mbeya

  1. M

    Mwanza imepitwa hadhi na Arusha, ni local city kama Mbeya na Tanga. Uwanja wa Serengeti utaipush Mwanza, tatizo ni kukosa elimu kwa baadhi ya viongozi

    Juzi nilisikiliza podcast moja na walitoa hoja ambazo kwa kweli zilikuwa na mantiki sana kuhusu hadhi ya majiji yetu nchini. Hoja kuu ilikuwa kwamba Mwanza haina utambulisho au hadhi yoyote ya kipekee nje ya kuwa jiji la kikanda, isipokuwa tu ni kubwa kijiografia, majengo na idadi ya watu...
  2. Mkuu wa Mkoa Mbeya awapa bajaji siku tatu kuhama TANZAM highway!

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Sagini amewapiga mkwara mzito wenye bajaji. Kawaambia mwisho jumapili, jumatatu bajaji isionekane barabara Kuu ya TANZAM. TUKUMBUKE Wiki karibia nne zilizopita bajaji waligoma kwa siku karibia nne wakitaka waachiwe kuendelea kubarizi hii barabara kuu. Kwa Mbeya...
  3. MBEYA NI KAMA BAJAJI NI NYINGI KULIKO IDADI YA WATEJA

    Kamwe usianzishe biashara kwasababu Umeona mwenzio ameanzisha na anapiga pesa. Kumbuka kila biashara inachangamoto zake,na inahitaji uzoefu flani. Jana nilikua Jiji la Mbeya ni kama BAJAJI NI NYINGI kuliko idadi ya watu wanaohitaji huduma hiyo(sina uhakika hii ni assumption tu). Nikawaza...
  4. Hii ndio sababu kwanini wanawake wa mbeya wanamiguu yenye nunduu nyuma

    Nimefika hapa jijini mbeya ninamuda wa Wiki kadhaa hapa baada ya kukaa hapa kwa hizi siku nimejua kwanini wanawake wa mbeya by original wanamiguu yenye nundu kwa nyuma hii ndio sababu maeneo mengi ya jiji la mbeya ni milima hivyo wanawake hulazimika kupanda milima kufata huduma za kikajamii kila...
  5. Show ya miaka 30 ya Bongo fleva Mbeya tarehe 07 inaweza ikaathirika kwa njia hasi endapo kutakuwa na maamuzi tofauti kesho katika kesi ya Lissu?

    Ni muhimu management yao wakatanzama Hilo jambo either wasogeze show mbele au mahakama imuachie huru Lissu kesho Kinyume na hapo inaweza kuibua tension, hasira n.k nakupelekea show yao kuharibika. Maana Mbeya ni Moja ya mkoa wa kisiasa ambao upinzani Wana nguvu kubwa sana.
  6. Mbeya tunapata burudani

    Uzi umekamilika maeneo ya burudani jijini mbeya hasa machimbo yetu yale 😂
  7. Mvua ya dakika 10 yasababisha maafa, yasomba bidhaa na kuku Nzovwe, Mbeya

    Mvua iliyonyesha kwa takribani dakika 10 jijini Mbeya imeacha kilio kwa wakazi wa Mtaa wa Nzovwe baada ya maji kuingia kwenye nyumba na kusomba bidhaa za wafanyabiashara, zikiwemo kuku. Mvua hiyo ya mawe iliyonyesha leo Jumanne, Novemba 3, 2026, imesababisha mafuriko yaliyoathiri makazi na...
  8. Katibu wa CHADEMA mkoa wa Mbeya Hamadi Mbeyale akamatwa na polisi, nyumbani kwake na kufanyiwa upekuzi

    Katibu wa Mkoa wa Mbeya Hamadi Mbeyale amekamatwa na Jeshi la Polisi tangu Jana Tarehe 01 Novemba, 2026 majira ya Jioni na muda huu wametoka nyumbani kwake kufanya Upekuzi bila kusema Wanamshikilia kwa Kosa Gani, Wamempeleka katika Kituo Cha Polisi (Central). Soma Pia: Katibu wa CHADEMA...
  9. L

    Rais Samia Aanza Kutandika Lami Ya Njia Nne Mkoa wa Mbeya Kwa Kasi ya Ndege Vita. CHADEMA Washinda Barabarani wakijipiga Picha Utafikiri Wahitimu

    Ndugu zangu Watanzania, Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge. Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
  10. B

    KERO Watumishi wa Shule ya msingi Azimio, Mbeya hatujalipiwa michango ya Bima tangu mwezi Julai

