marekani

  1. I

    Miili 84 ya askari wanamaji wa Iran waliouliwa na Marekani kurejeshwa Iran na serikali ya Sri Lanka

    Sri Lanka kurejesha mabaki ya wanamaji 84 wa Iran waliouawa katika shambulio la Marekani. Sri Lanka inarejesha mabaki ya wanamaji 84 wa Iran waliokufa wakati frigate yao ilizamishwa siku tisa zilizopita na shambulio la manowari ya Marekani ya torpedo, ilipokuwa ikisafiri katika maji ya...
  2. Jeshi la Tanzania na Marekani Wasaini Makubaliano ya Ushirika wa Kijeshi

    Makubaliano hayo yatajikita katika, Kukabiliana na majanga na kutoa msaada wa kibinadamu ni sehemu muhimu ya kudumisha usalama wa kitaifa na wa kimataifa. Leo, Ubalozi wa Marekani uliwasilisha mahema tisa ya dharura kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania ili kuimarisha uwezo wa Tanzania wa...
  3. T

    Kutoka rubani wa ndege nchini Marekani hadi muokota makopo nchini Kenya

    Hii ni hadithi ya maumivu ya ndugu Samuel Mawato, mkazi wa Mtwapa, Kaunti ya Kilifi, nchini Kenya. Samuel hakuwahi kufikiria kwamba siku moja angekuwa muokota makopo. Kwa miaka 15 aliyoshi Marekani, ambako alisomea urubani na baadaye kufanya kazi kwa muda mfupi katika shirika kubwa la ndege la...
  4. Marekani wasema tena 'hawako tayari' kusindikiza meli za mafuta katika Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. Waziri wa Nishati wa Marekani Chris Wright anasema kuwa jeshi la wanamaji la nchi yake haliko tayari kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz. Hakuwa akisema hivyo Jumanne. Kwa hakika, saa 48 zilizopita, alitangaza kwenye mitandao ya kijamii kwamba Jeshi la...
  5. Trump: Kuongezeka kwa bei ya mafuta duniani ni faida kwa Marekani

    Rais mwendawazimu wa US anasema kupanda kwa bei ya mafuta duniani ni faida kubwa kwa US kwa sababu wao ni wazalishaji wakubwa zaidi duniani. ============== IRAN WILL BE STOPPED! The United States is the largest Oil Producer in the World, by far, so when oil prices go up, we make a lot of money...
  6. O

    Iran inataka kushambulia Pwani ya Magharibi ya Marekani kama kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani

    Ripoti zinasema kuwa FBI imetoa tahadhari kwa vyombo vya usalama katika jimbo la California kwamba Iran inaweza kufanya shambulio la kulipiza kisasi dhidi ya Marekani. Inaelezwa kuwa shambulio hilo linaweza kutumia ndege zisizo na rubani (drones) zinazoweza kurushwa kutoka meli isiyojulikana...
  7. M

    Ni kwanini Iran imetia umakini kulipua raia wakati Marekani na Israel wanalenga zaidi silaha, viongozi, viwanda vya silaha, rada, meli za vita, n.k?

    Najiuliza sipati majibu. Hadi sasa Marekani na Israel wameharibu kwa kiasi kikubwa meli za kivita za Iran, ndege za jeshi la Iran, vituo vya makombora na drones, Ulinzi wa anga, vituo vya kijeshi, miundombinu ya mafuta, n.k. Wameweza kuwaua pia viongozi wakubwa kama Ayatollah na makamanda...
  8. U

    Hatimaye Marekani na washirika wake wamejaa kwa Zelensky kuhusu drone!

    Nchi za Mashariki ya Kati na Ghuba, pamoja na Marekani, zimeiomba Ukraine iwauzie vifaa vya kuzuia ndege zisizo na rubani ili kukabiliana na ndege zisizo na rubani za "Shahed" za Iran. Lakini Kiev bado haijakubaliana na mauzo hayo. lakini kwa nini? "Mahitaji ya ndege zisizo na rubani...
  9. Ikiwa ubashiri wako vita ya Israel na Iran, Israel akisaidiwa na Marekani ni mihemuko kiimani. Jitafakari

