marekani

  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Serikali yamtorosha mwanafunzi kwenda Marekani (USA); mzazi aomba Rais Samia amsaidie

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Ukiisikiliza hii stori kwa umakini bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, utagundua kuwa serikali ndiyo imehusika katika kutoroka kwa mwanafunzi huyu 100%. Kwa maana nyingine naweza kusema serikali ndiyo imemtorosha baada ya kupuuzia...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani lapitisha Muswada wa Sheria ya kuifungia TikTok

    Bunge la Marekani limepitisha Muswada wa Sheria itakayoruhusu kufungiwa kwa TikTok, mtandao wenye Watumiaji Wamarekani takriban Milioni 170, kama haitatengana umiliki wake na kampuni ya ByteDance yenye asili ya China. Wakitoa maoni ya kupitisha Muswada huo, Wabunge wamesema TikTok inahatarisha...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa zamani wa Boeing aliyekuwa akikosoa ubora wa ndege hizo akutwa amefariki nchini Marekani

    Bwana Barnett alifanya kazi kwa kampuni kubwa ya ndege ya Marekani kwa miaka 32, hadi alipojiuzulu mwaka wa 2017 kwa sababu za afya. Tangu mwaka wa 2010, alifanya kazi kama meneja wa ubora katika kiwanda cha North Charleston kinachotengeneza Dreamliner ya 787, ndege ya kisasa sana inayotumiwa...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

    Watu wanakufa sasa kwa njaa Gaza na kuna malori ya misaada kwa mamia kwenye mipaka ya Gaza ambayo yameshindwa kuingia huko kikwazo ikiwa ni ruhusa ya Israel. Marekani kwa kujionesha kuwahurumia wanaokaribia kufa njaa imekuwa ikidondosha misaada michache ya michache ya chakula na sasa imesema...
  5. gaintoo broisser

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yatangaza kuanza kwa programu ya diversity visaby U.S

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unatangaza kuanza kwa programu ya Diversity Visa kwa mwaka 2024 (DV-2024) hapo tarehe 6 Oktoba 2024. Kila mwaka, kupitia programu hii, Marekani hutoa viza za ukaazi wa kudumu (immigrant visas) zipatazo 55,000 kwa raia wa nchi ambazo kihistoria zina idadi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Marekani, Irani na Urusi wafanya mazoezi ya pamoja ya majeshi ya baharini

    Sisi mashabiki tunadhani wenzetu wanawaza kupigana tu, kumbe sometimes wanakaa pamoja na kufanya vitu pamoja. Mwezi february mwaka huu majeshi ya marekani, urusi na Iran yalifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya hindi. Mazoezi hayo yalikuwa hosted na India. Unaweza kupata taarifa hizo...
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Meek Mill atamani Uraia wa Ghana akidai Marekani ina tabia ya kubomoa wanaume weusi

    BURUDANI Rapa Meek Mill wa Marekani ameweka wazi kuhusu kuutaka uraia wa Ghana baada ya kuchoshwa na vitendo vya kinyanyasaji kwa watu weusi nchini Marekani ikiwemo ulawiti uliokithiri kwa wanaume Mill ameandika hayo kupitia mtandao wake wa X ambapo anadai anautaka uraia wa Ghana kwasababu...
  8. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Hii CCM inayofanya maongezi na balozi wa marekani bado ni Chama cha Mapinduzi?

    Kwa kawaida mabalozi hawaingilii mambo ya ndani ya nchi wanapowakilisha. Bila shaka ndio taratibu. Mambo ya vyama vya siasa ni mambo ya ndani ya nchi husika. Lakinini utasikia balozi wa marekani kukutana na kiongozi wa upinzani kwenye nchi anawakilisha hasa hizi za kiafrika zenye msimamo wa...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani yatupilia mbali madai ya Watoto kutumikishwa Migodini DRC

    Mahakama ya Rufaa imetupilia mbali kesi iliyodai kwamba Kampuni 5 kubwa za Teknolojia (Apple, Microsoft, Tesla, DellTechnologies, na Kampuni Mama ya Google, Alphabet) zilikuwa zimehusika kutumikisha Watoto katika kuchimba Kobalti Nchini Congo DRC Mahakama hiyo iliamua kuwa japokuwa Kampuni hizo...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Marekani yawawekea Vikwazo Viongozi wakuu wa serikali ya Zimbabwe

    Waliowekewa vikwazo hivyo ni pamoja na Rais wa Nchi hiyo, Makamu wa Rais , Waziri wa Ulinzi na Katibu Mkuu wa chama cha ZANU PF . Viongozi hao wanakabiliwa na tuhuma za ufisadi , kukomba mali ya umma , ukiukwaji mkubwa wa Haki za binadamu, unyanyasaji uliopitiliza , utekaji na Mauaji ...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Raimondo yafichua angalau sifa tatu ilizo nazo serikali ya Marekani ya sasa

