mazungumzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Emanuel Macron akutana na Paul Kagame na Felix Tshisekedi wakutana kwa mazungumzo ya Amani

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi huku kukiwa na mvutano kati ya Majirani hao kuhusiana na Makundi ya waasi karibu na mpaka wao wa pamoja Taarifa zaidi zinazema kuwa Viongozi hao wanataka...
  2. N

    Hili la Aloyce Nyanda kuanzisha mazungumzo ya mgogoro wa Ethiopia na Misri akiwa na balozi wa Ethiopia tu limekaaje kidiplomasia wadau?

    Habarini! Tusameheane kwa michango yetu inayotofautiana katika mada zingine, lakini sina jinsi lazima niendelee kuwepo jf....nalipenda mno hili jukwaa! Kwenye hoja; Ni huyu mngazaji wa star TV, aloyce nyanda, namuona leo akiwa na balozi (kama sikosei) wa Ethiopia katika kipindi chake...
  3. M

    Urusi: Sergey Lavrov asema hawapingi kukaa na Ukraine kwenye meza ya mazungumzo (Negotiation)

    Mzuka Wanajamvi! Waziri wa mambo ya nje Urusi Sergey Lavrov amesema Urusi haipingi Wala kukataa kukaa chini kwenye meza ya mazungumzo Negotiation table na Ukraine. Ameendelea kutahadharisha jinsi wanavyojichelewesha kwenye huu mchakato ndivyo mambo yatakuwa magumu kwao kufikia makubaliano na...
  4. Getrude Mollel

    Waziri Makamba: Serikali kuanzisha ofisi maalum ya mradi wa LNG, mazungumzo kukamilika Disemba

    Waziri wa Nishati, January Makamba, ametembelea ofisi za Kampuni ya Shell, nchini Uholanzi, na kukutana na kuzungumza na viongozi wakuu wa kampuni hiyo kuhusu masuala mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa mradi wa LNG nchini. Katika mazungumzo hayo na Bwana Cederic Cremers, Makamu wa Rais...
  5. Beah

    Plot4Sale Nunua kiwanja chenye pagale Madale Flamingo sasa kwa bei ya milioni 40

    NUNUA KIWANJA CHENYE PAGALE MADALE FLAMINGO SASA KWA BEI YA MILIONI 40 MAZUNGUMZO YAPO KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI. WAHI KABLA HAKIJAWAHIWA ●Kiwanja pamoja na nyumba kimepimwa ukubwa Sqm 800 ●Huduma za kijamii zote zipo karibu SIFA ZA PAGALE ●Vyumba 3 viwili ni self kimoja normal ●Jiko...
  6. Lady Whistledown

    Ethiopia: Serikali na Waasi walaumiana juu ya kukwama kwa mazungumzo ya amani

    Msemaji wa Waasi wa Tigray, Getachew Reda ameishutumu Serikali kwa kudhoofisha juhudi za kutafuta suluhu ya amani kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, baada ya Jeshi la kudaiwa kushambulia vikosi hivyo Wakati huo huo Msemaji wa Waziri Mkuu Nchini humo, Billene Seyoum, amekanusha...
  7. Lady Whistledown

    Ethiopia: Serikali na Waasi walaumiana juu ya kukwama kwa mazungumzo ya amani

    Msemaji wa Waasi wa Tigray, Getachew Reda ameishutumu Serikali kwa kudhoofisha juhudi za kutafuta suluhu ya amani kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, baada ya Jeshi la kudaiwa kushambulia vikosi hivyo Wakati huo huo Msemaji wa Waziri Mkuu Nchini humo, Billene Seyoum, amekanusha...
  8. DogoWaNjombe

    Manchester United yaanza mazungumzo na Leroy Sane

    Klabu ya Manchester United imeanza mazungumzo na Bayern Munich kwa nia ya kumsajili winga wa timu hiyo, Leroy Sane. Sane bado ana mkataba wa miaka mitatu na Bayern Munich ambayo taarifa kutoka Ujerumani zinadai inaweza kumuuza ikiwa itapata ofa nzuri. =================== Manchester United...
  9. MK254

    China yatishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya kuboresha mazingira ya dunia

    China inayofahamika kuongoza kwenye uchafuzi wa mazingira duniani, imetishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya kuboresha mazingira, maana kwamba itaendelea kuchafua kabisa wa kujifia ajifie, hii ni mojawapo wa mbinu za kulipiza kisasi dhidi ya Marekani baada ya Pelosi kutua Taiwan licha ya mikwara...
  10. DogoWaNjombe

    Chelsea yaanza mazungumzo ya kuwasajili Aubameyang na Frenkie de Jong

    Chelsea imeanza mchakato wa kutaka kuwasajili mastaa wa Barcelona, Frenkie de Jong na Pierre-Emerick Aubameyang aliyewahi kufanya kazi Kocha Thomas Tuchel katika kikosi cha Borrusia Dortmund. Aubameyang alijiunga ba Barcelona, February 2022 na anatamani kuendelea kubaki hapo lakini anaweza...
  11. DELETED ACCOUNT

