Nimeishi mikoa zaidi ya 8 hapa Bongo ila hakuna mkoa ulijua kuninyoosha kama Mbeya.
Nakumbuka mara yangu ya kwanza kabisa kufika 2018 iyo nilikaa Lodge kama wiki hivi nikitafuta Chumba cha kuishi nikabahatika kupata maeneo ya Checkpoint-Forest ya Zamani huwezi amini baada ya wiki tu nikaibiwa...
Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi amekerwa na uzembe na taarifa zisizo sahihi zilizotolewa na Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Mbeya kuhusu ufunguaji wa barabara ya njia nne.
Ndejembi ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 17, 2026, baada ya kufanya ukaguzi wa kushtukiza eneo la...
Wakati ulimwengu ukienda haraka, na watu wengine wakiangalia namna ya kuongeza ufanisi na kupunguza maudhi, Tanzania naona bado sana tunapiga marktime.
Yaani gari tumekata ticket, inayoonesha saa 1830 inawasiri ila hadi saa 2015 bado haijaja.
Na wahusika wakiulizwa jibu ni rahisi kabisa...
Ndugu wana JF, wakazi wa Mbeya, Mbalizi na maeneo yake hadi Ifisi, tunapitia changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji majumbani.
Ni takribani wiki tatu sasa maji hayajatoka, lakini cha kushangaza, leo maji yametoka wakati Makamu wa Rais alipowasili Mbeya. Hali hii inazua maswali na kuwafanya...
YAH: OMBI RASMI LA KUMUOMBA MAKAMU WA RAIS KUTEMBELEA WILAYA YA CHUNYA ILI KUJIONEA CHANGAMOTO ZA UMEME ZINAZOWAKABILI WANANCHI NA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU.
YAH: UWEPO WA WILAYA YA CHUNYA KATIKA RATIBA YA ZIARA YA MAKAMU WA RAIS TAREHE 16 OKTOBA 2026.
Kwa heshima na taadhima, tunaomba...
Katika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru.
Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es Salaam ni watu wa "shughuli" zaidi, starehe, umbea, udaku na kupiga maneno. Bila bandari Dar es Salaam...
Kwa masikitiko na wasiwasi mkubwa, tumepokea taarifa kuwa Mr. Jose Mbeya, ambaye ni mwanachama wa CHADEMA, amechukuliwa leo alfajiri na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa Polisi.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na ndugu zake, watu hao walieleza kuwa wanampeleka katika Kituo cha Polisi...
Mnamo mwishoni mwa mwezi Februari 2026, uongozi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Southern Highlands kilichopo Iyela-Mbeya uilitangaza kuwa wanahitaji Madaktari wa upasuaji wa Kinywa na Meno kwa ajili ya kufundisha wanafunzi wa Stashahada ya Utabibu wa Kinywa na Meno (Diploma in Clinical...
Leo najaribu kupanda basi hili la Katarama....
Kwa mjibu wa tiketi bus lilitakiwa kuondoka Mbeya saa 9... hadi sasa ni saa 9:50! Na hakuna dalili zozote kama bus hili litafika toka Tunduma.
Kwa waliowahi kupanda bus hili tokea Mbeya naomba ushauri wenu. Aidha hizi safari za transit hapa Tz...
Baadhi ya Watumishi wachache wa Halmashauri ya Busokelo - Mbeya, wenye zaidi ya miaka mitatu tunahangaika na uhamisho, familia zipo mkoa mwingine tunatumia gharama kubwa kwenda kuwaona.
Mwaka jana 2025 walitoa ujumbe kwenye account zetu za ESS kuwa wanaotaka kuhama kuwafuata wenza wao waandike...
Anonymous
Thread
halmashauri
majibu
maombi
mbeya
miezi
tamisemi
uhamisho
zaidi ya
Mbeya niwaulize,.mnafanya science na technology gani tangu muanzishe hiyo taasisi?
Mmetoà matokeo gani katika uwania wenu wa science and technology? Orodhesha tangible outputs for society consumption!
Najua ndiyo mmeamza juzi chuo chetu, angalau kuna njia fulani mmeianza kufika walikoanzia...
Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu.
Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) wa Mwaka 2024. Kutokana na kuchelewa...
Anonymous
Thread
bachelor
bachelor degree
chuo
chuo kikuu
degree
kikuu
kufuata
malipo
mbeya
must
mwaka
mwaka 2025
refund
taratibu
wanafunzi
Huyu ni muimbaji wa nyimbo za asili kutoka Mbeya. Ana sauti ya kuvutia na muziki mzuri wa asili unaovutia kusikiliza hata kama huelewi anachoimba.
Achaneni na hayo mabongo fleva ,sijui amapiano. Burudani AFCON iwe ni nyimbo za asili za akina Awilo na singeli za maadili.
Chunya, Mbeya
Wananchi mkoani Mbeya wanaendelea kupata huduma kwenye Kliniki ya Ardhi Kidjiti inayoendelea wilayani Chunya, ambapo jumla ya wananchi 227 wamepata huduma, Hatimiliki 120 zimesajiliwa huku Hati 57 zikitolewa kwa wananchi.
Kwa upande wa mapato, mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha...
Wananchi wa eneo la Iduda, Jiji la Mbeya, hususan maeneo yanayozunguka Shule za Msingi na Sekondari Iduda, tunakabiliwa na tatizo kubwa la kukatika kwa umeme mara kwa mara.
Kwa wastani, tunapata umeme kwa takribani siku nne pekee kati ya siku saba za wiki. Tumekuwa tukipiga simu mara kwa mara...
Anonymous
Thread
eneo
huduma
huduma ya umeme
jiji
jiji la mbeya
makete
mbeya
sana
umeme
Hayo yamebainishwa na Dkt Tibera Rugambwa, Kaimu kitengo cha saratani Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya inayohudumia mkikoa saba ya Mbeya,Iringa, Njombe,Songwe,Ruvuma,Rukwa na Katavi wakati wa kupokea msaada wa vifaa tiba na dawa kutoka kwa Jema Baruani Mkurugenzi wa Taasisi ya Jema Foundation...
Naomba nitoe kero yangu kwa mkuu wa shule na Makamu mkuu wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dr. Tulia, Mbeya
Kero; Hawahudumii watu kabisa (wageni wanaofika) ,watu wanakwenda shuleni kwa shida mbalimbali lakini wanaambiwa na mlinzi, 'wahusika bado hawajafika', lakini kiuhalisia wahusika wapo...
Ndugu wanajamii na mamlaka husika,
Huu ni uendeshaji hatari sana wa chombo cha moto na ni jambo ambalo halipaswi kuachwa liendelee kuwa kawaida.
Kama inavyoonekana kwenye video, dereva wa bajaji hii amejaza abiria kupita kiasi hadi amekosa kabisa nafasi ya kawaida ya kukaa. Ili kuweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.