mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC01 Njia ya upatikanaji wa fedha kupitia mzunguko wa fedha nchini

    Mzunguko wa fedha ni kiwango cha fedha ambacho kipo katika jamii kupitia matumizi mbalimbali ya serikali. Mzunguko wa fedha hutokana na sera mbalimbali ambazo ni zimewekwa na Bank kuu katika kuruhusu kiwango cha mzunguko wa fedha KWA NAMNA GANI MZUNGUKO WA FEDHA UNAWEZA KUWA MDOGO Mzunguko wa...
  2. Mbinu za matapeli update 2021

    Kwa wamiliki wa saluni, Unapigiwa simu kuna deal la kusuka watoto yatima wa kituo cha Mama Mkapa kila Jmosi toa hela upewe tender. Mama ntilie na wapika chips. Kuna tender ya chips kuku na mayai kila week mara tatu kwa watoto yatima 100. Toa hela upate kazi. NB: Wanangu tu hawali chips kuku...
  3. SoC01 Mbinu za kupata mafanikio kwenye masomo

    Mbinu za kupata mafanikio kwenye masomo fanya haya 1. MTANGULIZE MUNGU KATIKA MASOMO YAKO. Hili ndio jambo kubwa katika mafinikio ya kielimu.Mungu ndio kila kitu,hakikisha unajenga tabia ya kuombea masomo yako kila siku na kila mara,kila siku unapoamka asubuhi kabla ya kwenda shule au chuo piga...
  4. Mbinu za kukwepa gharama za mitandao

    Binafsi. Natumia mbinu zifuatazo: 1. Sipigi simu ovyo unless kuwe na ishu ya msingi 2. Situmi hela kabisa kwa mitandao pia itokee dharura sana 3. Luku sijui nini naenda kununua physically kwa wakala 4. Hi mambo ya simu banking nimetoa kabisa 5. Nikitaka 50,000 natoka 400,000 mpunga naweka home...
  5. Mbinu za kukabiliana na mbu

    Habari zenu wadau, Leo tupeane mbinu mbalimbali unazotumia kukabiliana na mdudu msumbufu mbu. Wengi wetu hutumia chandarua lakini zinaleta bad looking ya chumba chako. Pia si muda wote utakua kitandani ndio ujikinge na mbu. Ukitumia spray nayo maharufu makali, ukifunga dirisha especially hizi...
  6. Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    Habari zenu wana boni. naomba mtaalamu wa mchezo wa drafti atufafanulie/atufundishe copy za mchezo wa drafti kwa mifano ya picha.(majina maarufu ya kopi hizo kwa mujibu wa wikipedia ni hizi): samba sumu ya pandu mabano goma la kizee patasi kata mara mbili mbuzi kavimba tege bana mbavu chotara...
  7. Uzi maalumu wa mbinu za kushinda kesi za kucheat(Me/ke)

    Habari ya mchana wana JF. Siwezi kusema sijawah kukamatwa kuwa na cheat, nimekamatwa mara kadhaa lakini sijawahi kukubali kuwa nakataa sijacheat. Mbinu yangu ni kukataa katu katu. Njoo tupeane mbinu za kizamani na kisasa za kujibu kesi za kucheat pale unapofumwa na mpenzi wako. Nb. Huu uzi...
  8. B

    CAG fanya ukaguzi maalum kwa waliotumbuliwa ili kuona hasara Taifa iliyopata na ushauri mbinu kukabiliana na utumbuaji usio na tija

    Hakuna Jambo linalodhorotesha Utumishi wa umma nchini Kama hii style yakutumbuana kila siku. Viongozi wa nchi wameacha kutafuta suluhu ya matatizo ya wananchi badala yake wamejikita kutumbua kila siku na bila hoja ya msingi. Clip ikirushwa mtandaoni tayari mtu amefukuzwa kazi bila kujali uhusika...
  9. Mbinu mpya wanayotumia matapeli wanaotuma meseji

    Habarini za asubuhi, Wale jamaa zetu wa "tuma kwenye namba hii" kisha wakaja na kauli mbiu yao ya "Mimi mwalimu mtoto wako ameanguka ghafla tunaomba utume pesa kidogo ya kusaidia matibabu ya haraka huku ukijiandaa kuja" wamekuja na kauli nyingine isemayo: " Habari yako? Mimi mwenye nyumba wako...
  10. Kuwa na six pack sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni, mapenzi ni sayansi

