marekani

  1. JamiiForums Tanzania Elon Musk ataka Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Sauti ya Amerika (VOA) zifungwe akidai hazina umuhimu tena

    Elon Musk ametaka kufungwa kwa Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Voice of America (VOA), vyombo viwili vya habari vinavyofadhiliwa na serikali ya Marekani, akidai kuwa havina umuhimu tena. Musk alitoa kauli hizi akijibu chapisho la Richard Grenell, Mjumbe Maalum wa Marekani, ambaye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Havard graduate wanalalamika kukosa ajira. Soko la ajira gumu mpaka marekani. Hali inatisha

    Kwa miongo kadhaa, kupata MBA kutoka Ivy League imekuwa ikichukuliwa kama tiketi ya dhahabu kwa ajira popote. Kulingana na Fortune, MBA ya Harvard inachukuliwa kuwa bora zaidi, ikishika nafasi ya juu katika orodha ya shule za biashara 98 za Marekani. Hata hivyo, mwaka 2024, hata digrii ya MBA...
  3. JamiiForums Tanzania Wazungu wa Afrika Kusini wakata kata kata ofa ya Trump ya ukimbizi Marekani.

    Baada ya jana Trump kusaini amri ya kukata msaada kwa South Africa pamoja na kuruhusu kupewa hifadhi ya ukimbizi Marekani kwa wazungu wa Africa Kusini(Boers) anaosema wananyanyaswa na serikali ya Africa Kusini, wazungu wenyewe wa huko wamepuuzilia mbali hatua hizo wakipaza sauti kila kona kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Majimbo 19 ya Marekani yamshtaki Trump kumpatia Ellon Musk nyara za serikali

    Majimbo yameanza mchakatao wa kumshtaki raisi Trump kutokana na utitiri wa amri za kiraisi ambazo amezitoa tangu arudi madarakani. iiliyoyaudhi majimbo hayo ni uamuzi wake wa kumpatia bilionea na mshirika wake,Ellon Musk funguo za kufikia malipo ya wafanyakazi wote katika serikali ya Marekani...
  5. JamiiForums Tanzania Waafrika wahamiaji Ulaya na Marekani wanajiona wazalendo sana kwa mataifa yao mapya kuliko kizazi cha watumwa.

    Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa? Hawa Waafrika wahamiaji wa hayo mataifa wanaringa nayo sana hadi kufikia kuwadharau Waafrika wenzao waliowaacha Africa! Wao...
  6. JamiiForums Tanzania Trump Amuondolea Joe Biden Haki Ya Kupatiwa" Taarifa Za Siri/Classified Informations "Kama Ilivyotakiwa Kwa Maraisi Waliotangulia Wa Marekani

    President Donald Trump has said he’s revoking Joe Biden’s security clearance and ending the daily intelligence briefings he’s receiving, in payback for Biden doing the same to him in the wake of the January 6 attacks. Trump announced his decision in a post saying: “There is no need for Joe...
  7. JamiiForums Tanzania Trump atia saini amri ya kujiondoa kwa Marekani kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa

    Rais wa Marekani, Donald Trump, Jumanne alitia saini amri ya kujiondoa kwa Washington kutoka mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo Baraza lake la Haki za Binadamu (UNHRC), huku akianzisha mapitio mapana ya ufadhili wa Marekani kwa taasisi hiyo ya kimataifa Amri hiyo ilitangaza...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Uhusiano wa Wizi wa Raslimali za Nchi Yetu na Wanasiasa wa Chama cha Democratic cha Marekani?

    Nakili sina ujuzi wa mada za uchunguzi ila kwa kutumia tu "common sense" ambayo kila mtu anazaliwa nayo na kwa msaada wenu "great thinker" hebu tuunganishe dots hapa(huu ni Uzi shirikishi) ili kuwabaini Wanasiasa hapa nchini ambao wapo karibu sana na wana urafiki na wenzako wa chama cha...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo?

    Rais wa Marekani ambaye hivi karibuni alikutana na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, anajaribu kuchukua hatua za kuilinda Israel na kuzilazimisha nchi zingine zifuate sera za Washington na hivyo kuwa pamoja na Israel. Ni kwa kuzingatia ukweli huo ndio maana...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani kusitisha misaada kunaweza fanya shilingi yetu iporomoke dhidi ya Dola?