    Mazungumzo haya ya wabeba taka leo yamenifikirisha sana

    Leo nimeamshwa na sauti za gari la wabeba taka. Nikasikia wakizungumza kwa sauti ya juu huku wanakusanya madumu ya taka na kurusha kwenye gari. "Usioe mwanamke ambaye atakukimbia siku ikibidi mle mboga za majani na chai" (sina uhakika kama alisema chai) Yakafuata matusi "Siyo unaona mwanamke...
  12. Mohamed Said

    Mazungumzo mafupi na wanagerezani - Gerezani Day

    MAZUNGUMZO MAFUPI NA WANAGEREZANI - GEREZANI DAY Leo nimezungumza katika Gerezani Day. Hadhira yangu ndani kuna wajukuu wa wapigania uhuru. Nilizungumza kisa ambacho kiliwachukua sana wasikilizaji wangu. Kisa cha Nyerere alipopita Mtaa wa Sikukuu na Lindi na "Motorcade," yake ya mapikipiki...
  13. M

    SI KWELI Mohammed Adil Erradi atua Dar kimyakimya kujiunga na Simba SC kama kocha mkuu

    Kulikuwa na uvumi kuwa klabu ya Simba kuachana na kocha wa klabu hiyo, Pablo Franco Martín kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu ya timu na kufungwa na Yanga katika nusu fainali la kombe la FA. Kumekuwa na taarifa kuwa Mohammed Adil Erradi, amefika Dar kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi...
  14. DogoWaNjombe

    Viongozi wa Marekani, China waanza mazungumzo kumaliza mgogoro wao

    Wanadiplomasia wakuu kutoka Marekani na China wamekuana leo Julai 9, 2022 kwa zaidi ya saa tano katika juhudi za kupunguza mvutano unaoongezeka kati ya Nchi hizo mbili. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken alisema uhusiano wa mataifa hayo una ‘matokeo makubwa’, akieleza kuwa...
  15. DogoWaNjombe

    Arsenal yafikiria kumpa shavu Jack Wilshere, mazungumzo yanaendelea

    Arsenal inafanya mazungumzo na Jack Wilshere (30) ili kumpa nafasi ya kuwa kocha wa timu yao ya vijana Chini ya Miaka 23 na 18 Waliokuwa makocha katika timu hizo, Bosses Kevin Betsy na Dan Micciche wote wamendoka na hivyo Arsenal inahitaji mtu wa kuziba nafasi hiyo. Nafasi hiyo inaweza...
  16. M

    Ikulu Dar: Kamati ya Uongozi ya ACT Wazalendo imefanya mazungumzo na Rais Samia

    Zitto kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika Kamati ya Uongozi Taifa ya ACT Wazalendo imekutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hatua zake za kukutana na viongozi wa Vyama mbalimbali vya siasa. Mazungumzo yetu yalihusu mabadiliko mbalimbali yanayokusudiwa nchini kwetu
  17. Hussein Massanza

    Kutoka Zanzibar: Singida Big Stars tumefanya mazungumzo na Avran Grant, Fadiga

    Watu wa Soka, Leo Singida Big Stars tumeshiriki kongamano la mpira wa miguu maarufu kwa jina la Tanzania Football Summit 2022 linaloendelea hapa visiwani Zanzibar. Pamoja na mambo mengine muhimu, tumefanya mazungumzo na kocha mstaafu wa klabu ya Chelsea Avram Grant, mchezaji wa zamani wa...
  18. DogoWaNjombe

    Baada ya mazungumzo Pochettino akubali kuondoka PSG

    Inaelezwa kuwa Kocha Mauricio Pochettino anaondoka Paris Saint-Germain baada ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba baada ya kuifundisha timu hiyo kwa muda wa miezi 18. Kocha huyo raia wa Argentina ameshinda taji la Ligue 1 lakini aliishia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, matokeo...
  19. DaudiAiko

    Haya ndio mazungumzo kati ya wana CHADEMA na Rais Samia. Haya ndio madai ya wana CHADEMA kwenye suala zima la maridhiano

    Wanabodi, Hivi karibuni, wana CHADEMA kadhaa wakiongozwa na mwenyekiti wao Freeman Mbowe, walifanya mazungumzo na Rais Samia Ikulu katika kuhakikisha kwamba kuna maridhiano kati ya serikali na vyama vya upinzani. Kwa CHADEMA, maelewano haya yanaweza yakawa na manufaa makubwa lakini kwa kundi...
  20. Q

    Jon Mrema: Kauli fupi juu ya Mazungumzo ya Chadema na CCM.

    Tuwe na subira Mambo mazuri huja taratibu.
Back
Top Bottom