mazungumzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    PostGE2025 HOJA: Tumefikaje Haisaidii, Tunatokaje Ndio Jambo la Msingi Je, wanaokataa maridhiano na mazungumzo wanahitaji nini hasa?

    Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 uliibua hisia tofauti kwa Watanzania. Wapo waliouona kama hatua ya kidemokrasia, lakini pia wapo waliobaki na maswali kuhusu mwenendo wake. Pamoja na hayo yote mambo haya yanahitaji mazungumzo, maridhiano, na dira ya pamoja. Tumefikaje hapa? Jibu linaweza...
  2. Barua ya wazi ya maombi kwa viongozi kufanya mazungumzo ya kuliweka pamoja taifa

    Barua ya Wazi Na: Mteule G. Kahangile Musoma, MARA TZ 10 Novemba 2025 KWA: * VIONGOZI WA SERIKALI, * VIONGOZI WA VYAMA VYOTE VYA SIASA, * VIONGOZI WA DINI ZOTE. Ndugu Viongozi, YAH: WITO WA MARIDHIANO NA MAZUNGUMZO KWA AJILI YA TAIFA Kwa moyo wa kizalendo na nia njema ya kuona taifa letu...
  3. PostGE2025 Makamu wa Rais Nchimbi: Tanzania ipo salama, mazungumzo ya MARIDHIANO kuanza

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesisitiza kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kulinda umoja wa kitaifa na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa utawala wa sheria. Kauli hiyo alitoa akiwa mwakilishi wa Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi...
  4. JWTZ msiendekeze mazungumzo na Samia wala CCM. Tume ikimtangaza Jeshi la Uganda linaingia full force kumsaidia kutawala

    Nasema kwa mara ya mwisho. JWTZ msiendeleze mazungumzo na Samia wala CCM. Msikubali Nchimbi ndo awe Rais. Nchi hii haihitaji tena CCM kwa sababu wao ndo wametufikisha hapa. Wananchi hawawataki CCM wote sio Samia tu. Chukueni uongozi wa hii nchi kwa kipindi cha Mpito. Simamieni mchakato wa...
  5. GE2025 Kujenga Nchi ni Pamoja na Kukaa Meza ya Mazungumzo Kujadiliana na Kukubaliana

    Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je, hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini? Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini? Tujenge tabia ya Kukaa Mezani Kujadiliana na kukubaliana hii itasandia kujenga nchi. Hata baada ya Uchaguzi...
  6. R

    Madaktari waunga maandamano ya Gen Z Madagascar, Rais aitisha mazungumzo baada ya kupewa muda wa saa 48 na Waandamanaji kuitikisa nchi nzima

    Waandamanaji waliendelea kujitokeza mitaani nchini Madagascar Oktoba 7, 2025, siku moja baada ya Rais Andry Rajoelina kumteua waziri mkuu mpya Jenerali wa Jeshi, katika juhudi za kupunguza mzozo unaoendelea. Katika mji mkuu Antananarivo, hasira zimeenea hadi sekta ya afya, ambapo mamia ya...
  7. Hamas imejibu mpango Trump kumaliza vita Gaza, na kukubaliana sehemu kadhaa ikisema baadhi ya vipengele vinahitaji mazungumzo zaidi.

    Wanaukumbi. Baadhi ya nchi kama Qatar, Misri, Uturuki, Pakisatan, Jordan, Falme za Kiarabu, Iran na Ulaya, kuomba Hamas kukubali mpango wa Amani. Hamas imewasilisha majibu yake kwa makubaliano ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kusitisha mapigano Gaza, ikikubali kuwaachilia mateka wote wa...
  8. B

    Mazungumzo ya Ndg. Humphrey Polepole - Kuhusu kutowatisha viongozi wa dini 25 Septemba 2025

    Mtaa wa Kajificheni Mazungumzo ya Ndg. Polepole - Kuhusu kutowatisha viongozi wa dini 25 Septemba 2025 https://m.youtube.com/watch?v=DdrvgHstRPw
  9. Netanyahu asema amepatiwa ruhusa na Trump aache mazungumzo na aingie Gaza kwa nguvu zote amalize kazi

