Rais wa Marekani, Joe Biden ameionya Urusi kuwa Nchi yake haitatishwa na itisho vya Rais wa Urusi, Vladimir Putin ambaye amtenganza kuendelea kuyashikilia maeneo kadhaa ya Ukraine na kutishia kutumia nyuklia.
Akizungumza akiwa amenyoosha kidole kwenye kamera, Rais Biden alisema "Marekani...