mazungumzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Isarel: Netanyahu, Eisenkot kuanza mazungumzo ya kuunda serikali mpya

    Vyama vya Waziri Mkuu wa mpito wa Israel, Benjamin Netanyahu, na mpinzani wake, Gadi Eisenkot, vinatarajiwa kufanya mazungumzo mapya leo, Novemba 22, 2026, mjini Tel Aviv, kujadili uwezekano wa kuunda serikali ya muungano baada ya uchaguzi wa Oktoba kushindwa kumpa upande wowote wingi wa viti...
  2. O

    PostGE2025 Heche na Mnyika, Mazungumzo ya kisiasa na serikali kutatua mkwamo wa kisiasa na suala la Lissu kuwa huru kamwe isitafsiriwe kama ni kupiga magoti

    Wadogo zangu HECHE na MNYIKA,ninapenda kuwapa ushauri kama kaka yenu na kama mtu niliyegombea UENYEKITI WA CHADEMA TAIFA,nafasi ambayo kama mambo yangeenda vizuri basi ninyi mngekuwa wasaidizi wangu wa karibu kabisa. Kwa kutumia uzoefu wangu wa kisiasa na umri wa kuishi hapa duniani...
  3. O

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu Watanzania ni wakati tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kuhusu umuhimu wa kukutana na Rais SAMIA ili kuzungumza kukwamua mkwamo wa kisiasa na hatma ya Tundu Lissu.Lazima...
  4. N

    Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa vyama vya CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025..!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025. Diplomacy should always be given a chance before the first bullet is shot. "MILITARY ACTION" must only be a decision of last...
  5. C

    Viongozi wa saudi Arabia, Pakistan na Uturuki wakutana iran kwa ajili ya mazungumzo

    Maafisa wakuu kutoka Saudi Arabia, Uturuki na Pakistan wanatarajiwa kukutana na viongozi wa Iran mjini Tehran kujadili usalama wa kikanda huku mvutano wa Mashariki ya Kati ukiendelea kuongezeka. Mkutano huo unafanyika wakati mashambulizi ya waasi wa Houthi dhidi ya Saudi Arabia yakiongezeka na...
  6. W

    “Nikipatikana nimekufa, waambie ni Sarah”: Shahidi Muiruri afichua mazungumzo ya mwisho na Marehemu Tob Cohen

    Kauli nzito iliyotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Gatundu North, Patrick Kariuki Muiruri, mbele ya Mahakama Kuu imeibua tena maswali kuhusu hofu alizokuwa nazo mfanyabiashara wa Uholanzi Tob Cohen kabla ya kupatikana amefariki mwaka 2019. Akitoa ushahidi Jumatatu, Oktoba 12, 2026, katika kesi ya...
  7. Dalton Elijah

    SI KWELI CHADEMA yaanza mazungumzo serikali kuelekea maridhiano

    Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii likiwa na nukuu inayodai kuwa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeingia katika mazungumzo na Serikali kwa lengo la kuangalia namna ya kuanza mchakato wa maridhiano, hatua inayolenga kujenga Tanzania yenye...
  8. R

    DR Congo: Rais Tshisekedi aita Mazungumzo ya Kitaifa kutuliza mivutano ya kisiasa, M23 wawekwa kando

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, ametangaza mpango wa kuanzisha mazungumzo ya kitaifa yenye lengo la kupunguza mvutano wa kisiasa nchini humo, ambao umeongezeka kutokana na muswada ambao wakosoaji wanadai unaweza kumuwezesha kutafuta muhula wa tatu wa urais...
  9. L

    Kuna ukweli hapa? Crazy Kenner mseto wa comedy na mada za kijamii

    Mchekeshaji wa Kenya, Crazy Kenna, anaendelea kupata umaarufu kote barani Afrika kutokana na maudhui yanayoakisi maisha na uzoefu wa Waafrika. Ameteuliwa kuwania Tuzo za AFRIMMA za mwaka 2026, kutokana na mchango wake mkubwa na ushawishi katika nyanja ya burudani ya kidijitali barani Afrika.
  10. B

    Kwa sasa Yesu Anajibu = Mazungumzo na Yesu = Conversations With Jesus

    Taarifa Kwa wafuatiliaji wetu katika mtandao wa video ujulikanao kama YouTube. Tunapenda kuwajulisha yafuatayo. 1. YouTube channel ambayo hapo mwanzo ilijulikana kwa jina la Yesu Anajibu, kwa sasa inafahamika kwa jina la Mazungumzo na Yesu. 2. Tumeanzisha pia YouTube channel kwa lugha ya...
  11. R

