marekani

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile Urusi ilikuwa anaisubiri Marekani aishambulie Iran ili Urusi alipe kisasi.

    Putin baada ya kuona anashambuliwa na USA kwa kushirikiana na NATO kupitia Ukraine,alitoa ahadi kuwa, kuanzia Sasa Urusi itakua inazipa silaha Kali nchi mahasimu wa Marekani. Akapendekeza kuwa wanaweza kuanza kuwapa silaha wa Houth kwa vile Wana ujasiri na uthubutu. Sasa muda wa kisasi ndio...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani Yafunga balozi zake za Burundi, Rwanda na Uganda

    Kupitia tovuti zao, Ubalozi wa Marekani Hii ilitokana na ukosefu wa Fedha katika Balozi hizo baada ya Marekani kuchukua hatua kadhaa kukomesha matumizi ya Marekani nje ya nchi. Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni Marekani kusitisha VISA kwa nchi nyingi ikiwemo Burundi na nchi mbali mbali...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amemjibu tena Seneta wa Marekani Jim Risch

    Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amemjibu tena Seneta wa Marekani Jim Risch kupitia mtandao wa X siku ya Jumanne, Februari 3, 2026, baada ya kuomba radhi hapo awali. Mzozo huu wa maneno umeibuka kati ya Uganda na Marekani baada ya Muhoozi kuchapisha na baadaye kufuta...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati Taasisi za Intelejensia Kenya, Marekani na Uingereza zikijikita kuyaimarisha Mataifa yao kiuchumi, huku TISS inapambana CCM ibaki madarakani

    Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia. Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

    Samia to the World!!!!! Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS. Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi...
  6. JamiiForums Tanzania Ili utunishiane misuli na marekani lazima uwe nawewe unatengeneza silaha

    Ukweli mchungu watu ambao hawataki kukubali,Marekani inaonea nchi ambazo hazipo technology kwenye silaha,yaan huwezi kushindana kivita na Marekani kwa silaha za kununua. Lakini kama una technology ya kutengeneza silaha kwakwel Marekani atabaki kukuwekea vikwazo tu na sikutaka kukuvamia kama...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran 🇮🇷 Ayatollah sasa Matatani!!!

    BREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7 Tehran, Bandar Abbas, Tabriz, Parand, Qeshm, Nowshahr, Ardabil Kaskazini, kusini, mashariki, magharibi. Yote ndani ya saa chache. Israeli wala Marekani hawajatoa maoni. Kuna machawa wengi wa magaidi wa Iran walikuwa wanasema Marekani...
  8. JamiiForums Tanzania Mtanganyika usikate tamaa hata huko Marekani kuna watu wasio na makazi wanalala barabarani

    Los Angeles Homeless Crisis: How Fentanyl Is Fueling a Growing Crisis in 2025 | Documentary 2025 fuatilia youtube......
  9. T

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani yakataa msamaha wa Jenerali Muhoozi wa Uganda

    "Kwa mujibu wa Seneta Risch, mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni, Marekani itatathmini upya ushirikiano wake wa kiusalama, unaojumuisha vikwazo na ushirikiano wa kijeshi na Uganda" Seneta wa Marekani Jim Risch, ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbusho wakati wowote Iran anaweza shambuliwa na Marekani

    ⚠️ Ukumbusho Muhimu Kabla ya Kuongezeka kwa Uwezekano wa kipondo kwa Iran ⚠️ Makombora yanaporushwa kuelekea Israeli, kile tunachochapisha mtandaoni kinaweza kuokoa maisha, au kumsaidia adui. Hivi ndivyo kila mtu anapaswa kujua: 🔴 USICHAPISHE video za uzuiaji wa moja kwa moja au athari za moja...
  11. JamiiForums Tanzania MAREKANI YAALANI TAARIFA ZA RAIA WAKE ALIEKAMATWA NA MABOMU MPAKANI SIRARI KUWEKWA WAZI.

    Lengo la kuileta hii habari sio Ishu ya Marekani kulaani No! Ni jinsi Watanzania hususan wakosoaji wa serikali, wanaharakati na baadhi ya wafuasi wa vyama fulani vya siasa walivyopokea tukio hili kipindi kile. Wengi waliona ni maigizo ya Jeshi la Polisi leo watasema nini?? Ifike mahali baadhi ya...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani wanajenga Base ya kijeshi Kenya!

