Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha awali cha maafisa waandamizi cha Jukwaa la Majadiliano kati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Serikali ya Marekani...
Idadi ya nchi zinazotangaza kutambua taifa la Palestina inaendelea kuongezeka, ambapo zaidi ya mataifa 145 sasa yanatoa wito wa kutambuliwa kwake kimataifa
Nchi nyingi zilizotambua taifa la Palestina zilifanya hivyo mwaka 1988, baada ya Baraza la Kitaifa la Palestina kutangaza rasmi kuanzishwa...
According to Gallup's latest poll, several current and former Trump administration officials have also seen plunging favorability ratings, including secretary of state Marco Rubio, and president Trump himself, setting the stage for a whirlwind midterm election next year.
Trump has since tried...
Raia mmoja wa Tanzania ametajwa miongoni mwa watuhumiwa wanne wa kigeni wanaodaiwa kupanga kusambaza silaha za kijeshi zenye thamani ya dola milioni 58 sawa na Sh145 bilioni fedha za kitanznia kwa moja ya magenge hatari zaidi ya biashara ya dawa za kulevya duniani
Subiro Osmund Mwapinga...
Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
BBC News, Swahili
Ruka hadi maelezo
Yaliyomo
HabariMichezoMakalaAfyaBurudaniVideoVipindi vya Redio
Moja kwa moja,
Israel yaua mwanahabari mashuhuri wa Al Jazeera na wenzake 4 katika shambulio lililoelekezwa Gaza
Shirika hilo la habari lashutumu vikali ''ushambulizi dhidi ya uhuru wa vyombi vya...
Deni la Marekani Limefikia Zaidi ya Dola Trilioni 37 kwa Mara ya Kwanza Maishani Hapa ikiwa na maana kwamba Deni limekua kubwa mara dufu kuliko Uchumi wao wa Dolla T 30.
Unaweza jifunza jambo hapa kwamba Unacho tangaziwa kuhusu Uchumi wa Marekani si halisia, Ni ajabu kwa taifa kama la Marekani...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza kwamba raia wa Zambia na Malawi watatakiwa kulipia dhamana ya dola za Kimarekani 5000 hadi 15,000 (USD5,000 - 15,000) ili kuruhusiwa kuingia nchini Marekani kwa vibali (VISA) vya biashara au utalii.
Utekelezaji wa Uamuzi huo utaanza rasmi Agosti 20...
Rais wa Kenya, William Ruto, amejibu hatua ya Marekani ya kutaka kupitia tena hadhi ya nchi yake ya mshirika mkuu asiye mwanachama wa NATO, akisema kuwa machaguo yake ya sera za masuala ya mambo ya nje yanazingatia kile ambacho kinafaa zaidi kwa Kenya.
Akizungumza na sekta za kibinafsi, Ruto...
Sheria mpya kutoka uhamiaji Marekani inawataka raia wa Zambia na Malawi wanaotaka kwenda Marekani kwa kutembea ama kibiashara ku deposit kwanza kiasi cha dollars za marekani elfu 15 kabla ya kupewa Visa ya mwaka mmoja.
Baada ya Visa kukaribia kuisha wanatakiwa kuondoka Marekani na kurudishiwa...
Baada ya siku mbili za mazungumzo jijini Stockholm, pande zote zilionyesha nia ya kusuluhisha tofauti zao lakini msimamo wa Washington wa kuitaka China kusitisha biashara hiyo ya nishati bado ni kikwazo kikuu.
Msimamo wa China wa kukataa shinikizo hilo unaangazia jinsi Beijing inavyolipa...
China na Marekani hivi karibuni zilifanya duru mpya ya mazungumzo ya kiuchumi na kibiashara huko Stockholm, nchini Sweden, ambapo pande hizo mbili zilibadilishana maoni kwa kina kuhusu masuala ya kiuchumi na kibiashara.
Pande hizo zilifikia makubaliano kwamba, Marekani itaendelea kusimamisha...
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba ameamuru nyambizi mbili za nyuklia za nchi hiyo zipelekwe kwenye maeneo mawili ya kimkakati kufuatia matamshi aliyoyataja kuwa ya "kijinga na uchochezi" yaliyotolewa na Rais wa zamani wa Urusi, Dmitry Medvedev. Hivi karibuni Medvedev alitishia...
Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe.
In short don't trust politicians hasa ukiwa smart .
Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel
Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa...
Bilonea namba moja duniani na raia wa marekani mzaliwa wa afrika elon musk ameonekana katika kuishabikia russia katika majibizano yanayoendelea huko mtandaoni kwake wa x zaman ukijulikana kama twitter.
Katika tathmini ya vita vya siku 12 kati yake dhidi ya Israel na Marekani,Iran imeamua kuachana na matumizi ya teknolojia ya GPS nyengine kadhaa ambazo imegundua zilichangia kuuliwa kwa makamanda wake wa kijeshi na wataalamu wa nyuklia.
Badala yake Iran imeamua kugeukia teknolojia aina hiyo...
Katika hatua ya kushangaza na inayozua maswali mengi, serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imewapa Warusi mradi wa majaribio wa uchimbaji wa uranium, Namtumbo - Ruvuma. Uranium ni moja ya rasilimali nyeti duniani, inayotumika katika uzalishaji wa nishati ya nyuklia lakini pia inaweza kuwa kiungo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.