mbeya

  1. M

    Mwananchi wa Mbeya: TANESCO msikate umeme, wa mitandao msizime tuangalie kinachoendelea Kabwe

    Jamani, hii ndiyo hali inayoendelea Mbeya. Hali ni mbaya. Hii hapa ni stendi ya Kabwe ambapo pale watu wanakuwanga nyomi, watu wanakuwanga wengi. Sa hivi Kabwe ni nyeupe. Nyeupe. Watu tupo tu nyumbani tumetulia, tumenyosha miguu. Tanesco Mbeya, tunaomba msikate umeme. Narudia tena, Tanesco...
  2. Manyanza

    Video: Kinachoendelea Mbeya

    66K views · 3.8K reactions | Nini kinaendelea Mbeya?? 🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️ | Malisa GJ
  3. Parabolic

    Bajaji zaanza kurejea mtaani Mbeya, daladala zalalamika

    Bajaji jijini Mbeya zimeanza kurejea barabarani baada ya kusitisha huduma kwa takribani siku mbili kupinga kuondolewa katika barabara kuu ya Tanzam, huku wananchi wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC), Jumanne Sagini, kusimamia msimamo wake wa kutaka vyombo vya usafiri kuzingatia sheria. Hata...
  4. Roving Journalist

    Video ndefu ya kilichotokea Oktoba 21, 2026 kati ya Mbunge na Madereva Bajaji wa Mbeya waliofanya mgomo

  5. T

    Shkamoo mbeya mkuu wa mkoa asalimu amri baada ya mgomo na maandamano kupinga kuondolewa mjini kiholela!

    Baada ya vuguvugu la takribani siku nne lililohusisha mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji na wamachinga hatimae serikali imesalimu amri kwamba ilikurupuka kutoa amri ya kuhamisha watu bila kuwaandalia mazingira mbadala rafiki ya kufanyia kazi zao. Kutokana na shinikizo hilo serikali...
  6. Traxtion

    Hivi haiwezekani kutengeneza Outerring Roads kuzunguka jiji la Mbeya kama walivyofanya Dodoma?

    Dodoma wanamalizia kujenga Outerring Roads ambazo zinazunguka jiji la Dodoma kwa pembeni ili malori na magari mengine yakatize huko bila kugusa eneo la mjini, kwa nini hii isifanyike Mbeya? Kama wameona kuna msongamano jijini kwa nini wasitengenezee malori njia zao wenyewe? Sasa unazuia bajaji...
  7. figganigga

    Viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo

    Viongozi wa Chadema Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo walipo kuwa wakienda kwenye harambaee ya ujenzi wa ofisi ya chama Kijiji Cha Ilundo Kata ya Kiwila Hakuna aliumia wala kufariki dunia
  8. masopakyindi

    Hongera Mkuu wa Mkoa Mbeya: Bajaji zidhibitiwe Mbeya, ni kero kubwa

    Pamoja na mandhari isiyoridhisha katikati ya mkoa wa Mbeya, bajaji zimekuwa zinaonyesha uozo mkubwa zaidi kiutawala Jiji la Mbeya, kwa upande wa usafiri wa umma. Bajaji zimeonyesha lawlessness, zinakupita kulia na kushoto na kwa hakika ni kero kubwa. Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na...
  9. M

    Mara walianzisha vuguvugu la Mo29, This time ni Mbeya, hakika sijawai kuona mikoa yenye watu wasio na uoga kama Mara na Mbeya. Mikoa mingine mjifunze

    Kinachoendelea huko Mbeya kimeonyesha hii ni version nyingine kabisa ya vijana waliojivua gamba la uoga Gari za polisi zinaonekana kama ambulence, zinawasogelea wakidhani watakimbia ila hawana hofu kama tuliyozoea Mikoa mingine kama Kigoma, Kagera, Rukwa, Singida, Iringa, Ruvuma, Tanga...
  10. Parabolic

    Mgomo madereva wa bajaji Mbeya: Kinachoendelea leo Oktoba 21

    Usafiri wa daladala umeanza kurejea katika baadhi ya maeneo, ikiwemo njia za Kabwe–Iyunga na Kabwe–Mjini/Uhindini, ingawa idadi ya daladala bado ni ndogo. Soma zaidi: Vurugu Mbeya: Waendesha bajaji wagomea agizo la Mkuu wa Mkoa kubadilishiwa ruti Jumanne Sagini atoa ufafanuzi sakata la...
  11. T

    Mbeya hali ni tete baada ya kuanza utekelezaji wa agizo la mkuu wa mkoa

    Nimeona mitandaoni na nikajaribu kuwapigia jamaa zangu waliopo mbeya ni kwamba kuna taharuki kubwa na kuna maandamano na migomo inafukuta kwa nguvu sana chini kwa chini kufuatia agizo la mkuu wa mkoa kuhusu hamisha hamisha ya machinga bajaji na bodaboda hasa maeneo ya mwanjelwa.
  12. U

    Mshangao, Dodoma Nje ya Kumi bora mikoa mikubwa kiuchumi (GDP) Licha ya Mbwembwe za SGR, Magorofa, V8, Ring Road, DAR , MBEYA Kinara, Nini Shida??

    Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali. Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/...
  13. C

    Jumanne Sagini atoa ufafanuzi sakata la waendesha bajaji Mbeya

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Jumanne Sagini, ametoa ufafanuzi kuhusu vurugu zilizojitokeza kwa baadhi ya waendesha bajaji mkoani humo kukaidi maagizo ya Serikali na kuamua kujichukulia sheria mkononi kwa kuanzisha vurugu. Akizungumza katika TBC Aridhio leo Oktoba 20, 2026, Sagini amesema mnamo Oktoba...
  14. Kylor

    Nina dukuduku kuhusu Mbeya

    Nime tokea kuto papenda kwasababu Mbeya ni kama kijiji kilicho changamka ni mji ambao hauvutii kabisa ni vibaya kuliita jiji licha ya kukusanya kodi nyingi ila mbeya ni pabovu sana sijui wenzanguu mna paonaje? Nitajieni sehemu za starehee mbeya ambazo ni classic? Ata dodoma pazuri mji ulio...
  15. M

    Yameanza Mbeya Leo. Kufikia Oktoba 29 watakimbia Ikulu.

    Kwa ujumla hii serikali imejaa uovu na wananchi hawaitaki. oktoba 29 wananchi wanareknew upya. Sina mengi.
  16. A

    KERO Watumishi wa Afya - Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Mbeya, tunaomba timu ya DMO ivunjwe na uchunguzi ufanyike

    Watumishi wa afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Mbeya, tulitoa malalamiko kuhusu DMO, In-charge wa Hospitali ya Wilaya, Katibu wa Afya wa Wilaya na timu yake ya CHMT, tukidai kuwepo kwa matumizi mabaya ya mapato ya hospitali kwa starehe, ikiwemo safari za Matema Beach, wakati...
  17. ChoiceVariable

    Mbeya Yajipanga Kuipiku Dar na Mwanza Kiuchumi,RC Sagini Asimamia Shoo ya Kuboresha Miundombinu ya Usafiri na Biashara.

    My Take Ili hili litokee inatakiwa kufanyika mambo yafuatayo Kwa haraka sana 1.Kujenga Barabara ya Lami kutoka Mbalizi-Makongolosi-Rungwa JCt-Taborq/Singida 2.Kupanua Barabara ya Lami kutoka Tunduma-Igawa kuwa njia 6 sio 4 pamoja na Bypass zake za Mbalizi na Uyole 3.Kujenga Barabara Kwa lami...
  18. UTPC

    Mbeya: Baadhi ya Mifumo ya utoaji huduma kwa viziwi inakiuka Sheria za nchi na Mikataba ya Kimataifa

    Katika makala iliyopita, tuliona ukubwa wa tatizo la ukosefu wa wakalimani wa lugha ya alama katika vituo vya matibabu katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Katika mfululizo wa makala hii, leo tutaangazia kiini cha mgogoro huu wa kibinadamu na kisheria. Sehemu ya kwanza ~ Mbeya: Wenye changamoto...
  19. UTPC

    Mbeya: Wenye changamoto ya kusikia wanapitia wakati mgumu katika Vituo vya Afya

    Katika Mkoa wa Mbeya wenye zaidi ya watu 12,000 wenye ulemavu wa kusikia, ni kituo kimoja tu cha kutolea huduma za afya chenye mkalimani wa lugha ya alama. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu Mkoa wa Mbeya (CHAVITA). Hata hivyo, nyuma ya hali hiyo, kuna maumivu makubwa...
  20. figganigga

    SINOHYDRO wa Barabara za Iringa na CHICO wa Barabara za Mbeya ni Kampuni dada na hamsemi?

    Sinohydro Corporation Limited na China Henan International Cooperation Group Co., Ltd(CHICO) ni Kampuni dada. Yaani zote zinamilikiwa na Serikali ya china. Zote zinafanya kazi chini ya SASAC taasisi ya Baraza la Serikali la China inayosimamia mali za serikali katika makampuni husika. Na hizi...
Back
Top Bottom