mbowe

  1. M

    Mbowe na Zitto kupotea kwenye siasa za Tanzania kumeleta mafanikio makubwa kwa CHADEMA

    Kwa ujumla Mbowe na Zitto Kabwe walirudisha nyuma mapambano dhidi ya CCM. Walikuwa vibaraka wabaya sana ambao walikuwa after pay tu. Walilipwa ili kuisadia CCM ikae madarakani. Tangu watu wamewadharau na kutopewa kipaumbele kwenye siasa za hapa Tanganyika Chadema kama chama cha upinzani...
  2. Q

    Mbowe tenda wema nenda zako kama Mwendazake usingoje shukrani

    Mbowe akiwa Chadema alifanya sehemu yake akamaliza kama Nyerere, Maalimu Seif, Magufuli walivyofanya sehemu zao kuvisaidia vyama vyao kwa hali na mali, wakaondoka na kupumzika kwa amani. Mbowe apumzike kama alivyoamua, LAKINI asitumie masaibu yake wakati akiwa Chadema kama fimbo ya kukiadhibu...
  3. Jeep wrangler

    Mbowe: Hivi nani alihusika na kifo cha wangwe? Hivi waliokutuhumu walikusingizia? Je kwa kisasi hiki ulinacho kwa Lissu kwa mambo ya kisiasa?

    Miaka ya nyuma CHADEMA ilikuwa na mbunge machachari sana jina lake aliitwa Chacha Wangwe. Mbunge huyu wa CHADEMA aliwahi kukitamani kiti cha Mboqe kama mwenyekiti na kuna vituhuma ambavyo alituhumiwa nazo kuhusu uadilifu wake katika chama Wangwe kwa vile alikuwa mtata na mtu jasiri sana, moto...
  4. Zack Abdul

    Mbowe alitoka gerezani kwa jitihada za lissu, kwanini Heche hafanyi jitihada za kumtoa Lissu?

    Na Mwandishi Wetu Wakati Freeman Mbowe alipokuwa gerezani, Tundu Lissu akiwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA alifanya jitihada za kuhakikisha Mwenyekiti anapata uhuru. Alihutubia Bunge la Ulaya pamoja na kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan katika jitihada za kutafuta maridhiano ya kumuwezesha...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Kimsingi Godbless Lema hana ushawishi, hata apumzike yeye na Mbowe wahame wote Vijana hawawategemei

    Hamjambo wote! Lema anahaki ya kuongea atakachoongea. Kulingana na maoni yake yanayoendeshwa na uelewa wake, maslahi yake na na muono wake. Hiyo ni haki yake. Lakini Lema atafanya Kosa la kiufundi ikiwa atadhani anaushawishi ndani ya CHADEMA. Huo ushawishi hana. LEMA ajue Chadema ndio...
  6. M

    Lema ni mnufaika wa Siasa za Mbowe hataziweza siasa za Lissu

    Inner circle ya uongozi wa Mbowe ilikuwa ni Lema, Msigwa, Sugu, Bon Yai alikuwepo na Mzee Kibao na Lissu kabla hajakerwa Hawa kila aliyewapinga walimpachika usaliti na wameumiza watu wengi sana na ndio maana hata wakati wanashughulikiwa tokea na Magufuli wanachama wengi waliwaacha wapambane...
  7. F

    Tuliaminishwa Mbowe ni bilionea, Lema unajaribu kumrudisha ulingoni ili iweje?

    Mbowe bilionea Mbowe ana hailcopter, Mbowe ana majumba kibao maghorofa na viwanda Hadi nje ya nchi, Sasa kwanini utake kurudi siasa ni upate hasara tena? Fanya biashara, si uliomba kustaafu? Yu wapi Chacha wangwe?
  8. F

    Mbowe na Lema ni Liability au asset ndani ya chama? Wakifukuzwa je...?

    Nimemuuliza mdau wa Siku nyingi ndugu Tindo kwamba, Mbowe na Lema wakifukuzwa ndani ya CHADEMA, hasara Hasi zitakuwa zipi? Jibu: Hakuna hasara yoyote kungoa jino bovu mdomoni. Jibu hili limenipa nguvu ya kupandisha mada hapo juu kuwa, Mbowe na Lema ni asset au liability ndani ya CHADEMA...
  9. Carlos The Jackal

    CHADEMA hatuhitaji Siasa za kuisindikiza CCM na kuipa uhalali ,LEMA na MBOWE ni magugu ya mwisho Mwisho kung'olewa kutoka chamani!

