marekani

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Kama Marekani inadhibiti suala la wahamiaji haramu nasi yatupasa kuchukua hatua

    Kila mmoja wetu anashuhudia kinacho endelea Marekani Chini Ya Truph kuhusu kudhibiti suala la wahamiaji haramu. Naunga Mkono zoezi hilo kwa maslahi ya usalama wa nchi. Sisi pia Tanzania kupitia Jeshi letu la Uhamiaji wanapaswa waongeze bidii na umakini kwenye mipaka yetu ili kudhibiti wimbi...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Utamsikia anasema "Wanaume wote ni mbwa. Kama hawezi kunidekeza kama mtoto, kwendraaaaa!!"

  3. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Jinsi China Inavyo iendesha Marekani , Kwa hili US Imechemka .

    Marekani iliwafungia China katika kila kona ili kuibana na kuzuia kwa hofu ya kupitwa … kiuchumi, siasa hata Teknolojia lakini hadi sasa marekani haiamini kilicho tokea China Imegeuza meza …! …….kivipi ? Pause …. Naitwa Mkisi mtaalamu wa teknolojia na vifaa vya kidigitali. Tupo Kariakoo...
  4. goldcall

    JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba muunge mkono sera ya kuupinga ushoga kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump

    Kichwa chahusika. wanajamvi, serikali kwa ujumla na watu wa haki za binadamu, tumuunge mkono raisi trump kwa kupinga ushoga na usagaji, tuone hao wa haki za binadamu watapitia wapi labda wakamuulize Trump kuwa anakandamiza haki za binadamu. hivyo basi, mashoga na wasagaji wawe ni maadui...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ni hatuna gani nchi za Afrika zitakuchua kupambana na kujikinga dhidi ya athari ya Marekani?

    Kutokana na ujio wa Rais mpya wa marekani "Donald Trump" kusitisha utoaji wa misaada katika nchi za Africa, kauli/Sheria iyo imeonekana kuathiri sana sector ya afya ambayo ilikua ikilalia sana upande wa marekani Ili kuendesha programu mbalimbali. Kutokana na kusitishwa Kwa misaada hiyo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Marekani itaendelea kutoa misaada ya Dawa zinazozuia Vifo lakini kamwe haitatoa Fedha Kwa Nchi za Afrika

    Waziri wa Foreign wa Marekani amesema wakati wanaendelea kufanya ukaguzi kama walivyoagizwa na Rais Trump watakuwa wanatoa msaada wa Dawa za kuzuia Vifo pekee Kwa waathirika wanaotumia Dawa hizo Waziri amesema watatoa Dawa na kamwe hawatatoa fedha Source Citizen TV
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kumbe mlikuaga mnakula misaada ya Marekani alafu mkija humu JF mnawaita mashetani mara sijui firauni, etc 😂

    https://youtu.be/ShzDBSbPbm4?si=F3MM9-KNiFf54Oqm
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump atupiwa lawama ajali ya ndege Marekani

    Lawam nyingi zimeelekezwa kwa Donald Trump Rais wa Marekani kufuatia ajali mbaya ya ndege iliyotokea jimbo la Virginia ambapo ndege ya abiria imegongana na helicopter ya jeshi na kuua watu zaidi 60. Hata hivyo Trump mwenyewe amekwepa uwajibikaji na kumtupia lawama mtangulizi wake Biden. Watu...
  9. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Vituko vya sisa za Marekani

    Uchawa kama wa Tanzania,kila waziri akisimama kuongea ni kumsifu trump,muda mchache uliopita trump alikuwa anaongea na waandishi wa habari,kuhusu ajali ya ndege kugongana hewani,yeye kalaumu serikali biden,kwamba ilishusha viwango vya ajira za air yrafic controllers na mawaziri wake wawili...
  10. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania ACT WAZALENDO Kuhusu Kusitishwa kwa Misaada ya Afya na Serikali ya Marekani

    ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje. Tanzania, kama moja ya...
  11. Heparin

