mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sister Abigail

    Jamani mbona tumekuwa wakatili hivi?

    Watoto wadogo wanauawa kinyama,Kwa kosa gani? Kama una kosa labda na mzazi si Bora udeal nae mwenyewe? Mpaka Sasa sipati jibu. Mtoto Raiyan wa Zanzibar anaesoma kidato Cha kwanza alipotea akaja kuokotwa kakatwa mikono kauwawa. Jana mbagala mtoto wa miaka 6 Amour alikuwa anatafutwa Leo kakutwa...
  2. Kaka yake shetani

    Mungu kama anataka tuishi kwake, mbona anaendeleza dunia?

    Hizi imani zenu kila siku mtaambiwa kwa mungu kuna bikra 74,kwa mungu kuna rahaa,kwa mungu mapipa ya pombe,kwa mungu kuna kuimba na kucheza. Huyu mungu kama ana mapenzi na dunia kwa nini asifanye stop ya dunia tujue moja. Maana hata huko alishindwa kumzibiti mdogo wangu shetani.
  3. O

    WAKUU BOS BRELA MBONA INASUMBUA KUVALIDATE NIDA

    wakuu mmesolve vipi hii changamoto inaload tu kisha inajifunga haileti maswali ya kujibu
  4. Gunner11

    Watu wa Dar ni wazembe na wachafu sana.

    Nakumbuka kipindi ndo nina fika jiji la Dar.. Piga hesabu nikalipia chumba cha elf 60 single, Oya cha ovyo kinyama. Basi, nikaoneshwa pale kuwa wa au taratibu wa kulipia umeme elf 15! Maji na na taka elf5 so inakuwa ujumla elf 80. Nikawalipa, chumba kilikuwa haija kamilika, father house...
  5. N

    Polisi Tanzania, wakamateni Dotto Magari na Dudu Baya muwashikilie kwa muda. Mbona Tanzania tunaenda kuwa taifa la kijinga kiasi hichi??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Juzi hapa Waziri Katambi aliwaita baadhi ya wasanii akiwemo Dudu Baya na Dotto Magari. Dotto alienda, Dudu Baya akagoma. Dotto alipewa somo la maadili mema, Dudu baya akapewa summons/arrest warrant ya Polisi. Dudu Baya hakukamatwa, Dotto Magari akaachana na somo la...
  6. livingroom_espionage

    Nasikia Vise mchawi ni Kili tu, akipiga tano tu. Tumswalie Mtume. Lakini mbona vijana wa GSM sio walevi sasa kuna shida gani wakuu ?

    Ndio Maana yule kijana wenu anaitwa NURUVUZI watu wamvutia kasi tu anavyofanya ngonjera zake. Wewe hujui hapa JF tunakaa na wandewa.. Nawasilisha
  7. Alexido jz instagram

    41. Ramani brother Kweka kuchomoka huu msala, mnamkumbuka mmiliki wa mabasi ya j4 yupo uraiani mbona

    Nadhani kesi ya kuua sio nyepesi bro KWEKA kubali umekosea tena sana, ila hatujui yaliyomo kifuani mwako, kama tunge pata muda walau kidogo tu kukusikiliza huenda ungeaachiwa uondoke zako. Mmiliki wa MABASI ya J4 alimshoot mtu hadharani, tena inasemekana alie pigwa risasi alikuaga anamdai pesa...
  8. livingroom_espionage

    Sasa kama dunia ipo miaka Bil 30 sisi mbona tupo binadamu bil 10 tu kwenye uso wa dunia ?

    Kingine kama kwanzia mwaka 0 mpaka 2000 Kabla ya Kristo ukipiga hesabu na mwaka 0 mpaka leo mwaka 2026 baada ya Kristo, inakuwa miaka elfu 4 kwanini bado mpaka sasa tupo watu bilioni 10 duniani kote ? Wengi mtasema ni Bangi ila Sio bangi, Nimewaza tu. Nawasilisha Nawasilisha.
  9. Manyanza

    Wicknell Chivayo mbona hata kwenye orodha ya mabilionea wa Africa hayupo ?

    Hii hapa ni orodha ya matajiri wa Africa mwaka 2026, mbona huyu jamaa hayupo kwenye hii orodha na alitamba na kujulikana kama bilionea?
  10. M

    Traffic Goba Njia nne mbona kama uwepo wenu umeongeza foleni?

