mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Mbona kama rasta za Mr. Cheeks ni chafu?

    Wadau Salam.Ukiziangakia RASTA za Mr Cheeks ni kama chafu ukifananisha na za Fid na Madee.
  2. A

    KERO Vyuma vilivyopo barabarani eneo la Waterfront vimekuwa chanzo vya maumivu kwa Watu, TANROADS mbona hamshughulikii?

    Kuna sehemu hapa Arusha ukitoka kwenye Taa za Sanawari kama unaelekea Moshono kwenye diversion ya service road maarufu kama Waterfront karibu na rafiki Juice Bar, kuna vyuma za kutenganisha barabara kuu na service road hazina alama juu ya uwepo wake. Hii sehemu imekuwa chanzo cha kuumiza watu...
  3. polokwane

    Huwa nashindwa kuelewa hili ni bunge la wananchi au bunge la serikali? Mbona wananchi wanatekwa kila siku hatuoni bunge likiongelea wananchi wao?

    Hali ya utekaji sasa inatisha sikuhizi hadi visa binafsi vya mapenzi watu wanatekwa inaonekana kuna kikundi maalumu kinakodiwa kwa kazi hiyo nankina baraka za serikali, mwisho wa hali hii ninini? Na tuna vyombo vya ulinzi na usalama ?
  4. M

    Mbona wananchi wengi hawaamini kuwa Coaster hili limenunuliwa kwa mil 334?

    Coaster la mil 334👇
  5. Zack Abdul

    Wanaharakati mko wapi mbona hamsemi chochote? Upo wapi uhuru wa Vyombo vya habari? Mnatupa mashaka.

  6. Chakaza

    Jee Serikali Yaweza Kufungua Shirika la Kuuza Bangi na Mirungi Kwavile Wao wana Kinga? Mbona Inatoa Hadharani Taarifa Binafsi Bila Kibali cha Mahakama

    Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo? Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa? Hizi njia za mkato bila kujali sheria jee tutashangaa siku ikitokea serikali ikifungua Maduka ya kuuza mihandarati, Bange...
  7. Hance Mtanashati

    Mbona Nchimbi hauliziwi alipo ? Je watanganyika hawampendi?

    Sioni sauti ikipazwa au chochote kikizungumzwa kuhusu nchimbi. Jamaa amepotea kama kuku na hakuna anayejali wala kunyanyua mdomo wake kuhoji alipo. Huu ni usaliti wa hali ya juu watanganyika wamemuonesha nchimbi.
  8. Mhaya

    Mbona Paul Makonda hayuko frontline kwenye camera kama zamani

    Tunakumbuka kuwa Paul Makonda alikuwa mtu wa Main stream, ilikuwa ni ngumu kupita miezi bila yeye kuonekana kwenye media, alikuwa yuko radhi atangaze kuwaletea Arnold Schwarzenegger na Sylivester Stallone a.k.a John Rambo... lakini ni muda sasa haonekani kwenye media. Je kaamua kuwa low key au...
  9. Gunner11

    Kutoka 'Boss' Kwenda Kebehi: Mbona Heshima Hupungua?

    Moja ya kitu ambacho sisi wabongo tunajua vyema ni kumnafikiana.. Utakuwa kama mtu hakujui vyema, atakuita majina kama, boss, kiongozi, mkuu, kamanda.. And so forth.. Ila baada ya ku kujua au kuku friendzone utaanza kusikia inaitwa vitu vya ajabu, mara, yaani ukaribu ni kama kigezo cha ku...
  10. B

    Hivi nyie wanaume wenzangu mnaonunua malaya mnawezaje? Mbona mimi kila nikijaribu nashindwa

    When I was a young boy like 22 or 23 hivi ningeweza kwenda club huko ningekutana na malaya ninge negotiate nae kisha ningeenda gesti au kwa babu kumalizana nae. But now that am 41 nimejaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nashindwa.. Niliwahi kuandika Uzi hapa kuhusu ABC za Kitambaa Cheupe...
  11. Zack Abdul

    WANAHARAKATI, MBONA HAMSEMI KINACHOENDELEA KWA “MWALIMU” WENU HH?

