mazungumzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Rais Wa Rwanda Paul Kagame Kufanya Ziara Ya Siku Moja Nchini hapo Kesho. Kufanya mazungumzo na Taifa Rais Samia Moyo Wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho. Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na Moyo Wa Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais wetu Mpendwa anaendelea kuonyesha...
  2. Echolima1

    Iran yaumizwa na Total-Blockade ya Marekani yaomba mazungumzo!!

    Shirika la habari la serikali IRNA latangaza jana kwamba Iran ilituma pendekezo lake la hivi karibuni la mazungumzo na Marekani kupitia wapatanishi wa Pakistani. Hii inakuja baaba ya mzingiro wa mlango bahari wa Hormuz kuanza kuumiza uchumi wa Iran!!
  3. Mohamed Said

    Vyombo Vya Habari Vya CCM Maktaba mazungumzo Historia ya Muungano

    https://youtu.be/hzc1zFNRBnk?si=pKH9rskM6ijwPFzv
  4. 5

    US Tunawasubiri Iran waje kwenye mazungumzo

  5. Waufukweni

    Trump kuwaalika Netanyahu na Aoun Jijini Washington kwa Mazungumzo

    Katika chapisho lake la pili kwenye mtandao wa Truth Social baada ya kutangaza makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Lebanon, Rais wa Marekani Donald Trump amesema atawaalika viongozi wa nchi zote mbili jijini Washington kwa ajili ya mazungumzo. "Nitawaalika Waziri Mkuu wa Israel...
  6. L

    Tetesi: Ni wazi sasa Tundu Lissu amenyoosha mikono juu na kuomba kutolewa Gerezani na kuingia katika meza ya Maridhiano na mazungumzo

    Ndugu zangu Watanzania, Gerezani hakunaga Ubabe hata Siku Moja, Gerezani ni Mahali pa Kurekebisha Tabia hata kwa mwenye Usugu na Nunda. Gerezani hakuzoeleki hata Siku Moja,Gerezani siyo kwa kuchezea ,Gerezani siyo Hoteli ya kitalii ,Gerezani siyo kwa kulilia ,Gerezani siyo kwa kuomba kwenda...
  7. M

    Trump alazimisha mazungumzo na Iran

    Kwa mara ya kwanza tangu ktk historia Rais wa Marekani amekuwa akiongea kila dakika. Leo anazungumza hivi kesho hivi. Leo ameomba mazungumzo tena na Iran
  8. H

    Waziri Mkuu Mwigulu afanya mazungumzo na balozi wa Qatar nchini

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 8, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini, Fahad Rashid Al-Marekhi, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
  9. Mohamed Said

    Al Jazeera Walipokuja Kufanya Mazungumzo Tanzania na Mimi 2007 (Dar es Salaam) na 2008 (Tanga)

    AL JAZEERA WALIPOKUJA KUNIHOJI TANGA NA DAR ES SALAAM Mahojiano na Al Jazeera nyumbani kwangu Masaki, Dar es Salaam 2007 Mohamed Val Mtangazaji wa Al Jazeera akinihoji nyumbani kwangu Bombo, Tanga (2008) Huyu kijana kutoka Al Jazeera sikumbuki jina lake alinifahamisha kuwa alipata kuishi...
  10. Mohamed Said

    Maktaba: Mazungumzo na Muhidin Issa Michuzi

    https://youtu.be/_6FtBWyaQ-w?si=CfeqLGmWTZcyH5zI
  11. A

    Trump ndio anaomba mazungumzo sio Iran

    Trump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai...
  12. upupu255

    SI KWELI Heche amesema wapo kwenye hatua nzuri ya mazungumzo na serikali

  13. Roving Journalist

    Othman Masoud Othman: Mchakato wa mazungumzo ya kuupatia suluhu ya kudumu mgogoro wa kisiasa Zanzibar unakwenda vyema

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo (Taifa), Othman Masoud Othman amesema mchakato wa mazungumzo ya kuupatia suluhu ya kudumu mgogoro wa kisiasa Zanzibar unakwenda vyema. Akizungumza na viongozi na wanachama wa chama chake kwenye mkutano wa ndani hivi leo Februari 11, 2026 Kusini kwa kisiwa cha Pemba...
  14. Waufukweni

    TCRA: Wazazi msiwanyang'anye Watoto simu, fuatilieni wanachofanya, ulinzi wa mtoto mtandaoni ni mazungumzo

    Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kadaya Baluhye, amesema kuwa kuwaandaa watoto kukabiliana na ulimwengu wa kidijitali ni njia bora ya kuwalinda kwa pamoja kama kundi na kama jamii. Ameeleza kuwa badala ya kuwazuia watoto kutumia vifaa vya...
  15. Roving Journalist

    Mwenyekiti wa Taifa wa ACT, Othman Masoud afanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza, 10/02/2026

    Mwenyekiti wa Taifa wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, leo Februari 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza. Ujumbe huo ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Marianne Young, uliowajumuisha pia Bw. Jack Fenwick, Katibu wa Pili...
  16. R

    Serikali ya Iran yatoa wito wa mazungumzo na waandamanaji

    Maandamano dhidi ya gharama kubwa ya maisha nchini Iran yameenea hadi vyuo vikuu kadhaa, huku wanafunzi wakijiunga na wafanyabiashara na wauzaji wa masoko (bazaars), vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Serikali imesema iko tayari kufanya mazungumzo na waandamanaji. Sarafu ya Iran (rial)...
  17. H

    Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  18. Fbn

    PostGE2025 Kuna katabia ka mabalozi kuvizia viongozi wakubwa kupiga nao picha kisha kuaminisha wamefanya mazungumzo

    Hii tabia tulikuwa tujaishtukia ila sasa wameshtuka hawa viongozi mnaowasema kuwa wana wanonea wivu. Mnazunguka nchi zao kuomba mazungumzo wakiwagomea mnawadanganya kuomba picha ya pamoja kawasilisha kwa binti msumi. kumbe mnaenda kwenye magazeti na media uchwara kuhadaa watu sijui mumeongea...
  19. H

    PostGE2025 HOJA: Tumefikaje Haisaidii, Tunatokaje Ndio Jambo la Msingi Je, wanaokataa maridhiano na mazungumzo wanahitaji nini hasa?

    Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 uliibua hisia tofauti kwa Watanzania. Wapo waliouona kama hatua ya kidemokrasia, lakini pia wapo waliobaki na maswali kuhusu mwenendo wake. Pamoja na hayo yote mambo haya yanahitaji mazungumzo, maridhiano, na dira ya pamoja. Tumefikaje hapa? Jibu linaweza...
  20. Kahangile

    Barua ya wazi ya maombi kwa viongozi kufanya mazungumzo ya kuliweka pamoja taifa

    Barua ya Wazi Na: Mteule G. Kahangile Musoma, MARA TZ 10 Novemba 2025 KWA: * VIONGOZI WA SERIKALI, * VIONGOZI WA VYAMA VYOTE VYA SIASA, * VIONGOZI WA DINI ZOTE. Ndugu Viongozi, YAH: WITO WA MARIDHIANO NA MAZUNGUMZO KWA AJILI YA TAIFA Kwa moyo wa kizalendo na nia njema ya kuona taifa letu...
Back
Top Bottom