa kupendwa na watoto na watoto wengi wamejikuta wakiwa kama mazombi au umaskini wa ajabu.
  16. JamiiForums Tanzania Umepata mapesa mengi kupitia mama yako ila umekuwa wa kujificha sana mpaka kwenye mitandao

    Hakuna ulichokosa tokea mama yako kawa raisi. Kwa kutajwa tajwa kwako kila matukio yanayoendelea hapa. Umekuwa wa kujificha sana yani kama umejifungia mwenyewe uhuru wako. Hata ukaenda kuishi nchi za nje kumbuka kuna watu wanandugu zao uliowafanyia mabaya wewe na mama yako
  17. JamiiForums Tanzania Misa ya kumuaga Jenista Mhagama imenihuzunisha na kunifikirisha mengi

    Achana na lile vibe la msiba la waombolezaji, kwikwi na vilio vya chinichini, simanzi na majonzi wakati wa ibada.. Hayo mambo jana hayakuonekana kabisa Kilichoonekana jana ni mambo ya kutisha sana Ukimya usio wa kawaida Hofu ya dhahiri nyusoni Taswira zilizohamanika na kukosa utulivu kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania SOMA HII: Huko Nje Vijana Wamechachamaa

    Wakati mwingine unasita kuingia jamii forum, ili usome watu wanavyokandikwa, sasa hawa ndiyo Generation Z aiseee 😂 😆!!
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya neno “MAMA” kwa makabila mengi hapa nchini ni "NYOKO"

    Neno mama:- 1. Kwa kiha (watu wa Kigoma) ni "nyoko". Mfano. (a) Ndamhamagala nyoko wawe (namuita mama yako). (b) Jewe ndi nyoko wawe (mimi ni mama yako). 2. Kwa lahaja nyingi za kiswahili; neno "mama" ni nyoko. Mfano. K*ma"nyoko" ni tusi la kiswahili lenye muunganiko wa maneno mawili; "k*ma" na...
  20. JamiiForums Tanzania Nimefurahi kumwona huyu chali akiwa hai maana maneno yalikuwa mengi sana

    GT Mwamba huyu hapa engine ya maandamano M029 kutoka kimara
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…