    Haya Sasa wale wa Who are you na wale wakutaka kuishambulia Kenya ili waweze ku access bahari ya Hindi kazi kwenu. https://youtu.be/PyRCz88qKio?si=efd4OUPBTT9cv64d
  13. JamiiForums Tanzania Hapa nimeshindwa kumwelewa Putin. Inawezekana kuna Uhuni anatufanyia yeye na Marekani

    Yaani badala ya kusema aongeze ulinzi kukilinda kituo yeye anataka aondoe watu wake kipigwe vizuri? Na hiki ndo kituo pekee kilichobaki kinachofanya kazi baada ya vingine kuharibiwa na Mazayuni na Limarekani. Putin anatusaidiaje sisi watu wake huyu Beberu?
  14. JamiiForums Tanzania Marekani yaonya yaweza kupeleka ndege za kivita angani mwa Canada ikiwa Ottawa itapunguza ununuzi wa F-35

    Marekani imetoa onyo adimu na la moja kwa moja kwa Canada, ikisema kuwa ndege zake za kivita zinaweza kupelekwa katika anga ya Canada iwapo Ottawa itapunguza au kufuta mpango wake wa kununua ndege 88 za kivita aina ya F-35 (stealth fighter jets). Kwa mujibu wa maafisa wa Marekani, uamuzi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani anaficha lengo lake kuu ,lengo la Marekani ni dolla vs yuan ya China

    Dunia inayumbishwa na Marekani ,yaani Marekani akicheka au akikohoa dunia inaitika namuu,kwa hiyo anachofanya Marekani ni kudhoofisha Yuan ya china isipate nguvu na mvuto ,yaani Dolla ndio iwe na mvuto duniani. Leo Nawapa siri za ndani ni hivi katika dunia hii Noti ya kimataifa ni DOLLA...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea makomandoo wa Marekani na Israel wakitaka kumkamata kiongozi wa nchi mojawapo hapa Afrika Mashariki walinzi wake wataweza kuzuia?

    Trump anatumia sana ubabe. Naona wakati wowote atatuma Makomandoo ili wakamate viongozi wa mataifa ya Afrika mashiriki ambao wanapiga raia risasi hovyo. Nini kitatokea?
  17. JamiiForums Tanzania Nimekaa na Popcorn hapa mpaka zimeisha nimeagiza korosho , Marekani na Israel wanavizia mtu asinzie kama Maduro

    Kila wakipiga jicho wanaona Muiran amekodoa macho akisubiri apate sababu ya kuingamiza Israel ukweli ni kwamba hata wao Marekani wanafikiria je ikitokea moja ya meli zao kuzamishwa je aibu hii wataificha wapi Kila Nchi imekataa kutumika anga lake kuwa kama kificho ,wamezoea mtindo wao wa...
  18. JamiiForums Tanzania Wito rasmi kwa Marekani(USA)na Jumuiya ya Ulaya (EU): Hii ndo namna pekee mnaweza kutusaidia Watanzania dhidi ya Utawala mbovu wa CCM.

    Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada. Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na Nchi zote za Jumuiya ya Ulaya na Mataifa mengine ya Magharibi kama Uingereza na Canada kwa namna...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Uganda waandamana Marekani kumtaka Trump amwekee Museveni vikwazo.

    📌 Happening Today California, United States Calling on the @realDonaldTrump 's Administration to hold the corrupt and brutal Ugandan dictatorship of @KagutaMuseveni to account through: 1). Targeted sanctions 2). Suspension of funding 3). Suspension of security assistance, defense...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatengwa kwenye ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayetembelea Afrika Mashariki.

    Mwigulu endelea kulumbana na akina Mange huku nchi jirani zikijenga mahusiano na mataifa makubwa duniani na kuimarisha uchumi wa nchi zao. ========== U.S Deputy Secretary of State, AFRICOM Commander Travel to East Africa U.S. Deputy Secretary of State Christopher Landau, accompanied by...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…