    Njia nne Goba round about kwa sasa kuna askari wa usalama barabarani wa kutosha sana wanaoongoza magari kupita kwa zamu, tunawapongeza sana kwa jitihada hii ya kupambana na foleni. Hata hivyo, toka mmeanza kuruhusu magari kwa zamu imesababisha foleni kuongezeka mara dufu. Kuthibitisha hilo ni...
  11. Sifi Leo

    Rais wa Tanzania hataki kupoteza muda,kufikili dhidi ya teuzi zake yeye anaangalia walioshindwa ubunge, mtu aliisha kuwa mbunge leo anakuwa dc?

    Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame. Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea. Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
  12. Gunner11

    Dhana Potofu ya Umri (makazini na jamii kwa ujumla)

    Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa. Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo wamatumbi wengi wamekuwa nayo, hasa makazini. Ukienda kufanya kazi na ukawa mtu wa kutoa output ya kazi...
  13. k-bee

    Je, mbona taifa la Malawi haliambiwi liombe kujiepusha na janga linalokuja?

    Wanajamvi natumaini mu wazima na mnaendelea vyema sana....!! Taifa la malawi lishawahi kupitia changamoto kubwa kipindi cha COVID na moja ya kiongozi wa taifa hilo alipiga kelele na kupaza sauti akiwasihi raia na waumini wa dini zote kumuomba Mungu atende miujiza taifa livuke salama...! Lakini...
  14. Mad Max

    Watalaam, PIN ya Kuverify Adsense Account kwa njia ya Posta kutoka Google mbona haifiki?

    Wakuu, nimerequest PIN kwaajili ya Kuverify Adsense Account, nimesharudia mara 3 sasa, ila haiji. Posta nimeenda sana (uzuri ni box private, na mtu wa Posta tunakutana so aliona jina langu lazima anishtue), ila wapi. Inamaana barua tatu zote zisifike? Na sijakosea address kwamaana barua...
  15. Sifi Leo

    Twende mbele, turudi nyuma, watanganyika tunazalauliwa mno, mbona sie ndo twatekwa, twapotezwa kwao hata kunguni haikuwahi tekwa?

    Mama Dr Samia suluhu Hassano, nina tumah u mzima wa Afya, na umemaliza Eda ya kifo cha mumeo salama salimini. Nina uhakika mwenyezi Mungu Baba Wa Mbinguni atakuwa amepokea dua zako ulizokuwa unamwombea Mumeo. Dr Samia suluhu Hassani mimi ni mtanganyika, mkazi wa kanyigo, jumapili ya leo...
  16. N

    Mbona sijawai kuona wazungu humu ?

    wakuu kwema inamaana hakuna wazungu single humu
  17. Gunner11

    Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

    Wanabodi... Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend. Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya viwete, kutenganisha bahari na hata kurudisha uhai kwa wafu. Je Mungu huyo yupo? Maana nimefika...
  18. M

    Wakili wa Sandaland: Vipi mbona kimya???

    Nilitegemea baada ya Speech ya Jana ya Waziri, leo Mzee wa Kokoto au Piko anayemtetea Sandaland aje na Come back ya kibabe...vipi mbona kimya???
  19. Mad Max

    Hivi Ronaldo si alisema anastaafu kuchezea team ya Taifa? Mbona leo anakipiga?

    Kombe la Dunia lilivoisha mwamba si alitangaza anastaafu kuchezea team ya Taifa Portugal? Cristiano Ronaldo kustaafu soka la kimataifa baada ya kombe la Dunia 2026 Mbona leo Tena uwanjani Portugal vs Wales?
  20. Waufukweni

    Hivi huyu Diamond alikuwa ametumia nini mbona kama anapepesuka?

    Staa wa muziki, Diamond Platnumz, ameonekana akishuka kwenye gari la kifahari aina ya McLaren huku akiwa amezungukwa na walinzi wake binafsi (bodyguards) ambapo anaonekana akipata changamoto kidogo wakati akitoka ndani ya gari hilo lenye milango inayofunguka kuelekea juu, hadi kufikia hatua ya...
Back
Top Bottom