    Haya maneno ya Trump wala si mapya kuonesha jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kuwaangamiza wapalestina bila kificho. Kilicho kipya na cha kushangaza ni jinsi mataifa ya kiarabu na kiislamu yalivyopiga kimya kuruhusu dhulma hiyo huku wao wakiwa na uwezo wa kuzuia. Tuliobaki ambao ni...
  10. Mazungumzo ya Polepole - 29 Agosti 2025: Ufisadi wa Angela Kizigha, Rostam anavyoiibia nchi, Hujuma za Kikwete kwa Magufuli n.k

    1. Ndugu H. Polepole ameanza kwa kuelezea kifo cha Marehemu Raisi J.P.M kilichotokea 2021. Huku akisema Magufuli alianza kuugua baada ya kufanya uzinduzi wa kiwanda cha Rostam kule Morogoro kisha wiki mbili baadae umauti ukamkuta. 2. Namna ambavyo marehemu Bernard Membe alivyosuka mipango yote...
  11. Kisaikolojia: Unapokuwa kwenye mazungumzo, ukitaka mtu akwambie ukweli unaoutaka mfanye acheke kwanza.

    Copy Code;
  12. TRUMP: kurejeshwa kwa Crimea na Ukraine kujiunga na NATO sio sehemu ya mazungumzo ya Ukraine

    BREAKING: Trump says that taking back Crimea and joining NATO are off the table for Ukraine
  13. Trump asema hakuna makubaliano lakini 'wamepiga hatua kubwa' baada ya mazungumzo na Putin

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema yeye na Putin wamekuwa na mkutano wenye tija na kwamba wamepiga "hatua kubwa". Trump na Putin walizungumza kwa pamoja jukwaani kwa takriban dakika 10. Wote wawili walionyesha ishara ya mazungumzo mema waliokuwa nayo wakati wa mkutano wao wa faragha, ingawa...
  14. Trump asema atajaribu kurudisha eneo la Ukraine katika mazungumzo na Putin

    kwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ijayo. "Urusi imechukua sehemu kubwa ya Ukraine. Wamechukua eneo muhimu. Tutajaribu kurudisha baadhi ya eneo hilo kwa Ukraine," alisema katika mkutano na waandishi wa habari...
  15. Trump, Putin kukutana Alaska kwa mazungumzo ya vita vya Ukraine wiki ijayo

    Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Urusi Vladimir Putin watakutana Alaska Ijumaa ijayo kujadili mustakabali wa vita vya Ukraine. Trump alitangaza mkutano wa Agosti 15 kwenye mitandao ya kijamii na baadaye ikathibitishwa na msemaji wa Kremlin, ambaye alisema eneo hilo lilikuwa "lina mantiki...
  16. Mazungumzo ni njia pekee ya kutatua mgogoro wa kibiashara kati ya China na Marekani

    China na Marekani hivi karibuni zilifanya duru mpya ya mazungumzo ya kiuchumi na kibiashara huko Stockholm, nchini Sweden, ambapo pande hizo mbili zilibadilishana maoni kwa kina kuhusu masuala ya kiuchumi na kibiashara. Pande hizo zilifikia makubaliano kwamba, Marekani itaendelea kusimamisha...
  17. Waziri Kombo afanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda

    WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania jijini...
  18. Netanyahu, Trump 'wayakacha' mazungumzo ya Doha

    Kuna kila dalili kwamba Israel na mshirika na mfadhili wake mkuu, Marekani, wameamua kuachana kabisa kabisa na Kuna kila dalili kwamba Israel na mshirika na mfadhili wake mkuu, Marekani, wameamua kuachana kabisa kabisa na majadiliano ya kusitisha vita vya Gaza na sasa wanasaka "njia mbadala...
  19. Msaada: Sipendi mazungumzo marefu

    Wakuu nimekua najitafakari jinsi nilivyo na hulka ya kuchukua mazungumzo kwa mfano ni kawaida kuona watu wanapiga story au wanabishana labda mpira kwa muda mrefu hata masaa kadhaa wanaongea na kuongea. Au utakuta mtu anasema anaenda kupiga story na jamaa zake au marafiki wakati kwangu ni...
  20. M

    Markani yaihonga Iran mabilioni ya dola ili irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya mradi wa Nyukilia

    Gazeti maarufu la Israel limetonya kuwa Marekani kupitia channels zake za "behind the scenes" imeihonga Iran mabilioni ya dola ili kuifanya Iran irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya Nyukilia. Mahela hayo yanakusudiwa kuishawishi Irani iaachane na madai ya haki yake ya kuenrich Uranium...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…