    Nimekaa na kuwaza kwa kina pamoja na ukweli kwamba imani yangu haifungamani na upande wowote, ni vizuri ukajiuliza. Wengi wa wachambuzi wanakimbilia maandiko yamesema kwamba iran itapotea kwenye ramani. Wengine wanadai Israel itapotea na wengine marekani inaendelea kutafuta shimo la kupotelea...
  10. George Galloway: Askari 173 wa Marekani kutoka katika kikosi cha Delta force wametekwa na Iran

    George Galloway anasema askari 173 kutoka katika kikosi hatari cha Delta force wametekwa na Jeshi la Iran.
  11. M

    Ni kweli Meli ya Marekani ililipuliwa na makombora ya Irani ukweli ni huu

    Ni kweli Meli ya Marekani ililipuliwa na makombora ya Irani kwa ushahidi wa vigezo vifuatavyo,unaweza kuondoa siraha muhimu katikati ya vita?na hii vita Mmarekani anaenda kupoteza na ndiyo utakuwa mwisho wa Israer na Marekani maana Komeni Mwenyewe Vijana wake walimuomba watengeneze makombora...
  12. Marekani na Israel hawataweza kubadali mfumo wa utawala wa Irani kutoka Sharia hadi Demokrasi bila kuweka vikosi vya ardhini ndani ya Irani.

    Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
  13. KIDUKU, CHINA, URUSI, WAKIJA ETI WATAKULINDA DHIDI YA MAREKANI WAFUKUZE, HAWAFAI

    KWA Maduro Venezuela tukasema MMH hakuwa na makubaliano ya kumlinda, tukafunika kombe, Mmmh HATUJA KAA SAWA mara KHAMENEI hatunae, TENA HUYU walimhakikishia kabisa wakajifanya KUSIMAMA kidete, Kiko WAPI, HAWA JAMAA Nina mashaka na UWEZO WAO KWA KWELI Yani hakuna jaribio walio zuia, ni...
  14. H

    Iran Yanyong'onyea, Yawaomba Msamaha Nchi Jirani. Trump Asema Marekani Itafanya Shambulizi Kubwa Leo

    Iran, baada ya kauli za kibabe kuwa atapiga nchi zote marafiki wa Marekani Mashariki ya kati, baada ya kurusha makombora hovyo hovyo kwa nchi za kiarabu, na Waarabu kuamua kuwa na kikao kesho ili kupambana kwa pamoja dhidi ya Iran, leo Rais wa Iran ameyaomba radhi mataifa jirani. Iran's...
  15. Iran imesitisha mashambulizi kwa nchi za kiarabu kwa masharti. Mashambulizi kwa Israel na Marekani yataendelea kama kawaida

    Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
  16. Meli nyingine ya kivita ya Iran yatorokea India na kuomba hifadhi, hali tete, nyambizi za Marekani zinawinda balaa

    India yathibitisha kupokea meli ya Iran iliyokimbilia huko baada ya kutoroka mapambano, nyambizi za Marekani zinawinda chochote chenye ishara ya Iran. India has allowed an Iranian warship to dock as a humanitarian gesture, Foreign Minister Subrahmanyam Jaishankar says, after the US sank another...
  17. Iran: Tunasubiri majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia mlango wa bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: -Tunasubiri uwepo wa majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz - Tunawakumbusha Wamarekani juu ya kuchomwa kwa meli ya mafuta ya Amerika Bridgeton mnamo 1987… ================ BREAKING: IRAN...
  18. Kwanini Marekani ameshindwa kuimaliza Iran haraka?

    Muda huwa ni mwalimu mzuri sana. Nakumbuka mabazazi na madunya wa humu ndani mnamo tarehe 24 February 2022 siku ambayo Urusi alivamia Ukraine walinitafuta na kunisimanga sana. Wengine walidiriki hadi kukashifu taaluma yangu. Walishangaa kwamba kwanini Urusi ameshindwa kuivamia Ukraine na...
  19. U

    Jenerali wa kwanza mwenye nyota nne mwenye asili ya Afrika ateuliwa jeshi la Navy Marekani tangu miaka 246 ya kuanzishwa jeshi hilo

    Semper Fidelis. In the Marine Corps, under President Donald J. Trump color does not matter. Merit does. For the first time in its 246-year history, the U.S. Marine Corps has promoted a Black officer to the rank of four-star general. General Michael E. Langley has made history. Commissioned...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…