Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera.
Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
Senator Jeanne Shaheen wa Marekani (New Hampshire, D) ana nia ya kupeleka hoja kwenye bunge la Senate la Marekani akisema kuwa chama tawala cha Tanzania CCM kimehatarisha usalama wa raia wa Tanzania na watalii na kuiba kura, na hivyo baada ya wizi huu wa kura, na mauaji hayo, uhusiano wa...
Kundi la maseneta wa chama cha Democratic katika Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani, likiongozwa na Seneta Jeanne Shaheen, limeitaka serikali ya Marekani kufanya mapitio ya kina ya uhusiano wake na Tanzania kufuatia uchaguzi wenye utata uliofanyika Oktoba 29, 2025.
Rais Samia Suluhu...
Tukio: Marufuku ya kutotoka nje kitaifa bado ipo kati ya saa 12 jioni hadi saa 12 asubuhi. Katika maeneo fulani ya Dar es Salaam, vyombo vya ulinzi na usalama vinaripotiwa kuimarisha udhibiti wa harakati za watu. Huduma ya intaneti bado imezuiwa, jambo linalosababisha ugumu katika mawasiliano na...
Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari.
Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
Mamlaka ya usalama wa taifa la China hivi karibuni ilifanikiwa kuzima jaribio la kushambulia Taasisi ya Huduma ya Wakati ya China. Kulingana na matokeo ya uchunguzi yaliyotangazwa, shambulio hilo lililotoka kwa Shirika la Usalama la Kitaifa la Marekani (NSA), lilimekuwa likilenga miundombinu...
Habari za hivi punde ni kuwa Rais Trump anatarajiwa kuruhusu mashambulizi ndani ya Venezuela kwa lengo la kumuondoa Rais Madulo,
Venezuela tayari imesogeza Vilinda Anga muda mchache uliopita kuwakabiri marubani na makombora ya Marekank
Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka iliyopita, madai hayo itabidi yapitie kwa watu aliowateuwa kuongoza idara hiyo ambao wengi wao...
Uholanzi walikuwa na kampuni ya inayoitwa Nexperia ya kutengeneza semiconductors ambayo ilikuwa inaelekea kufirisika.
Wakaja wawekezaji wa Kichina kampuni ya Wingtech Technology Co wakainunua Nexperia. Hivyo Nexperia ikawa ni kampuni tanzu ambayo inamilikiwa kihalali na Wingtech ya China.
Na...
Oktoba 18 na 19, 2025, maelfu ya wakazi wa jimbo la Illinois, New York, Washington DC, Chicago, Miami na Los Angeles, Boston wamejitokeza mitaani kushiriki maandamano ya “No Kings” yanayofanyika kote Marekani na duniani. Maandamano haya ni sehemu ya harakati kubwa ya kupinga kile kinachoitwa...
Ugaidi wa Jihadi nchini Marekani
Huko New York, magaidi waliandaa mkesha wa kuwaombolezea viongozi wao ambao waliangamizwa wakati wa vita na Israeli na katika operesheni mbalimbali zilizopita. Bendera za vikosi vya Hamas Al-Qassam, Saraya Al-Quds, Hezbollah, Houthis na zaidi zilikuwepo kwenye...
Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kikundi cha Hamas kwamba kama wataendelea kwenda kinyume na mkubaliano basi ataruhusu IDF irudi tena kufanya mashambulizi
Department of State imefuta VISA kadhaa za raia wa kigeni walio Marekani ambao walishangilia kifi cha Charles Kirk.
==============
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani (@StateDept)
Machapisho tena: 17.3K Majibu: 3,949 Walioipenda: 131K Walioweka alama: 7,977
Wizara ya Mambo ya Nje (ikijibu kwa...
Huenda umelisikia sana jina Scott Bessent tangu Trump aingie madarakani hasa wakati huu wa vita vya kiuchumi kati ya Marekani na China.
Huyu ni U.S Treasury Secretary na ndiye mwakilishi anayeongoza jopo la wajumbe wa Marekani katika mikutano ya China na Marekani ya kusuluhisha mzozo wa...
Wakuu kuweni makini na mienendo yenu huko mitandaoni hasa kama unatumia ID inayokufanya ujulikane kwa urahisi.
Mambo yamekuwa si mambo huko X baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kutangaza kupitia X kwamba haitowakaribisha wageni wowote wanaotamani kifo kwa Wamarekani, ikionyesha wazi...
Iran, Hamas, Hezbollah, Isis, Houthi, huwa wanafurahi sana kukiwa na rais wa Marekani aliyetokea chama cha Democrats kama Biden na walitegemea Kamala Harris ashinde.
Waliposikia ni rais wa Republican kashinda hawakufurahi kabisa.
Huyu ni moja wa mateka walioachiwa akielezea hali ilivyokuwa...
Niwapongeze sana Idara ya uhamiaji kuwafutia viza watu wawili wenye mahusiano na taasisi ya KAS.
kwa mapitio yangu watu hawa walianza harakati muda mrefu ikiwemo kutoa mafunzo kwa CHADEMA ambayo
leo tunaiona ikikiuaka kanuni za msingi za chama cha siasa ...kukataa kuingia kwenye uchaguzi na...
Kuna baadhi ya Watu wamekuwa na tabia ya kwenda Marekani na wakifika huko wanazamia au wanachelewa kurejea ndani ya muda wa Visa ambayo walipewa.
Serikali ya Marekani imeamua kuweka mabadiliko ya maombi ya Visa kwa Nchi kadhaa kama tano au sita, chanzo ni ndugu zetu wanaokwenda na hawarudi...
Serikali ya Marekani imeufuta mradi wa Tanzania NCO Development ambao ulikuwa na thamani ya dola million 3.1
Mradi huo ambao ulikuwa ni mradi wa Marekani kutoa mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi wa Tanzania wenye vyeo vya chini ( Non officers) , Marekani imefikia hatua hiyo ya kusitisha mradi huo...
Spika wa bunge la Israel Knesset amemwalika rasmi rais Trump kuhutubia bunge la Knesset.
"Ni heshima yangu kuu na pendeleo kubwa kualika rasmi rafiki mkubwa na mshirika wa Wayahudi katika historia ya kisasa."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.