Kupitia mitandao ya kijamii, kumekuwepo taarifa inayodai kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, amejiunga rasmi Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chapisho hilo linadai: “Rasmi Freeman Mbowe ametimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM).”
Chapisho lina ujumbe ufuatao:Kwa muda mrefu...
Tembelea anga zote za Tanganyika Chadema inakubalika kama chama ambacho kinaenda kuiondoa CCM ya mafisadi chini ya Samia na Kikwete ambao hawakuchaguliwa na wananchi.
Chadema chini ya Lissu na Heche kama viongozi ni mali ya Watanganyika wasiotaka utawawala wa vibaraka wa kiarabu.
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza Mbowe kwa sasa yuko wapi baada ya kuporwa chama na mnyampaa? Nadhani ni swali la watu wengi pia. Nimeshangaa kugundua jabali la siasa za upinzani nchini anatumia muda wake mwingi Machame. Yaani hajihusishi kabisa na siasa kwa sasa. Watu wangu kadhaa walio...
Mimi sishangai kamwe, katuga huyu huyu baada ya hii kesi ambayo inatarajiwa kufutwa baada ya Lisu kuwavua chupi hawa mawakili pompooo wa serikali kupewa ujaji.
Kama aliyekuwa hakimu kesi ya mbowe baada ya kesi kufutwa alipewa ujaji wewe unashangaa katuga kuwa nani?
Hivi wajua kingai alipanda...
Enyi wakaidi, mrudishieni Mbowe Chama chake
Msidhani aliokota CHADEMA chini ya mwembe
Mtachagua moja kurudisha au kuendelea kusalitiwa
Maafa yanayowapata sio ya kutengenezewa bali ni laana na machozi ya Mbowe
Mbowe hakutaka kung'ang'ania CHADEMA bali alitaka kujenga msingi imara ndipo...
Kama mbowe alidumu ktk black agent, zaidi ya miaka 30, akiwadanganya watanzania" kuwa ni mpenzani wa kweli" je haja acha majunior wake? Vp kuhusu kampen manaja wake kwenye uchanguzi wa chadema? Amebaki KWA kz maluum? Vp kuhusu mtendaji mkuu wa chama na mratibu ? .
In short John heche na...
My Take
Nadhani kuna shida mahali Kwa nyumbu wengi wa Chadomo ambao wameshikiwa akili na Heche na Mange.
Maboksi wao wameonesha utu hapa 👇 👇
https://www.instagram.com/p/DdPdRE-jKuC/?stkn=MXVlaW5mdDBqcjRrNg==
Nimeambiwa kuwa, Freeman Mbowe ameshawahi kwenda Ukonga gerezani mara Moja kumtembelea Mwenyekiti wake Tundu Lissu...
Katika mtembeleo huo, hakutoa mrejesho walizungumza nini hasa iwapo alikwenda kumsalimu na kumfariji tu au kuna cha ziada walichozungumza kwa public kujua
Lakini FAM anaishi...
Moja ya mashitaka kwenye kesi ya uhaini ya Lissu ni kutumia kauli ya No Reforms No Election, kauli ambayo mwasisi wake ni Mbowe aliyekuwa Mkiti wa Chadema 2024.
Kwanini mahakama isimuite Mbowe aje afafanue alikuwa na maana gani badala ya kumbana Lissu peke yake atoe ufafanuzi, au kwanini hakuwa...
Pamoja na yote yanayoendelea mahakamani hivi sasa kuhusu kesi ya Lissu, huu ndio utabiri wangu kutokana na uzoefu nlilioupata katika kufuatilia siasa na wanasiasa.
Naomba niishie hapa.
Nimesikitika kuona mbowe kutokwenda kumjulia hali mwenyekiti wake licha ya kusota rumande kwa muda mrefu na pia hajawahi kwenda au kusema lolote hata kwa bahati mbaya kumtia nguvu mwenyekiti wake ila cha ajabu amesafiri mpaka zanzibari kumpa pole samia .
Hii imekaaje?
Je mbona samia hakutuma...
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 10 Septemba, 2026, kufuatia...
Stori ya kukamatwa na kuachiwa kwa kada wa CHADEMA inaacha maswali mengi sana. Kiufupi ni jambo linalonuka harufu kali ya usaliti. Pia kitendo cha Malisa kupokelewa na James Mbowe wa CHAUMMA hakiingii akilini kabisa. Tuliona Malisa kaongea na waandishi wa habari bila uwepo wa kada yoyote wa...
Kama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu...
Jaribu kuwaza Mbowe ndo angekua Mwenyekiti 2025.
Chadema wangepewa Wabunge 20 , alafu business as usual!!.
Mbowe Mafanikio yake sio kua Kua Kiongozi, Mafanikio yake yalijengwa kwenye Kumiliki Mali, Kua na Connections na Serikali !!.
Lissu kauthibitishia UMMA wa Watanzania kua, Yeye anawapenda...
Wanatafuta justification ya walichomfanyia Nchimbi kukichafua Chama.
Chadema haipaswi kufananishwa na ccm , iwe mfano wa kuigwa wa demokrasia ndani na nje ya chama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.