mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wewe mama, mbona bado unakaza na kusupaza shingo

    Jamani ukimwa wake wa mda mrefu nilijua anajutia makosa yake.kumbe hamna bwana! Nimeshanga sana, alafu ni mama mwenye watoto na anaenda msikini. Watu maelfu ya watu wamekufa Watu wametekwa kwa maelfu hawajulikani walipo. Watu wamefungwa bila kosa Watu wamepotezwa Watu wamekimbia nchi yao...
  2. Mariam Uswazi ana upekee gani kwenyee vyakula vyake, mbona ni bei sana?

    Ambao mmeshawahi kula kwa Mariam uswazi mtuambie ana upekee gani kwenye vyakula vyake mpaka aviuze kwa bei kubwa sana. Utakuta ana post kachori 6, miguu ya kuku 8 bei elfu 15. Labda amepost chipsi zege na kuku nusu bei elfu 20 . Kachori 8 firigisi 4 kuku robo bei elfu 25. Bei zake haziendani...
  3. KERO Malipo ya kutumia Vyoo Stendi Kuu ya Mabasi ya Nyegezi - Mwanza yanatumika kufanya nini mbona vina hali mbaya ?

    Nimekuwa nikitumia Stendi Kuu ya Mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza kwa miaka kadhaa, nina kero kuhusu hali mbaya ya miundombinu ya vyoo katika kituo hicho. Stendi hii ambayo ilianza rasmi kutoa huduma Juni 5, 2023, inakabiliwa na changamoto ya kutokuwa na huduma bora za vyoo. Mabomba ya kunawia...
  4. Hivi viwanja mbona bei rahisi sana

    Kkwanja cha sqm 500 kinauzwa 1.5m unatanguliza 300k kisha unamalizia ndani ya miezi 6, au ni mbwinde sana huku?
  5. Azam tv, Utv Channel mna deal gani na huyu Godfrey Mchungu? Mbona mtupu kabisa kichwani?

    Kuna maswali najiuliza majibu sipati, ila JF siku zote ndipo yalipo majawabu. Kuna huyu kijana kila nikichungulia Morning trumpet ndio muda wangu wa kuangalia tv ni asubuhi nakuta mchambuzi mwaliko ni huyu Godfrey Mchungu. Shida yangu ni moja, kuna wachambuzi manguli kama Abdulkarim Atiki...
  6. A

    TBC Jambo Tanzania mbona mmeiondoa kwenye Youtube, vipi?

    Ni mwezi sasa kipindi chenu cha Jambo Tanzania cha kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 3 asubuhi haipatikani tena kupitia Youtube, vipi imekuwaje? TBC ni chombo cha umma kinatakiwa kipatikane kupitia njia zote za kielectoniki na za kawaida. Acheni UZEMBE!
  7. Taarifa za habari mbona kama zimelowa mvua, kulikoni?

    Katika hali ya kushangaza taarifa za Habari nchini zimekuwa na mfumo mpya, stesheni zote za runinga zinatoa taarifa za Habari zinazoandikwa na mtu mmoja! Na taarifa hizo ni za mikutano ya viongozi wa CCM hakuna taarifa zinazohusu wananchi pekee. Taarifa zinahusu rais wa Zanzibar ni lazima...
  8. Wakuu mbona isaya yunge Jana kwenye siku yake alitembea mwenyewe au ndo Ile tunaita ,HIS FAMILY IS HIMSELF FAMILY ?

    Ile ana walk along white carpet to the altar , au Kuna nini Nyuma , au wazazi wote hawapo ? ITS A PROOF REMINDER THAT IF YOU ARE BORN A MAN , YOU NEED TO LIVE AS A MAN , NO MATTER WHAT HAPPEN.....
  9. Z

    Mbona ushahidi uko wazi sana, Lissu alitamka mchana hadharani matamshi ya kuchochea wafuasi wake wafanye uasi, kinacho subiriwa leo adhabu itakuwaje.

    Hakuna maajqbu mengine kwa mwenye macho ameona na mwenye masikio amesikia. Ushahidi uliopo sio wa kutafuta kwa tochi. Lissu alitamka wazi mchana hadharani kuwa " lazima tutafanya uasi/ tutavuruga huu uchaguzi". Tunacho kisubiria leo hii trh 6/11 ni adhabu itakayo tolewa na mahakama, kunyongwa...
  10. N

    Dawati la jinsia Police Tanzania lina kazi gani ilhali kuna maafisa wa Ustawi wa jamii kila kata?? Mbona kesi za labor hazina dawati kituo cha Police?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Police Tanzania wao wana-deal na jinai (Crimes), masuala ya jinsia na watoto ni masuala ya maafisa wa Ustawi wa jamii waliopo karibia kila kata ndani ya Mkoa husika. Sasa lile dawati la jinsia katika ofisi ya OCS na OCD lina maana gani?? Mbona hakuna dawati la kesi...
  11. M

    Leo kuna nini, Mbona Barabara ya Morogoro Road hasa maeneo ya kimara mpaka ubungo kuna magari makubwa ya Polisi pamoja na polisi wengi wenye silaha?