    Wakuu, Kuwa na six park sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni. Watu wamekazana kwenda jim kuvimbisha vifua wenzako wanatumia sayansi ya mapenzi. Kama tu kidole cha pete kinaweza kumfikisha mwanamke kileleni kwanini mnahangaika kunyenyua mivyuma. Mapenzi ni sayansi, na sayansi ya mapenzi ni...
  11. Nisaidieni mbinu za kupambana na huyu jirani 'mwizi wa umeme'

    Hii nyumba ninayoishi tupo wapangaji watatu kwenye compound moja. Nimehamia hapo huu ni mwezi wa pili unaenda kuisha. Ndani ya hizi wiki chache, nimeona mabadiliko makubwa ya matumizi ya umeme. Mwanzoni ilikuwa natumia wastani wa unit 2.4 kwa siku, ila kwa sasa imepanda mpaka 3.6 kwa siku...
  12. Video: Mbinu za Kimila za kuiangusha Kaizer Chiefs zaanza kutumika

  13. M

    Ukiwa hujaalikwa Eid na unataka Kutengeneza Mazingira ya Kualikwa ili ukale Pilau la bure utumie mbinu gani?

    Vyakula ndiyo vinaanza Kupikwa sasa tafadhali wengine hatujaalikwa ila kuna sehemu kadhaa dalili zote za Pilau zinajionyesha je, tutumie Mbinu gani ili tulazimishe Kualikwa? Kama sijaalikwa Leo au hata sijatengeneza Mazingira ya Kualikwa Mchana wangu na Jioni yangu naona itakuwa mbaya na...
  14. K

    Waziri wa Maji, Mbinu hizi za ulaji chini ya Wizara yako unazijua?

    Kama Kuna zoezi gumu na linaweza kuitia hasara serikali nikushindwa kusimamia suala la taasisi zinazosimamia maji nchini. Taasisi hizi zihujumu huduma ya maji kwa njia zifuatazo; 1. Ukiomba kuunganishiwa maji upati msaada huo au utaambiwa subiri mradi utakuja ufike kwako, lakini ukizungumza na...
  15. M

    Mbinu yangu yaelekea kufanikiwa

    Wanajamvi wiki kadhaa zilizopita niliwaelezea mazingira magumu nilioyapata baada ya mzazi mwenzangu kupata mwenza nakuniwekea vizingiti vya mawasiliano akitaka niwasiliane na yeye(mume) kwa ishu zinazohusu mtoto kitu ambacho sikuridhika nacho Nlichokifanya nilimpigia simu mama mtoto...
  16. Dodoma: Spika Ndugai awapa mbinu CHADEMA ili awafukuze akina Halima Mdee

    Spika wa Bunge Job Ndugai, amemuagiza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, kuandika barua ambayo ataambatanisha na katiba ya chama chake pamoja muhtasari wa kikao kilichofanya maamuzi ya kuwafukuza uanachama wabunge 19 wa chama hicho. "Aandike barua...
  17. C

    Naomba kujuzwa mbinu za kutumia ili kupata mafao yako haraka baada ya kustaafu

    Habari zenu wakuu? Naomba tusaidiane namna bora ya mtu kupata mafao yake kwa haraka maana kuna mzee wangu amestaafu ualimu tangu January mwaka jana na mpaka leo anafuatulia mafao yake bila mafanikio. Kila akienda mkoani hapo Kibaha anapigwa sound file halijatoka, mara Email haijasomwa yaani...
  18. Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

    Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi. Back to the topic. Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuruka kihunzi kimoja baada ya kingine. Vihunzi vilikuwa vingi sana...
  19. Mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao

    Nchi yetu inasifika kwa kuwa na waajiri wasiowaaminifu. Hili mimi mwenyewe nimejionea. Sasa basi, ili kusaidia kukomesha hili tupeane mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao. Weka kazi yoyote, uhasibu, ualimu, mabaa medi, fundi ujenzi, udereva nk. Wizi sio lazima pesa, weka wezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…