    Kwa miaka yote tangu 1992, CCM imeunda vyama Uchwara ,ikiwajua wanasiasa wéngi ni waganga njaaa . Ushindi wa LISSU na HECHE ,umebadili Siasa za Nchi Naamini kama Wananchi, NJIA ya CHADEMA ndio NJIA sahihi , ni lazima Mwananchi achague Diwani ,Mbunge na Rais anayemtaka. Habari za kupewa...
  10. Sifi Leo

    Ni lema huyu huyu aliyeongoza genge chafu kumchafua mbowe leo analilia lia nini sasa?

    Carima is bitch ni msema wake pendwa lema,leo anajitokeza kulia lia mbele ya wanahabari uchwara kumlalamikia Mage kimambi, na Maria Sarungi real? Lema ni wakulia lia mbele ya vyombo vya habari kweli na kusema kuna wakati wanaharakati walmislead akawachafua ccm kweli? Naomba CHADEMA lema ni...
  11. Dennis Robert Shughuru

    CHADEMA iwafute uanachama Godbless Lema, Boniyai, Sugu na Mbowe. Wanakiharibu chama

    Ukisikiliza press conference ya leo ya Lema ni wazi chadema wanatakiwa wawafute haraka sana uanachama Lema, mbowe, boniyai na sugu wana-comprimise chama Mimi sio mwanachama wa chadema ila as long hao watu ni wanachama wa chadema watavuruga kisawasawa sababu wanapiga miguu yote Mfano press...
  12. R

    Lema: Nikitaka kumuona Mbowe hakuna mpumbavu yeyote namuomba ruhusa

    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Novemba 1, 2026, Jijini Arusha, Mwanasiasa na Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Godbless Lema, ameeleza kuhusu uhusiano wake na Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA, Freeman Mbowe. "Simchukii Mbowe na hatujawahi kuwa maadui na Mbowe, he is my brother...
  13. Bird Watcher

    Mbowe Leo hajaenda Kuzindua Mji wa Serikali Dodoma!?

    Wakuu Leo FAM hajaibuka Dodoma Kuzindua Mji wa Serikali Dodoma?
  14. Sifi Leo

    Uwezi niamini ila iko hivi wapinzani wa Freeman mbowe wote watapewa kesi za uhaini

    Najua uwezi niamini ila ndio iko hivyo, wapinzani wa Freeman Samila suluhu Hassani wote watapewa kesi za uhaini kuanzia tundu Lisu,Heche na wale vijana wote waliompinga mbowe note my word.niko hapa sifi leo nasikiliza mziki wa injili kupitia star tivi hahahaha
  15. M

    Lema anaanza kumtetea Mbowe?

    Juzi ktk video moja, lema ktk mkutano wake wa hadhara amesema, wanaomsema Mbowe kwamba kwanini haendi Mahabusu au hata mahakamani kwa lissu . Amewajibu wao wameenda au wanamsema mbowe tu? Swali la kujiuliza Jee wanachama wote wa chadema inawezekana kwenda mahakamani? Endapo wa wilaya 1 ya...
  16. S.M.P2503

    Msaada, Tafsiri ya ndoto kuhusu Mh. Freeman Mbowe na kifo cha ndugu yake...

    Ndugu zangu, usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto ambayo imenifanya nibaki na maswali mengi sana. Katika ndoto hiyo, Freeman Mbowe alikuwa amefiwa na ndugu yake wa kiume, lakini sikufahamu kama alikuwa kaka yake au mdogo wake. Sina taarifa kwamba jambo hili limetokea kweli au kama Mbowe ana kaka...
  17. kavulata

    Najisikia huzuni kuiona chadema ya Mbowe ikiwa hivi. Haiko tayari kukamata dola.

    Hebu sikiliza sababu zinazotolewa kwanini chadema ipewe nafasi ya kuiongoza nchi. Eti mkoloni ni bora kuliko Nyerere na Magufuli n Samia. https://youtu.be/v_NMqvJKnkI?si=6HyhDA0-hWFRnzcS
  18. R

    Ansbert Nguro: Hakuna wa kuifuta historia ya Mbowe CHADEMA

    Mwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza kwa zaidi ya miongo mitatu. Ngurumo amesema ukosoaji kwa mwanasiasa ni jambo la kawaida, lakini kile...
  19. Parabolic

    Freeman Mbowe: Mtu, Mfanyabiashara Na Siasa Zisizomuelewa Tena

    Mwandishi wa habari mkongwe, Ansbert Ngurumo ameandika makala hii kupitia tovuti yake ya Sauti Kubwa. Endelea... Freeman Mbowe. Kwa takribani miaka miwili sasa, Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni isiyo ya kawaida ya kumchafua kutoka kwa baadhi ya wanachama, viongozi...
  20. R

    Tetesi: Eti Mbowe Freeman kahamia CCM?

    Mwenye uhakika atuwekee hapa. Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa This would be the worst day of my life in politics
Back
Top Bottom