mazungumzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Trump aionya Iran itarajie mambo mabaya kuipata isipokubali mazungumzo kusitisha mpango wake kutengeneza silaha za nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Trump warns of ‘bad, bad things’ for Iran if nuclear deal not reached 14 hours ago Share US President Donald Trump waves at reporters at the White House, March 28, 2025. US president Donald Trump warned Iran on Friday that “bad...
  2. Godown linapangishwa Mbeya mjin

    Godown linapangishwa 1.2m. Sq 400 1.5m mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  3. R

    Kwako Dr Jabiri Bakari: TCRA yatoa ufafanuzi kuhusu gharama za vifurushi vya simu...... internet na muda wa maongezi

    Director General Dr Jabiri Bakari malalamiko ya kuibiwa bando/airtime yamekuwepo tangu Nape alipokuwa waziri wa sekita hiyo. Alikuwa anajibu kwa dharau na kiburi na majibu yake yalikuwa hayo hayo kama ulivyosema wewe. HILO NALIACHIA HAPO. LA PILI: Tumelalamikia kuhusu mtu kuweka bando/airtime...
  4. NYUMBA INAUZWA IPO MTWARA MJINI BEI MILION 14 , BADO KUNA NAFASI YA MAZUNGUMZO KWA MTEJA

    Imeshauzwa.
  5. U

    Kufanyia mazungumzo ya amani Uarabuni

    Baadhi ya nchi za Uarabuni zimekuwa zikihusika katika mazungumzo ya amani katika migogoro mbalimbali ya kimataifa mfano Qatar. Kwa mfano, Tshisekedi na Kagame walikuwa wanakimbiana kuanzia Dar, Angola, lakini wamekubali kukutana huko Qatar na kukubali kusitisha mapigano bila masharti. Si hiyo...
  6. Rais wa DRC tayari kwa mazungumzo na M23

    Equation x jibu hili hapa. Si kila kitu kinawekwa wazi, lakini upungufu wa kasi wa M23, kuna ahadi ambayo mpaka sasa haijatekelezwa. Na ukweli kama hatageuza kibao, mpaka sasa yupo tayari kukaa meza moja na M23. Na ikumbukwe: M23 mwanzoni ilikuwa inatetea haki za Congoman waongeao kinyarwanda...
  7. Wasira afanya mazungumzo na spika wa Cuba

    By Maulid Mmbaga , Nipashe MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake. Kwa mujibu wa taarifa ya CCM Wasira amefanya mazungumzo na ujumbe...
  8. Marekani, Hamas katika Mazungumzo ya Moja kwa Moja Juu ya Kuachiliwa kwa mateka huko Gaza

    Wanaukumbi. Mateka watano wa Marekani na Israel wanazuiliwa huko Gaza, huku mmoja akiripotiwa kuwa bado yu hai. Ikulu ya Marekani imesema mazungumzo hayo yanaendelea, baada ya Hamas kuthibitisha kuwa wamekutana mara kadhaa na mjumbe maalum wa Marekani anayehusika na masuala ya mateka Adam...
  9. Mchungaji anayeheshimika ameshindwa kujibu maswali yangu hata akanitoroka.

    Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili nipate kuokoka nami nikamkubalia Kwa masharti ya kunijibia maswali kadhaa naye alinikubalia na...
  10. Hatimaye Zelenskyy amwandikia barua Trump warudi meza ya mazungumzo

    Rais wa Marekani, Donald Trump amehutubia Congress na amesema Rais wa Ukraine, Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy amemuandikia barua na kukubali kurudi kwenye meza ya mazungumzo kuhusu kusaini mkataba wa kuuza madimu yake. CREDIT: Aljazeera
  11. Mazungumzo ya amani vita vya Ukraine yanaonyesha jinsi gani dunia imejaa unafiki sana

    Kituko cha kwanza mazungumzo yanafanyika pasipo wahusika wakuu Ukraine kuwepo katika hayo mazungumzo! Yani ni sawa na umemkamata mgoni anamtafuna mke wako ukazua ugomvi halafu wapatanishi wanakuja wanamchukua mgoni wako wanaenda kukaa naye kikao peke yao wanamuuliza anataka nini kumaliza kesi...
  12. Waziri Kombo afanya mazungumzo na Balozi wa Uswisi nchini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud T. Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uswisi nchini, Mhe. Nicole Providoli yaliyofanyika katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam tarehe 18 Februari 2025 Madhumuni ya mazungumzo hayo yalikuwa...
  13. Waziri Kombo afanya mazungumzo na Prof Jeffrey wa Chuo Kikuu cha Columbia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Prof. Jeffrey Sachs wa Chuo Kikuu cha Columbia cha nchini Marekani pembezoni mwa Mkutano wa 38 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika leo tarehe 16 Februari, 2025...
  14. Viongozi wa kanisa Katoliki na kanisa la kristo nchini DRC wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23

    VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), mapema leo Februari 12, 2025 wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23 lengo likiwa ni kujadili udumishaji amani nchini humo. Viongozi hao...
  15. Mazungumzo na M23 hayatakaa yatokee

    Lambert MENDE, aliwahi kusema haya: https://x.com/JKapitene/status/1888165972340584920 Mmeuliza kama hakuna haja ya kuzungumza na kukubaliana na M23. Nimesimama hapa na niongee kwa kauli ya kipekee: Ni kwamba, miaka ya nyuma mpaka hapa tulipo, makosa yalifanyika. Kuamini kwamba tunaweza...
  16. Kagame hafahamu kama wanajeshi wa Rwanda wako nchini DRC

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo yanaendelea. Sehemu kubwa ya Jumuiya ya Kimataifa inaamini kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa...
  17. Tetesi: Kinshasa yatuma hati ya kumpinga Umoja wa Afrika (AU) baada ya mazungumzo kuhusu M23

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kwamba barua rasmi ya maandamano hivi karibuni itatumwa kwa Tume ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa. Uamuzi huu unafuatia taarifa zilizochukuliwa kuwa hazikubaliki na rais wa Tume ya AU, Moussa Faki Mahamat, ambaye hivi karibuni...
  18. R

    John Mnyika; upo umuhimu waliombwa wimbo wa BERNAD MUKASA unaoitwa NGUVU YA MAZUNGUMZO kabla ya kupigwa kura mkutano mkuu

    Natambua kwamba wapo wagombea wasiotaka kushindwa ndani ya chadema. Wanaweza wakawa upande wa Mbowe na wengine upande wa Kisu. Ili kuwatakia safari njema nje ya CHADEMA na kuwafanya watafakari vyema kabla yakuanza safari nyingine nje ya CHADEMA nakushauri uitekeleze wajibu wako kwa kumwelekeza...
  19. K

    Haya mazungumzo ndio ya kumkamata Slaa?!! Mbowe kweli anapewa msaada na dola kubaki CHADEMA?!! Mbowe aaminiwe ama amegeuka kua dalali wa watawala?!

    MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo. Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza...
  20. Kwa mazungumzo ya Jana ya mbowe clouds TV, mbowe amegeuza upepo, ushindi kwake ni dhahiri

    Wenye hekima, wale wa juu juu, wasiofahamu chadema kwa kina, chawa wa mitandaoni, nadhani wamepata ufunuo hasa kwa undani juu ya kwa nini mbowe anastahili kuendelea kuwa mwenyekiti, kuna wakati ulifika chadema ikawa chungu, na wale majasiri njaa wakapatwa na woga mkali wakaona wayaokoe maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…