mengi

Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana.

    Msanii wa Mziki Chriss Brown amesema anachukia Tasnia ya Muziki na Mastaa wake. Sasa tukilinganisha na yeye ya Pdid na RKelly na haya ya hapa nyumbani ni dhahiri kuna ukweli na ndio maana hata baadhi ya wana muziki wa kiulizwa kama wangependa watoto wao waje kuwa wana muziki wanakataa. Mnaoijua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana

    Msanii wa Mziki Chriss Brown amesema anachukia Tasnia ya Mziki na Mastaa wake. Sasa tukihusianisha na yale ya Pdid, R Kelly na haya ya hapa nyumbani ni dhahiri kuna ukweli na ndio maana hata baadhi ya wana muziki wa kiulizwa kama wangependa watoto wao waje kuwa wana mziki wanakataa. Mnaoijua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini makanisa ya ndani ambayo mengi ni ya kilokole hayana msaada kwenye jamii zaidi ya kunufaisha wanafamilia ?

    Haya makanisa ya Tanzania kama TAG, EAGT, Mwamposa, Kapola, Kakobe, Gwajima, n.k. unawakuta wachungaji wana maisha ya juu sana kuzidi waumini Wengine account zao binafsi ziliwekwa wazi zina mabilioni, wengine wapo mbioni kununua ndege, wengine wana magari ya mamia ya maelfu ya madila, n.k...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Body morphology ya Mwigulu inaongea mengi, tutarajie ya Nchimbi?

    Mimi kama mtaalam wa psychology naona facial expression na body language inaongea mengi kuliko maneno Toka yatokee ya Nchimbi naona moto wake umepoa mno Kejeli, majigambo na kiburi cha madaraka ameacha Tutarajie jambo jipya?
  5. Half american

    JamiiForums Tanzania J3 mauzo ya maduka mengi ya madawa hupanda sana kutokana na yaliyofanyika wikiendi. Wafamiasia ni kweli?

    P2 zinanunulika sana blue monday kwa kuuza mechi. Dawa za U.T.I na Gono nazo zinatembea sana j3. Dawa za maumivu, spirit za kutia kwenye vidonda nazo zimo kwenye chati kwa kununulika sana blue monday na hii inatokana na maugomvi na vurugu zinazotokea wikiendi. Ama kweli kufa kufaana. NB...
  6. Lighton

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza mengi katika muda mchache

    Wakuu..... imepita kama mwezi 1 na nusu tokea nipitie changamoto ambayo baadae ilinipa funzo kuhusu namna ya kuishi kwa mipango. Nilipuuzia sana kuhusu pesa ya akiba, sikuwa na bajeti ya matukio ya imejens. Basi siku hiyo ikafika, nikamgonga mlevi mmoja alikuwa anakatisha barabarani, mlevi...
  7. k-bee

    JamiiForums Tanzania PICHA INAYOZUNGUMZA MENGI WAKATI HUU

    Ukiitazama picha hii inaonyesha hali halisi ya matukio na mambo yaliyotokea katika taifa hili... 1). Bluu :waliomba kukaa pembeni 2). Nyeusi na Kahawia(nyeupe mpauko): alipumzika nyadhifa ila bado yupo 3). Nyeusi: amejiuzulu na kufukuzwa kabisa. Ningekuwa mpiga picha ningewaambia wachanganye...
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wanaume tumekuwa na malalamiko mengi sana dhidi ya wanawake, nini kifanyike?

    Wanaume wenzangu malalamiko dhidi ya wanawake ni mengi sana humu jamvini, hasa usaliti nini kifanyike? Nyuzi za wanawake kulalama dhidi yetu ni chache sana, wanaume wenzangu hawa viumbe wametukama wapi na inaonekana hakuna jeuri zaidi ya kulalama. Wenye pesa wanalalama, wasio na pesa...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Kama ni ujumbe wa kitisho basi tumtie moyo na kumuombea Siha njema...kazi hii inayo majaribu mengi sana

    Bila shaka ni ujumbe wa kitisho kwake kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake. Tumpe moyo kuendelea kusimama na nchi yake ila anayemtisha asisamehewe na umma wa watanzania kamwe.
  10. Red black

    JamiiForums Tanzania Kwenye utafutaji wa ridhiki/kipato kuna mambo mengi sana.

    Majungu Fitina wizi Uongo Utapeli kupata na kukosa ukiwa na roho ndogo una-give up mapema sana #Wapambanaji wote msio kaa kwa shemeji zenu mnatoka asubuhi ghetto kwenda harakati big up sana.
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe yupo sawa kweli? Haya maneno yamekuwa mengi sana

    https://www.instagram.com/reel/DdBxoJsNrnj/?stkn=MTZuZ2Z3aWIzYmduMg== Kuna maneno wanamsema msemaji wetu kuwa ni HASARA. Je kuna ukweli? Maana watu wa karibu yake pia huzungumza.
  12. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii picha inaongea mengi sana halafu just imagine kuna watu hawajui njaa ni kitu gani

  13. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu

    Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
  15. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mtengeneza maudhui maarufu - Youtube, aliyekuwa akibeza mambo ya dini, aamua kuokoka na kubatizwa katika maji mengi!

    Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho. Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30, aliyejizolea mamilioni ya Subscribers kwa video zake za comedy, muziki, boxing na survival challenges...
  16. Malaki

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Gongo la Mboto karibu na Kituo cha Daladala cha Maliasili kuna tatizo la bomba la maji kuvuja sana

    Katika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, kuna yard ya magari ya mwendo kasi. Kumekuwa na tatizo la maji ya DAWASA kuvuja na kutiririka katika eneo hilo. Maji hayo yameendelea kutiririka kwa takribani mwezi mmoja, huku yakielekea hadi eneo la...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kenya Kununua Magunia Milioni 11 ya Mahindi kutoka Zambia Kwa bei Kubwa na Kuikacha Tanzania Yenye Mahindi Mengi ya Bei Chee.

    Kenya imeamua kui by pass Tanzania Kwa kuamua kununua mahindi takribani gunia Milioni 11 kutoka Zambia badala ya Tanzania huku ikoacha wakulima wa Tanzania wakihaha wasijue wapi watauzia mahindi Yao. Ikumbukwe Tanzania ni mzalishaji wa mahindi namba 2 Afrika ilizalisha zaidi ya Tani Milioni 12...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mijimama mengi yaliyoachika huwa yanafungua grocery na huwanasa vijana

    Nimefanya tafiti na kugundua mijimama mingi iliyovunja miji huwa inafungua biashara ya grocery . Hapo ndipo huwa inawanasa vijana wadogo wadogo na hutumia juju kali sana.
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa ndugu Nchimbi kutoka cheo cha uMakamu hadi kutokuwa mwanachama kuna mafunzo mengi ya kujifunza

    Poromoro la kisiasa la ndugu nchimbi kutoka umakamu hadi kuwa raia wa kawaida asiye na chama kuna mambo mengi ya kujifunza kwa viongozi waliobaki: 1. Cheo ni dhamana au ni sawa na koti la kuazima hivyo tusiinue mabega juu. 2. Hakuna mkubwa kuliko chama. 2. Tuwe na nidhamu na maadili kwa...
  20. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Hii kitu ina majina mengi, huko kwenu inaitwaje?

    Pussy Mwandu Mpwechelo Kipochi Mfumo
Back
Top Bottom