marekani

  1. JamiiForums Tanzania Bendera ya Marekani pekee ndio itakayoruhusiwa kupepea

    Serikali ya Donald Trump imetambulisha sera ya bendera moja, ambapo bendera ya Marekani pekee ndiyo itakayoruhusiwa kupepea katika vituo vyote vya Serikali ndani na nje ya nchi zikiwemo ofisi za balozi. Bendera nyingine zitakazoruhusiwa kwa maadhimisho ya siku maalumu ni ya mfungwa wa vita na...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Masoko ya hisa ya Marekani yapoteza karibu Dola 1.2 Trilioni kwa ujio wa DeepSeek, Makampuni makubwa ya AI yaanza kuhaha

    NASDAQ na S&P 500 ndio masoko ya hisa pendwa zaidi kwa makampuni ya teknolojia ya Marekani na nje ya Marekani Makampuni kama NVIDIA (Marekani) designer wa AI GPU, TSML (Taiwan) watengenezaji wa chips za 3nm na 5nm kwa ajili ya AI, ASML (Nerthelands) watengenezaji wa EUV lithography machine for...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Korea Kusini kukimbia kutoka Mexico na Canada kwenda kuwekeza Marekani kukwepa vikwazo vya Trump

    Samsung, LG, Kia, POSCO na makampuni mengine mengi ya Korea yamelazimika kutathmini upya gharama za kuendesha viwanda nchini Mexico na Kanada, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kusisitiza ahadi yake ya kutoza ushuru wa asilimia 25 kwa nchi hizo mbili za Amerika Kaskazini. Trump alisema...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika na Miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani itayoathirika na maamuzi ya Donald Trump

    Tuorodheshe hapa mashirika na taasisi pamoja na miradi inayofadhilwa na serikali ya Marekani ambayo itaathirika moja kwa moja na uamuzi wa serikali ya Marekani chini ya Donald Trump wa kusitisha ufadhili iwe ni kupitia shirika la misaada la Marekani (USAID Tanzania) au vinginenyo. Soma Pia...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Marekani kasimamisha michango mashirika ya afya kwanini nchi nyingi zinalaumu, kwanini nchi nyingi zinazonufaika na misaada zinakwepa michango ?

    Marekani inachangia kila mwaka dola milioni 500 (shilingi Trilioni 1.2) kwenye shirika la afya duniani. mataifa mengine yana watu wengi zaidi mfano China, ina watu zaidi ya bilioni 1 inachangia Dola milioni 20 (shilingi bilioni 50) . Marekani baada ya kuona pesa zao zinafujwa, Trump kaamua...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake Wanaobadili Jinsia katika Magereza ya Marekani waamriwa kuhamishiwa Magereza ya Wanaume

    Katika mabadiliko makubwa ya sera, utawala wa Trump umeamuru kwamba wanawake wanaobadili jinsia (transgender women) walioko katika magereza ya Marekani wahamishiwe kwenye magereza ya wanaume. Uamuzi huu tata umeibua mijadala mikali kuhusu haki za watu wanaobadili jinsia, mageuzi ya mfumo wa...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania waishio Marekani kwanini wasirudishwe nyumbani wakiwa na pingu mikononi kama wenzao wa Brazil na Mexico

    Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu...
  8. JamiiForums Tanzania Trump awaondolea ulinzi baadhi ya viongozi wastaafu nchini Marekani

    Trump kaingia ofisini juzi tu, lakini huko Marekani hawapoi. Trump amewaondolea viongozi wastaafu ulinzi na kutaka jukumu hilo la ulinzi wajigharamie wenyewe. “Nimewaondolea Ulinzi wa Kiserikali kwasababu walifanya kazi serikalini na naamini walitengeneza fedha za kutosha sana hivyo wanaweza...
  9. JamiiForums Tanzania Je, marekani itaweka zuio kwa kampuni ya China ya AI [Deepseek] ili kulinda makampuni yake ya ndani ya Artifical Intelligence[AI]

    Kampuni ya AI kutoka China ya Deepseek imezua gumzo katika vyombo vya marekani hivi karibuni kwa toleo lenye uwezo mkubwa Hali hiyo imeleta hofu kwa makampuni ya marekani katika soko na ushindani,je serikali ya Marekani itachukua hatua za haraka kudhibiti hali hii Je, huu utakuwa muendelezo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani yapata waziri wa ulinzi mlevi wa kupindukia.