    Na: Chris Bwaya Chilumba 31.08 2026 Mwaka 2017, HH akiwa mpinzani nchini Zambia, alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini. Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya sheria dhidi ya wapinzani na hatimaye mashtaka yakaondolewa. Mwaka 2021, baada ya Hichilema kushinda urais, baadhi ya...
  12. Sifi Leo

    Mbona sioni hashtag free Dr Emanuel Nchimbi mpaka sasahivi? WATANZANIA mmeanza kuzoea upotevu wa watu? Hay Mimi naanza FREE DR NCHIMBI

    Kwamba hqtujui kama huyu mtu hayupo kwa familia yake, hayupo ikulu? Na hajulikani alipo mpaka muda huu? Nawashauri msikate tamaaa nyinyi semeni freeee Tundu Lissu Free Dr Nchimbi ukimnya WENU ni hatari kwako na kwangu maana hatuko salama mpaka tukimbilie kenyaaaaa.
  13. R

    Mapadri na wanatheolojia wakatoliki mbona mnatofautiana kuhusu Utatu Mtakatifu?

    Jana jumamosi nilikuwa nasikiliza kipindi cha Tunu Zetu radio Amani ya jimbo katoliki Arusha. Padri alikuwa na mada ya Utatu Mtakatifu ambayo aliianza na ataendelea nayo. Niliwahi kupeleka hoja kwa Madrid, maaskofu na wanateolojia wakatoliki kwamba Mungu ni mmoja aliyejidhihirisha katika...
  14. T

    Nchi hii ina viongozi maprofesa na madokta wengi kabisa mbona sioni maajabu wanayofanya yanayoakisi uprofesa na udokta wao!?

    Kila nikijaribu kuangalia changamoto tunazokutana nazo hasa unaposhughulika na mambo ya kiserikali unagundua kwamba kila siku kero zinaongezeka. Sasa nini faida ya hawa maprofesa na madokta waliojazana kwenye uongozi? Tija Yao ni nini hasa tofauti na wasio kuwa na level hizo.!?
  15. F

    Kufukuzwa kwa Nchimbi mbona Kikwete kanywea kunani?

    Kichwa kiko wazi. Nashangaa. Kunani? Ni mpango wa kutupiga changa la macho au? Nani ni nani katika hili? Je, kiraka kajitambua au kujitutumua? Tutegemee kumagufuliana kama ilivyotokea? Je, damu ya wahanga itawaacha wawe na amani na uhai kweli? Nahisi kuna kitu bado hatujakijua wakati huu...
  16. papag

    Sasa mbona hauwaki?

    Au kuna shidoo?
  17. Subira the princess

    Hapa ukweli uko wapi? Mbona maneno haya ni ya kinabii.

    Wasalaam. Siku zote katika bara letu Africa watu wenye akili kubwa na maono huchukuliwa ni wasaliti, why?
  18. Mad Max

    Nilitaka kununua Drone kwa matumizi binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko za kununua?

    Ata nchi zilizoendelea wanao huu utaratibu wa kusajiri drones, ila zilizo chini ya 250g haziitaji usajili. Ila hapa lazima usajili ata kama ina gram 5. Gharama zake sasa kwa matumizi binafsi, tena Mtanzania 1. Kuisajiri $100 kwa drone (mara moja) 2. Kuitumia kwa siku $5 au kwa mwezi $100 au kwa...
  19. PROFOUND NOTION

    Kwa nini wadada wenye makebo makubwa huwadharau wenzao wembamba mbona sisi vidume wenye pesa huwa watu poa kwa wenzetu makapuku

    Mallerina aka kiuno nyigu, shepu ya zebra huwa ni kwanini lakini? Mbona tajir secretarybird ni mtu poa sana kwa apeche alolo wengi tuliomo JF?
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Hii ni tabia ya hovyo na kindezi: huendi kwenye misiba! Mbona huulizi kwenda kuona wagonjwa au wenye matatizo? Tabia za kichawi hizi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa za mtu mchawi ni pamoja na hiki ninachokieleza hapa. Kazi kuangalia nani kaja kwenye msiba nani hajaja. Nani Kala nani hajala Nani anafanya nini. Kufiwa hujafiwa wewe unapeleka mambo yako ya kichawi kwenye misiba ya watu. Subiri ukifiwa ndio...
Back
Top Bottom