marekani

  1. G

    JamiiForums Tanzania Maisha ya magereza ya Tanzania ni kama jela za Marekani?

    Maisha ya magereza wengi tumezoea kuyaona kwenye muvi na miziki hasa ya Kimarekani. Magereza ya huko kuna ubabe uliokithiri, magenge na kubakana kwa sana. Kwa hapa Tanzania haya mambo nayo yapo?
  2. JamiiForums Tanzania Afisa wa jeshi wa Marekani asema mbona Houth wanatushangaza.Hatujajua wana nini.

    Maafisa katika serikali ya raisi Biden wameendelea kukwaruzana kuhusu mashambulizi yanayoongezeka ya Houth na kuleta madhara japo jeshi la Marekani limeshatumia nguvu kubwa kuwapiga. Naibu katibu muhtasi wa Pentagon,bi Sabrina Singh amesema Houth wanaonekana kuwa na hazina kubwa ya silaha kuliko...
  3. JamiiForums Tanzania Yemen chini ya Houth yataja mikakati yake ya kupigana na Marekani kwa muda mrefu

    Marekani haikujua kuwa wamechokoza adui ambaye anaweza akawaletea kusalimu amri kwa mara nyengine kama ilivyotokea kule Vietnam na Afghanistan. Wapiganaji wa Houth wamesema wana mikakati endelevu ya kupigana na Marekani mpaka pale Israel itakapoacha uadui na Palestina. Mikakati iliyotajwa na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yaikataza isiwape silaha Urusi lakini yeye anaipa Ukraine na Israel

    Ukiskia duniani kuna maajabu ndio haya. Marekani anapiga kura ya turufu UNO dhidi ya Ukrain au Palestina akipiga China au Russia America anakasirika Anasambaza silaha akisambza mwengine kosa. Haya maajabu ya mwaka. Yanatakiwa yawe ktk vitabu vya maajabu ya dunia
  5. JamiiForums Tanzania Katavi: Madaktari Bingwa 18 kutoka Marekani kutua Hospitali ya Tanganyika

    Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi, Dkt. Alex Mrema amesema wanatarajia kupokea timu ya Madaktari Bingwa 18 kutoka Nchini Marekani kwa ajili ya kutoa huduma ya matibabu ya upasuaji ambapo itafanyika bila malipo (bure). Madaktari hao wanatarajia kufika tarehe...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani aliacha kuingilia ugomvi na vita ambazo hazimuhusu baada ya kupewa funzo na Somalia

    Baada ya kujikuta kabolonga Somalia mwaka 1993 kuingilia vita za wenyewe kwa wenyewe basi ilitungwa sheria ambayo inatumika mpaka leo ambayo hata ukiwa swahiba wake hata weza kuingilia ila kukupa msaada tu. hata kipindi cha Rwanda iliweza kumaliza ila kutokana sheria iliyopitishwa iliacha ilo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mashambulio ya anga yanayoongozwa na Marekani dhidi ya Houthi hayawezi kumaliza mgogoro katika Bahari Nyekundu

    Marekani na Uingereza zimefanya mashambulio mfululizo ya anga dhidi ya maeneo kadhaa yaliyolengwa ya kundi la Houthi la nchini Yemen hivi karibuni, lakini kundi hilo linadai kuwa, halijayumbishwa na mashambulio hayo na kuahidi kulipiza kisasi. Wachambuzi wanasema, mashambulio hayo ya kijeshi...
  8. JamiiForums Tanzania Fursa ya kwenda kufundisha Kiswahili Marekani

    Habari wana jamvi, Serikali ya Marekani kwa mara nyingine tena imetoa fursa kwa watanzania kwenda kufundisha lugha ya kiswahili nchini Marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja, ukipata nafasi hii basi utaenda kufundisha katika chuo kikuu, Hii ni njia nzuri kwa wale wanaopenda kutoka nje ya...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani hakuna Rais daktari, CPT, Engineer wala Advocate? Kwanini hawapendi kusoma?

    Marekani ambayo kabla kupata uhuru mwaka 1776 , ilitawaliwana Uingereza na wakapata Rais wa kwanza George Washington. Tangu wapate uhuru, haijawahi kutokea Rais yeyote , awe msomi wa chuo, daktari wa hospitali[MD] au wa falsafa phD,au mjuzi wa hesabu [CPA] ambaye amewahi kujinasibu na prefix ya...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi huko Marekani hawana misosi mingine zaidi ya mikate na jamii ya vyakula vya ngano?

    Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani, nimejaribu kucheki vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano. So nauliza wenye experiences za huko, hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?
  11. JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kulalamika vita vyake na Houth. Yasema haijawahi kupigana vita kama hivyo tangu vita vya pili vya dunia

    Mambo yamekuwa mambo ! Vice Adm. Brad Cooper wa jeshi la wanamaji wa Marekani amesema nchi yake haijawahi kupigana vita vikali vya majini tangu vita vya pili vya dunia kama mwaka huu na wanamgambo wa Houth. Amesema wakirusha kitu na wao wanarushiwa Maneno hayo yamekuja wakati ambapo vikosi vya...
  12. JamiiForums Tanzania Iran yazindua mtambo wake wa ulinzi wa anga mfano wa Iron dome na Patriot. Saudia wazidi kununua kachara kutoka Marekani na kukaribisha wanenguaji

    Leo sitaki niseme mengi.Mtajionea wenyewe hapo chini Iran unveils air defence systems as Middle East tensions soar Saudi Arabia signs $3.2B deal for South Korean air defense systems Saudi Arabian GP 2024: 3 international music stars will perform
  13. JamiiForums Tanzania Marekani wateka meli ya Iran iliyokuwa inapeleka silaha hatari kwa magaidi wa Houthi

    Us forces seized advanced conventional weapons and other lethal aid from Iran that were bound for Houthi-held areas of Yemen on a vessel in the Arabian Sea on Jan. 28, the US Central Command said in a statement on Thursday. Over 200 packages containing medium-range ballistic missile components...
  14. JamiiForums Tanzania Je unajua maziwa makubwa duniani yako Marekani? Na yote yameunganiswa na mifereji

    Kuna propaganda kubwa sana wa Africa IPO miongoni. Tumeaminishwa kwamba utajiri wa marekani unatokana na wizi wa madini Africa bila kujua kwamba marekani kuna kila aina ya malighafi. Wengi wetu ukitaja maziwa makuu, atakwambia ziwa Victoria, Tanganyika, Nyasa. Tumedanganywa sana. Maziwa makubwa...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Putin angependa kuona Rais Biden (badala ya Trump) akirejea tena madarakani nchini Marekani

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema angependelea urais wa Joe Biden badala ya Donald Trump kabla ya uchaguzi wa Marekani mwezi huu wa Novemba. Bwana Biden alikuwa mtu mwenye uzoefu zaidi, anayeweza kutabirika, alisema kwa maneno ambayo hakika yatainua nyusi. Kabla ya Bw Trump kugombea urais...
  16. JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zaizuia Marekani kutumia ardhi zao kupigana na Houth huku Erdogan aungana na Elsisi kuionya Israel isiendelee kupiga Rafah

    Nchi kadhaa za kiarabu zimeanza kuingia akili kwa kukataa kuachia Marekani kutumia ardhi zao kuanzisha mashambulizi dhidi ya wanamgambo wa Houth wa Yemen.Hatua hiyo itaifanya Marekani kushindwa kuwazuia Houth na itakuwa ni msaada wa nchi hizo kwa Palestina. Nchi hizo ni zile ambazo zimekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu wa kutokea China wajaribu kutumia Mexico kuingia Marekani

    Kila mtu anataka kuzamia Marekani, hata Wachina wambao tunaambiwa jinsi uchumi wao umeboreka..... Chinese migrants flock to U.S.-Mexico border on economic pressures Their encounters with American authorities jumped 10-fold in 2023 People from China and elsewhere who are suspected of illegally...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kweli mtu anaamni Marekani hakuna madini? Africa tujitathmini sana

    Jana nilipost ugunduzi wa madini ya RE-E rare earths nchini marekani Jimbo la Wyoming. Kuna baadhi ya watu walibisha kwamba marekani ni waongo. Hawana hayo madini. Nilijiuliza sana uwezo wa Hawa watu wa kufikiri. Ukubwa wa USA🇺🇸 ni karibia 10 million km2 za mraba. Ina maana ukubwa wa USA ni...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa trilioni 152 Ukraine, Trilioni 35 Israel, Trilioni 22 Palestina, Trilioni 12 Taiwan

    $60 billion Ukraine $14 billion for Israel $9 billion Gaza + West bank $4.83 billion Taiwan --- Senate gives $60 billion for Ukraine, $14 billion for Israel, $9 billion in humanitarian assistance for Gaza and nearly $5 billion for the Indo-Pacific. Meanwhile Biden is putting veterans behind...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Walimu changamkieni hizi fursa za kwenda Marekani: Je, una uzoefu wa kufundisha wa miaka 5 na zaidi?

    Kwa waalimu wenye uzoefu wa kufundisha wa miaka 5 na kuendelea kuna fursa nzuri sana hapa Login » IREX - International Research & Exchanges Board: Fulbright Online Application System. Kama upo interested chukua hatua kuapply na pia unaweza kupata usaidizi kupitia ResearchLink International. Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…