    Trump: Tunaendelea na Mazungumzo mazuri na Iran

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema utawala wake umefanya mazungumzo "mazuri sana" na Iran katika mazungumzo ya siku nzima yaliyofanyika Jana Agosti 2,2026, jambo lililoongeza matumaini kwamba mzozo uliodumu kwa miezi mitano unaweza kufikia mwisho hivi karibuni. Trump amekuwa akitoa vitisho...
  12. M

    Baada ya Maridhiano ya Watanganyika na Watanganyika ndio tutafikiria Mazungumzo na Wazanzibari

    Zanzibar walifanya mazungumzo yao chini ya Wazanzibari. Hakutakuwa na maridhiano ya Tanzania, hadi Watanganyika tutakapo ridhiana kwanza. Wazanzibari lazima wajue ni wakati wa kurudi kwao, siku kadhaa zijazo itabidi tutumie kitabu cha Rwanda, kuidai Tanganyika.
  13. Frank Wanjiru

    Wasira: Hakuna njia ya mkato ya kuleta maridhiano isipokuwa mazungumzo

    Mwanasiasa mkongwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema kuwa katika siasa za ulimwengu hakuna njia za mkato za kuleta amani isipokuwa maridhiano na kuzungumza. Katika mahojiano maalumu na TBC, Wasira amesema kuwa jambo hilo...
  14. C-C Digital Pro

    Joe Biden, Kamara Harris na Civilian-Coin katika mazungumzo ya faragha.

    Jionee mwenyewe.
  15. Mkalukungone Mwamba

    Hananja: Changamoto za Jamii zitatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro

    Mchungaji Richard Hananja amesema changamoto zinazojitokeza katika jamii zinapaswa kutatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Juni 18, 2026, amesema historia inaonesha kuwa hata uhuru wa Tanzania ulipatikana kupitia...
  16. Best home tutor

    Tuchagua mazungumzo badala ya vurugu

    TAFAKURI. Saba Saba ni Sherehe ya Kitaifa, Sio Siku ya Vurugu na Maandamano Haramu Tarehe Saba mwezi wa Saba ni siku takatifu katika historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni siku ya Siku kuu ya Biashara ya Kimataifa ya NchiniTanzania, yenye chimbuko kubwa la kihistoria tangu...
  17. A

    Responded HOJA Mazungumzo ya kuhamisha Wananchi wa Sinza yasifanyike kwa mafungu hotelini, tushirikishwe na uwazi uwepo

    Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya uwekezaji. Kikao kilichopita kati ya wawakilishi wa Serikali na Wananchi kwa asilimia kubwa hakikuwa na...
  18. Echolima1

    Irani inavyoleta mizwengwe kwenye Mazungumzo ya Amani na Marekani!!

    KWANZA, Iran inajua haiwezi kushinda vita hivi kwenye uwanja wa vita. Inaweza kushinda tu kwenye meza ya mazungumzo. Na kwa namna fulani, ndivyo hasa inavyoendelea. Kwa wiki kadhaa, mistari nyekundu iliwekwa. Tarehe za mwisho ziliwekwa. Maonyo ya mwisho yalitolewa. Kisha Iran ilifanya kile...
  19. Carlos The Jackal

    Ma CCM hayana akili, yalitakiwa Kumuachia LISSU, bila kusubiri MAHAKAMA, ili Waonekane kama wanatuma "SIGNAL" ya kuhitaji Mazungumzo mezani kwa US/EU

    Maana yake yangemuachia Lissu, kwakua Lissu yeye anachotaka ni KATIBA MPYA NA TUME HURU ambayo ndani yake inajali Kila Lilo la HAKI. Alafu wakamuita LISSU , wakakaa naye Meza Moja, "Bwanaee tunaendelea na mchakato wa KATIBA Mpya wa Jaji Warioba) Tume huru ya UCHAGUZI Mpya kuanzia Muundo...
  20. stabilityman

    House4Sale Inauzwa Tshs. million 160 (mazungumzo) nyumba ipo Kitunda ukonga

    Ina hati ya serikali ya mtaa Inauzwa #million_160 (mazungumzo) Nyumba ipo Kitunda Ukonga Vyumba vitatu- kimoja master) Dinning, sebule, jiko & choo Kiwanja sqm 500 Mawasiliano 0718408733
Back
Top Bottom