    JamiiForums Tanzania Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

    Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kuonesha msimamo mkali kuhusu suala la wahamiaji. Katika sera zake, amesisitiza kuimarisha usalama wa mipaka, ikiwemo ujenzi wa ukuta mpakani na Mexico, pamoja na kuimarisha sheria za uhamiaji ili kupunguza wahamiaji wasio na vibali halali. Trump...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel ndiyo imeifanya Marekani kuwa taifa dhaifu

    Kauli mbiu ya rais Donald Trump wa Marekani ni kuifanya Marekani kuwa taifa kubwa kwa mara nyengine (Make America Great Again). Huu ni ukweli aliouona Trump tangu mwaka 2020 alipogombea na Joe Biden na ambao sasa ndio umezidi kudhihirika. Kwa ujumla wake hiyo ni kauli ya kutapata kwa wazalendo...
  13. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Marekani: Afrika inakuhitaji rudi uwe nasi

    Nakuomba sana Marekani Afrika bado inakuhitaji sana, Sisi ni kama watoto bado hatuwezi wenyewe unajitoa unajipeleka wapi Marekani? Marekani baba kama kuna mahali tumekukosea tunaomba utusahamee, tunakuomba sana. Angalia unajitoa je ARV tutakuwa tunapata wapi? Na kuna zile neti je? Kuna...
  14. milele amina

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa urejeshwaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani

    Katika kipindi hiki, cha utawala wa Trump, kumekuwa na habari za kuhamasisha na kuangazia urejeleaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani. Ref: Marekani yatoa orodha yenye watanzania 301 wanaorejeshwa Tanzania Hata hivyo, kuna maswali mengi ambayo yanahitaji kujibiwa ili kuondoa wasiwasi miongoni...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania China hana ubavu wowote mbele ya Marekani makampuni yote ya simu na computer yapo chini ya Marekani

    Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China. Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Mchina ni rafiki wa dhati kwetu Afrika? Mbona hatoi misaada ya afya kama Marekani na yupo wapi baada ya Marekani kusitisha misaada?

    Huyo anaeitwa adui baada ya kusitisha misaada bajeti imeyumba, ina maada rafiki yetu wa dhati Mchina alikuwa anachangia matone ? 😓😓 Mchina rafiki yetu ana mpango gani baada ya adui kusitisha msaada, mbona kimya sana ni kwamba hasikii vilio kutoka Africa ?
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hata kama Wapalestina hawakubaliki Marekani hili la mzigo condom wamesingiziwa.

    Katika kufafanua zaidi kuhusu kusitishwa kwa msaada wa Marekani chini ya utawala Trump Msemaji wa Ikulu ya Marekani akizungumza na vyombo vya habari amesema walipofanya ukaguzi wamekuta Gaza imepewa $million 50( takribani bilioni 100Tsh) kwa ajili ya kununua Condom. Huu ni uzushi mkubwa sana...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama: Mahakama yasitisha amri ya Trump ya kuzuia uraia wa kuzaliwa Marekani

    UHURU WA MAHAKAMA Kwako Ibrahim Juma , CJ. MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa agizo la muda la kusitisha utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kufuta uraia wa kuzaliwa nchini...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Marekani yakumbwa na ukata wa mayai, bei yapaa kupitiliza.

    Huko Marekani kuna uhaba mkubwa wa mayai, kama huna buku mbili huli yai moja. Msemaji wa serikali ya Trump anasema ni kwa sababu ya utawala wa Biden kuua kuku milioni 100 na sera zake mbaya za mfumoko wa bei. Hata hivyo sababu inaelezwa ni homa ya mafua ya ndege hali inayopelekea kuku wengi...
  20. Snipes

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Marekani pekee ndio itakayoruhusiwa kupepea

    Serikali ya Donald Trump imetambulisha sera ya bendera moja, ambapo bendera ya Marekani pekee ndiyo itakayoruhusiwa kupepea katika vituo vyote vya Serikali ndani na nje ya nchi zikiwemo ofisi za balozi. Bendera nyingine zitakazoruhusiwa kwa maadhimisho ya siku maalumu ni ya mfungwa wa vita na...
Back
Top Bottom