    Kuna msemo wa kale wa Kichina unaosema Jitumie Kuwahukumu Wengine, ambao unamaanisha kutumia mawazo yako mabaya kuwafikiria wengine. Ingawa ulitungwa katika Enzi ya Han ya China miaka 800 iliyopita, haujapitwa na wakati hata kidogo unapotumiwa kuelezea serikali ya Marekani ya sasa. Hivi majuzi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu mstaafu wa Israel aelezea jinsi Israel inavyoitegemea Marekani katika vita yake huko Gaza

    Haya yamesemwa na Waziri mkuu mstaafu Ehud Barak: 1. Kumbe mabomu ya vifaru Waisrael wanapewa na Mmarekani. 2. Mabomu ya ndege, Jamaa wanapewa na Mmarekani 3. Mabomu ya iron dome jamaa wanapewa na mmarekani. 4. Kulindwa kwenye maamuzi ya kimataifa ya UN 5. Na pia kumbe wanategemea walindwe...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Baraza la vita la Israel karibu kusambaratika. Gantz aenda Marekani kibabe kumshtaki Netanyahu

    Mpinzani mkubwa wa waziri mkuu wa Israel Beny Gantz ameondoka Israel ghafla na bila ruhusua ya Netanyahu kwenda Marekani kukutana na viongozi wa nchi hiyo kuzungumzia vita kati ya nchi yao na Hamas wa Palestina. Safari hiyo imemuudhi sana Netanyahu kwani alimtaka asiende huko na akaondoka kwa...
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya upeo ya Marekani yaamua Donald Trump hawezi kuondolewa kwenye sanduku la kura jimbo la Colorado!

    He has been restored on the ballot for president in the state after the court rejected claims he was accountable for the Capitol riots in 2021. On his social media platform after the ruling, Trump wrote: "BIG WIN FOR AMERICA!!!" Trump is the frontrunner for the Republican nomination to...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani imetoka hadharani kuutaka Mradi wa gesi wa Kusini? Kwanini wanatishia kwamba tukizubaa hakuna mwekezaji atajitokeza tena?

    Majasusi wa Marekani wameanza kutumia vyombo vya habari kuitisha Tanzania kuhusu Mradi mkubwa gesi huko Kusini. Makampuni haya makubwa yanalazimisha tuanze utekelezaji wakati huo kama kawaida sisi inaonekana tulikwenda kuwaita ila tulikuwa hatuajajiandaa. Wao wamefika na baada ya kuona...
  16. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania M23 ni private mercenaries wa Marekani na Ulaya. Wazungu wako miaka 100 mbele

    Uzi huu upo kitechnologia zaidi kuliko M23 yenyewe! Wakati dunia inaamuka kuanza kutumia majeshi binafsi nchi za ulaya na USA ziko miaka 100 mbele yetu wakati huo Nchi za africa ziko karne mbili nyuma bado zinadanganywa na Western democracy, Human right, UN na rule of law,I CJ court. Kifupi...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jordan na Marekani waambiwa wasifanye utani na maisha ya watu. Wadondosha vifurushi vichache vya chakula bila maji

    Mashirika kadhaa ya misaada na wanasiasa wamezibeza juhudi za Marekani na ufalme wa Jordan za kudondosha vyakula kwenye jimbo la Gaza kama ni mchezo usiopendeza kipindi hiki watu wanakufa njaa jimboni humo. Seneta wa Marekani,Jeff Merkley ameuambia utawala wa raisi Biden ikiwa kweli wamekusudia...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China yapendekeza ukarabati wa reli ya TAZARA wenye thamani ya dola za Marekani bilioni moja

    Katika hali ya kufurahisha na kufufua matumaini, hivi karibuni balozi wa China nchini Zambia Bw. Du Xiaohui alimwambia waziri wa uchukuzi wa Zambia Bw. Frank Tayali, kuwa serikali ya China inapanga kutumia dola bilioni 1 za kimarekani kuifanyia ukarabati reli ya TAZARA, inayounganisha eneo la...
  19. Mkwaju Ngedere

    JamiiForums Tanzania Peter Kupaza na mauaji ya Mwivano Mwambashi, nini ilikuwa hatma ya kesi hii?

    Mwishoni mwa miaka ya 90 kulitokea kesi ya mauaji huko Baraboo Wisconsin iliyomuhusu Peter Kupaza ambaye alituhumiwa kumuua kisha kumchuna ngozi mpwa wake Mwinvano Mwambashi na baadae kuutupa mwili huo katika mto. Bahati mbaya sikuweza kupata hatma ya kesi hii baada ya mtuhumiwa kukata rufaa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza mazoezi yake makubwa zaidi ya kijeshi Afrika Mashariki

    Mazoezi ya kijeshi yanayoongozwa na Marekani kwa jina "Justified Accord" yanaanza nchini Kenya Jumatatu, huku zaidi ya mataifa 20 yakishiriki katika tukio ambalo limetajwa kuwa kubwa zaidi la aina yake katika Afrika Mashariki. Zoezi hilo la siku 11, ambalo litakamilika Alhamisi ijayo, linalenga...
Back
Top Bottom