    Inadaiwa tulikuwa tunapewa dola 512milioni kwa mwaka. Je kukatiwa hizo pesa kutafanya shilingi idhoofike dhidi ya dola?
  12. JamiiForums Tanzania Kitakachotokea Dakika za Mwisho Kabla ya Vita vya Nyuklia (Nuclear War): Marekani Chini ya Shambulizi Kuu kutoka Urusi

    Katika enzi ya kisasa ambapo uhasama wa mataifa makubwa unazidi kushamiri, hatari ya vita vya nyuklia haijawahi kuwa kubwa zaidi. Marekani na Urusi, mataifa mawili yenye silaha za nyuklia zenye uwezo wa kuangamiza ustaarabu wa binadamu mara kadhaa, hujikuta katika mgogoro mkubwa wa kijeshi...
  13. JamiiForums Tanzania China yamjibu Trump inatoza ushuru wa 15% kwa Makaa ya mawe ya Marekani na Natural gas na bidhaa zingine

    Wanaukumbi. Hong Kong CNN — Beijing announced a broad package of economic measures targeting the United States on Tuesday, hitting back after US President Donald Trump imposed 10% tariffs on Chinese imports. The fresh duties, announced by China’s Ministry of Finance, levy a 15% tax on certain...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mbona mapema sana, Siku 3 baada ya Rais wa Mexico kuishupazia shingo Marekani kakubali kutuma wanajeshi elf 10 mpakani kudhibiti madawa na wahamiaji

    Trump aliweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Mexico kama adhabu ya wao kutotia mkazo wa uvushaji wa madawa na wahamiaji haramu kuingia Marekani, Rais wa Mexico hakutaka kuonekana mnyonge akamwaga mboga kwa kuweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Marekani (Tit for Tat), Ni siku ya 3...
  15. JamiiForums Tanzania Canada wamekataa unyonge mbele ya marekani

    Canada imechukua hatua ya kujitenga na Marekani baada ya Rais Donald Trump kuwekea ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka china .Viongozi wa Canada, wakiongozwa na Waziri Mkuu Justin Trudeau, wameamua kuachana na Marekani kabisa. Mark Carney...
  16. JamiiForums Tanzania Elon Musk amesema USAID ni Shirika la kihalifu, linapaswa kufa

    Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu. Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Sasa ni zamu ya Ulaya baada ya Canada, Mexioco na China

    Baada ya China, Mexico na Canada kushughulikiwa sasa ni zamu ya umoja wa Ulaya kuongezewa tarrifs na utawala wa Trump. https://x.com/spectatorindex/status/1886132546020458812?t=lSz05YZkp1XveIK9-MGxVQ&s=19
  18. JamiiForums Tanzania Vita vya kibiashara vya Trump ni hatari kwa Marekani kuliko vita vya silaha ilivyopigana na inavyoshiriki mataifa ya nje

    Katika vita vya silaha taifa la Marekani limetia hasara kubwa maeneo mengi duniani na hawajawahi kushinda hata sehemu moja. Wamepigana Afghanistan na hatimae wakashindwa na kukimbia mbio nyingi.Iraq nako ni kama hivyo.Libya mpaka balozi wa Marekani aluliwa ubalozi wao ulipochomwa moto. Ukienda...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaandamana kupinga kuondolewa kwa wahamiaji haramu Marekani huku wakipeperusha bendera za Mexico, Honduras, na nchi zinginezo

    Huu ni ujinga. Ni upumbavu wa hali ya juu. Hawa ni waandamanaji wanaopinga sera za Rais wa sasa wa Marekani za kukabiliana na suala na uhamiaji haramu. Wengi wa hawa waandamanaji ni Walatino. Hapa ni katika moja ya viunga vya mji wa Atlanta, GA. Wanaadamana kupigania istihaki [privilege] ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania List ya nchi za kusini mwa jangwa la Sahara zenye zinazoogoza kwa kuwa na Diaspora matajiri huko Marekani

    Wakati Majirani zetu Kenya wakishika namba 2 sisi Tanzania hatupo kwenye list kabisa. Wakina Kiranga, Bufa na wengine vipi vyuma vimekaza huko sio 😅🤣😂
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…