    Waziri wa Ulinzi mpya wa Marekani, Pete Hegseth aliyeteuliwa na Trump na kupitishwa na maseneta walio wengi wa upande mmoja tu wa Republicans ni mlevi wa kutupwa wa pombe. Huyu bwana aliyekuwa mtangazaji wa Fox News inasemwa huwa anaweza kupiga tungi kuanzia asubuhi hata anapokuwa kazini. Watu...
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake

    Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake nchini marekani, haimaanishi ukiolewa na tajiri ndio uondoke na mali zake punde mkiachana nataka nikomeshe tabia hii kwamba mkiachana kuna kiasi tu itabidi upewe na hakuna sababu ya kusema ni kidogo kwakua hukuhangaikia, kama unahisi huwezi...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani: Mbunge apeleka muswada bungeni utakaomruhusu Donald Trump kugombania Urais kwa muhula wa 3

    Wakuu, Inaonekana huko nchi Marekani wameanza kufuata mienendo ya wanasiasa wa CCM. Mbunge mmoja huko nchini Marekani amepeleka muswada bungeni ambao una lengo wa kumuongezea muhula wa 3 Donald Trump. Muswada huo una lengo la kumpa Donald Trump miaka mingine 4 akishamaliza muda wake wa...
  13. JamiiForums Tanzania Je ni kweli maisha ya Ulaya na Marekani ni magumu au ni mwendelezo wa ngozi nyeusi kukatishana tamaa?

    Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani. Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo. Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald trump aagiza bendera zote za upinde kushushwa

    Ikiwa ni mwendelezo wake juu ya kupinga masuala ya wanaharakati wa LGBTQ+ amepiga marufuku bendera za upinde kuendelea kupepea. Amesema kwamba bendera ya taifa hilo inatosha kulinda haki zote za raia wa taifa hilo.
  15. JamiiForums Tanzania Marekani Kujitoa WHO ni vita vya kiuchumi na China

    Marekani kujiondoa WHO ni kama kete ya kuiachia mzigo wa gharama China inayotaka kujipanua kiuchumi duniani. Wakati marekani ina watu milioni 400 , China ina watu 1.5 bilioni lakini inachangia kidogo zaidi katika WHO kuliko Marekani. Marekani inaona kama inabeba mzigo mkubwa pekee wakati China...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Maofisa uhamiaji Marekani sasa wapewa mamlaka kukamata wahamiaji haramu na wahalifu watakaojificha au kukimbilia makanisani, mashuleni na hospitalini

    Wadau hamjamboni nyote? Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Guardian staff and agencies Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT Share US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Si rahisi kwa Marekani kujijengea jina kwa kujiingiza kwenye ushindani na China kwenye ujenzi wa miundombinu barani Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni Marekani imekuwa ikitekeleza kile inachokiita kurudi Afrika, sera ambayo hapo awali ilitajwa kuwa ni kurekebisha makosa ya kisera na kutambua umuhimu wa kimkakati wa bara la Afrika, sio tu kwa siasa za ndani za Marekani, bali pia kwa uchumi wa Marekani na nafasi...
  18. JamiiForums Tanzania Kauli ya WHO kuhusu taarifa ya Marekani kujitoa katika shirika hilo

    Kauli ya WHO Kuhusu Taarifa ya Marekani Kujitoa katika shirika hilo Shirika la Afya Duniani (WHO) limesikitishwa dhidi ya tangazo la Marekani kwamba inapanga kujitoa katika Shirika hilo. WHO ina jukumu muhimu la kulinda afya na usalama wa watu duniani, wakiwemo Wamarekani, kwa kushughulikia...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa kuondoa aina hii ya uraia, wahamiaji huko Marekani wanalo!

    Trump kweli kaamua,ila ataweza?? Naona maana nyingine zimekaa kikatiba !Muda utaamua! Vipi ikija bongo?? Trump has vowed to end birthright citizenship. Can he do it? President Donald Trump has said he plans to end "birthright citizenship", which refers to automatic American citizenship...
  20. JamiiForums Tanzania Kujiondoa Kwa Marekani kwenye WHO ni sawa na kukataa kuwa Kaka mkubwa Wa Dunia. Trump hafai kuwa kiongozi wa USA

    Hasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi mkubwa Wa kiteknolojia Leo anatokea mpumbavu mmoja kujiondoa kwenye shirika la Afya duniani. Huu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…