    Toka majira ya asubuhi ,nimeshuhudia uwepo wa askari polisi wengi wenye silaha kwenye hii barabara! Je kuna shida yoyote?
  12. Mnashangaa kuhusu Lema, mbona mtashangaa sana?

    Pale chadema Kuna cream ya DJ imebaki MMM MAYAI TAITA Hata Professor ni kwasababu ya afya tuu imezorota lakini yule nae yupo kundi hili. Kabla ya mwaka kuisha hao nliowataja hapo wataonyesha rangi zao. Nyie wapumbavu sisi ccm chini ya daktari Samia (PhD) tuna njia zaidi ya laki2 za kucheza...
  13. Ccm acheni upumbavu aliyekufa leo ni mwaccm mwenzenu ingawa alidai yeye ni wa Nyerere sio wenu nyie matapeli toeni pole tu kwa familia ya Lissu mbona.

    Mbona Lissu alimpa pole Samia hata alipokuwa jera? Nawakumbusha tu alute ni mwanaccm mkongwe jamani toeni pole .
  14. Watu wa Dar mbona hamtuletei dagaa mchele huku Sikonge?

    Huku tunapambana tunawaletea asali. Siyo sisi tu, huko Mbeya wanapambana mnapata mchele. Njombe wanajitahidi kuwaletea viazi mle chips. Kanda ya ziwa wanawaletea ng'ombe. Nyinyi kinawashinda nini kutuletea dagaa mchele? Jumla ya eneo lote la bahari la Tz ni zaidi ya Km za eneo laki mbili. Ziwa...
  15. Kama mwisho wa haya yote, ni kifo, mbona watu wana hofu?

    Kama wewe hauna importance yoyote katika ulimwengu huu kwanini uishi kwa hofu? Unajua fika kabisa una muda mchche, ila bado utakuta unatumia muda mwingi kuwaza sijui wataniwazaje? Kama mwisho ni kifo, why not live the life you really want? Nini tatizo? Hasa sisi waafrika tunapenda sana...
  16. Nini kimempata shilole na shishi food yake mbona kama umaarufu wa biashara yake ya chakula umeporomoka?

    Shilole nini kimekupata mama au siku hizi unapika chakula kibovu au ndo Yale Yale badala ya kuweka juhudi zaidi kwenye biashara Yako ww umeweka juhudi ya kuwa mpiga vigelegele mashuhuri wa serikali ya mama Samia ukisubiria kuteuliwa kwenye nyadhifa mbali mbali? Watu walivyochoma mgahawa wako...
  17. Kuelekea 29 Oktoba 2026: Mbona serikali inaogopa TEC kuwaombea wauaji?

    Mapadre wawili, Stanslaus Muyebe na Alex Muyebe (2001), katika kitabu chao kiitwacho “The African Bishops on Human Rights: A REsource Book,” wanafafanua misimamo thabiti ya Maaskofu Kuhusu wajibu wetu wa kukuza na kuhami haki za binadamu, zikiwemo haki za kidini. Kuhusu haki za kidini, Muyebe...
  18. CHADEMA mbona hamsemi kuwa mmebwagwa kwenye tuzo ya Sakharov?

    Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo. Licha ya chadema kukesha kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli. Sababu iliyowanyima...
  19. Kwanini Tanzania tumeng'ang'ania uchumi wa frame za maduka? Mbona hata ufugaji unalipa?

    Mwanzoni sikuwa na exposure kabisa niliamini Frame ndio njia pekee ya kupata ukwasi, vijana wamefata mkumbo huo huo kijana ana mtaji wa million 5 anaenda kulipia Frame 1.5M per year anafatilia vibali laki 5 yote inaisha huko bado hajafanya decoration dukani mwisho anabaki na million 2.5 baada...
  20. O

    TRUE Mbona unatupewa watoto wako tena haugopi coffin

    The statement in the image is real and accurately attribute the remarks to Homabay Town Mp Peter Kaluma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…