    Sisi ni baadhi ya watumishi wa Shule ya Msingi Azimio, tungependa kulifikisha malalamiko yetu kwa mamlaka husika kuhusu kutolipwa kwa michango yetu ya bima ya afya tangu mwezi Julai, licha ya makato kuendelea kufanyika kwenye mishahara yetu. Hali hii imetusababishia usumbufu mkubwa, kwani...
  11. Mbeya yapata Joto la Siasa: Wasafwa na Wanyakyusa watajwa katika Mjadala wa Ukabila kuelekea Uchaguzi wa CCM 2027

    MBEYA, joto la kisiasa linaanza kupanda kuelekea uchaguzi wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mwaka 2027, huku mjadala kuhusu ukabila kati ya Wasafwa na Wanyakyusa ukizidi kujitokeza katika mazungumzo ya kisiasa. Vikao na vijembe vya chini kwa chini vinaendelea, hali inayofanya suala la...
  12. A

    HOJA Je, ni halali Wanafunzi wa darasa la sita na la saba kulazimishwa kwenda shule wakati wa likizo?

    Wakuu, je, ni halali wanafunzi wa Darasa la Sita na la Saba kulazimishwa kwenda shule wakati wa likizo, licha ya Serikali kuwa imetangaza mapumziko, hususan kutokana na tahadhari ya mvua za El Niño? Kinachoshangaza zaidi ni kwamba, ili kuficha utaratibu huo, wanafunzi wanaambiwa waende shuleni...
  13. M

    Kungekuwa na chama chenye mizizi Mbeya, Ccm ingechomolewa ! Mbeya ni moyo wa harakati, historia ya kupambania haki na hawayumbi kirahisi kwa asali.

    Niliwahi kuishi Mbeya na kuna jambo moja nililoligundua kuhusu watu wa eneo hilo: wana viashiria vingi vya kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa na uwezo wa kuendesha harakati za mabadiliko. Tatizo lao si ukosefu wa ari, ujasiri au dhamira ya kupinga mifumo isiyo ya haki. Tatizo kubwa ni kukosekana kwa...
  14. C

    Mbunge Mwalunenge: Tanzania ya Rais Samia ni kama Ulaya

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara...
  15. A

    KERO Tulilipa Ada Veta Mbeya, hatukusoma kwa vitendo, hatujapewa Leseni, tukiuliza wanatuzungusha

    Mimi ni dereva wa malory nimesoma VETA Mbeya tangu mwezi Juni 2026 lakini mpaka leo hatujapata vyeti, leseni zimeisha tunashindwa kuhuisha leseni zetu tulio wengi kazi tumeachishwa kwa kutokuwa na leseni, familia zetu ninahali mbaya😭 Wanasema japo si taarifa rasmi ya chuo ni kwamba kilifungiwa...
  16. Vumbi linalotokana na Ujenzi wa Barabara ya Nsalaga - Ifisi, Mbeya limekuwa na athari kubwa kwa Watu

    Wakati ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi Ifisi jijini Mbeya ukiendelea, wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kando kando ya barabara hiyo wanaendelea kukabiliwa na vumbi, foleni na changamoto nyingine za usafiri. Sehemu ya kwanza ~ Miradi ya Barabara kutokamilika...
  17. M

    Mbeya ni injini ya siasa za upinzani Tanzania. Walichokosa ni chama chenye mizizi Mbeya na kiongozi CHADEMA, lakini harakati na hamasa, hawana mfano

    Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
  18. Mbeya ni mkoa ambao upo exploited na CCM

    Inawezekanaje mkoa unaochangia mapato makubwa kuliko Dodoma una miundombinu duni hivi? Ni important Region kwenye uchumi wa Tanzania lakini barabara zake ni mbovu sana hususani mitaani, hakuna barabara za lami Nilikuwa Dodoma, nimeona kuna sehemu ambazo hata hazipo busy zimewekewa njia nne...
  19. Hivi Mbeya ni nchi au mkoa? Jumuiya ya watu wa Mbeya iheshimiwe na watu wote

    Jumuiya ya watu wa Mbeya ni ya kipekee sana. Watu wake huwezi kuwalinganisha na wananchi wa sehemu nyingine Tanzania. Ufahamu wa haki zao uko juu sana, wana uthubutu wa kudai haki zao bila ya kuogopa magari ya upupi, mabomi ya machozi wala risasi za jeshi la Policcm. Vijana wa nchi nzima...
  20. Serikali Yasitisha Usajili wa Bajaji Mpya Mbeya, Zilizopo Zapewa Siku 14 kutumia barabara kuu

    Serikali imesitisha usajili wa bajaji mpya katika Jiji la Mbeya, huku bajaji zaidi ya 6,000 zilizopo zikiruhusiwa kuendelea kutumia barabara kuu kwa siku 14 wakati tathmini ya changamoto za miundombinu ikiendelea. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…