marekani

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Zambia imekataa ufadhili wa zaidi ya dola bilioni 1 kutoka kwa utawala wa Marekani chini ya Donald Trump

    Zambia imekataa ufadhili wa zaidi ya dola bilioni 1 kutoka kwa utawala wa Marekani chini ya Donald Trump, na hivyo kuwa nchi ya hivi karibuni barani Afrika kufanya hivyo baada ya Zimbabwe. ========== Zambia has rejected a more than $1-billion funding from the US administration of Donald Trump...
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Marekani: Makelele yazuka wakati wa hotuba ya Trump

    Rais wa Marekani Donald Trump amekosolewa kwa sauti na kelele alipokuwa akitoa hotuba ya Hali ya Taifa. Wakati Warepublican wakimpa Trump shangwe za kusimama alipokuwa akizungumzia sera yake ya uhamiaji, aliwakemea wale ambao hawakusimama akisema, “Mnapaswa kuwa na aibu.” Tukio hilo la mvutano...
  3. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Marekani na Iran kuna dalili yoyote ya kuepukika au muda wowote toka sasa kuna lipuka huko mashariki ya kati?

    Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ? Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yasema Ipo Tayari Kuikaribisha Marekani Kuwekeza Iran Endapo Itafikia Maelewano ya Kidiplomasia

    Kufuatia mazungumzo yanayoendelea, Iran yaelekea kulegea na kutoa ushawishi wa kila aina, siyo tu Marekani isiishambulie, bali kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na kiuchumi. Kwenye tamko la Serikali, Iran imesema kuwa uhusiano mzuri na Marekani utakuwa na faida kwa pande zote, na kwamba...
  5. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nchi za Mashariki ya kati huwenda zisisimame Milele wakimruhusu Marekani kutumia Anga zao

    Marekani siku zote inalinda Maslahi yake kwa nguvu Kubwa katika kujilinda huku ameigawanya Dunia katika angle za kijographia ili kuhisisha mawasiliano na kuendelea kumiliki uchumi wa Dunia na kuendelea kujitanua pitia ardhi za wengine Kupitia sera za kimataifa. Katika ugawaji huu wa Maeneo...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Uwezekano mkubwa sana Shambulio la Marekani dhidi ya IRAN ni alfajiri ya ya Jumapili kesho kutwa

    Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania DR Congo yatoa Mgodi wa Tantalum wa Rubaya Unaoshikiliwa na Waasi kwa Marekani Katika Makubaliano ya Madini

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeongeza mgodi wa coltan wa Rubaya unaoshikiliwa na waasi — ambao ni miongoni mwa maeneo tajiri zaidi duniani kwa madini ya tantalum — kwenye orodha fupi ya rasilimali muhimu za kimkakati inazozitoa kwa Marekani chini ya mfumo wa ushirikiano wa madini, kwa...
  8. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa Taifa kubwa kama Marekani kutokuwa na lugha yao ya asili na rasmi, wanazidiwa mpaka na Wamakonde

    Moja kwa moja. Lugha ni kielelezo kikubwa cha utamaduni , historia , utambulisho na ukubwa wa Jamii. Cheki mataifa yote makubwa yana lugha na Dola zilizosumbua zote zina lugha zao China ; Wanaongea kichina na wanajivunia nacho mpaka Xi Jinping anaongea kichina tu wakati wowote. Russia ; wana...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

    Maafisa wawili wa Marekani wamekiambia chombo cha habari cha Reuters, kuwa Jeshi la Marekani linajiandaa kwa uwezekano wa operesheni endelevu za wiki moja dhidi ya Iran ikiwa Rais Donald Trump ataamuru shambulio. Ufichuzi huo wa maafisa hao, ambao walizungumza kwa sharti la kutotajwa majina...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ni kichaa pekee anaweza kulinganisha uwezo wa Iran na Marekani kivita

    Ukweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania lijadili kikundi cha wabunge wa Ulaya na marekani kinachotumiwa kuichafua Tanzania

    Ni vyema sasa na wabunge wetu wakapewa nafasi ya kuwajibu hawa mabeberu wenye kushirikiana na vibaraka wao ambao kazi yao ni kuchafua taswira ya Tanzania. Utashangaa kabunge kabinti hata ubwabwa wa shngo haujatoka kabasimama kuiongelea Tanzania vibaya
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani: Kama Jumuiya za Kimataifa zingesimama na viongozi wa kidini na upinzani, mauaji ya Oktoba 29 yangeweza kuzuiwa

    Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Marekani, Chris Smith, amekemea vikali vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na mateso dhidi ya waumini wa dini mbalimbali duniani. Katika hotuba yake, Smith ameorodhesha nchi zinazokandamiza uhuru wa kidini kuwa ni China, Urusi, Nikaragua...
  13. Pakome

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kama Watanzania ni watu wanaojidharau kiasi hiki, wanaamini Mataifa mengine ndiyo Paradiso, wageni ndio wenye thamani bali si wao

    Hali inatisha sana, Watanzania ni watu wanaojidharau sana sikuwahi kufahamu hili tangu mwanzo Hawajiamini kabisa hasa wanapojilinganisha na watu mashuhuri duniani Hawaoni kama wao wana thamani kubwa wala hawaoni thamani ya Taifa lao Mtanzania anaposema anamfahamu Barack Obama basi watakataa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile Urusi ilikuwa anaisubiri Marekani aishambulie Iran ili Urusi alipe kisasi.

    Putin baada ya kuona anashambuliwa na USA kwa kushirikiana na NATO kupitia Ukraine,alitoa ahadi kuwa, kuanzia Sasa Urusi itakua inazipa silaha Kali nchi mahasimu wa Marekani. Akapendekeza kuwa wanaweza kuanza kuwapa silaha wa Houth kwa vile Wana ujasiri na uthubutu. Sasa muda wa kisasi ndio...
  15. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Marekani Yafunga balozi zake za Burundi, Rwanda na Uganda

    Kupitia tovuti zao, Ubalozi wa Marekani Hii ilitokana na ukosefu wa Fedha katika Balozi hizo baada ya Marekani kuchukua hatua kadhaa kukomesha matumizi ya Marekani nje ya nchi. Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni Marekani kusitisha VISA kwa nchi nyingi ikiwemo Burundi na nchi mbali mbali...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amemjibu tena Seneta wa Marekani Jim Risch

    Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amemjibu tena Seneta wa Marekani Jim Risch kupitia mtandao wa X siku ya Jumanne, Februari 3, 2026, baada ya kuomba radhi hapo awali. Mzozo huu wa maneno umeibuka kati ya Uganda na Marekani baada ya Muhoozi kuchapisha na baadaye kufuta...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakati Taasisi za Intelejensia Kenya, Marekani na Uingereza zikijikita kuyaimarisha Mataifa yao kiuchumi, huku TISS inapambana CCM ibaki madarakani

    Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia. Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
  18. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

    Samia to the World!!!!! Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS. Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi...
  19. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Ili utunishiane misuli na marekani lazima uwe nawewe unatengeneza silaha

    Ukweli mchungu watu ambao hawataki kukubali,Marekani inaonea nchi ambazo hazipo technology kwenye silaha,yaan huwezi kushindana kivita na Marekani kwa silaha za kununua. Lakini kama una technology ya kutengeneza silaha kwakwel Marekani atabaki kukuwekea vikwazo tu na sikutaka kukuvamia kama...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran 🇮🇷 Ayatollah sasa Matatani!!!

    BREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7 Tehran, Bandar Abbas, Tabriz, Parand, Qeshm, Nowshahr, Ardabil Kaskazini, kusini, mashariki, magharibi. Yote ndani ya saa chache. Israeli wala Marekani hawajatoa maoni. Kuna machawa wengi wa magaidi wa Iran walikuwa wanasema Marekani...
Back
Top Bottom