marekani

  1. JamiiForums Tanzania Hungary yailaumu Marekani kwa 'kuididimiza' Ulaya

    Hivi sasa nchi za Ulaya zinaendelea kukabiliwa na mgogoro mkubwa wa nishati baada ya nchi za bara hilo kuiwekea vikwazo Russia kwa kisingizio cha vita vya Ukraine. Mwaka jana, Orbán mara kadhaa amemlaumu Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kwa kukubali kuchochewa na nchi za Magharibi na...
  2. JamiiForums Tanzania R. Kelly ahukumiwa kifungo cha miaka 20 kwa uhalifu wa Kingono

    R. Kelly amehukumiwa kifungo kingine cha miaka 20 huko Chicago kwa kesi yake ya uhalifu wa ngono ya mtungo. Mwimbaji huyo alikuwa katika mahakama ya shirikisho huko Illinois ambapo miaka 19 kati ya miaka hiyo atatumikia kifungo sawa na kifungo anachotekeleza sasa. Waendesha mashtaka...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunifu wa mavazi wa Kitanzania ampata Afisa aliyemuibia Begi la Nguo

    Mbunifu wa kike wa Kitanzania anayeishi Houston nchini Marekani amedai kuwa nguo zinazovaliwa na afisa wa zamani wa Wizara ya Nishati (DOE) Sam Brinton zilikuwa kwenye mzigo wake uliopotea katika uwanja wa ndege huko Washington, D.C. mnamo 2018. Asya Khamsin, ambaye ametengeneza brand yake ya...
  4. JamiiForums Tanzania HAARP mfumo wa Marekani uliosababisha tetemeko la ardhi Uturuki na Syria

    Tangu tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.8 liikumbe Uturuki na Syria tarehe 6 Februari, na kuua zaidi ya watu 44,000, kumekuwa na mamilioni ya machapisho kwenye Twitter yakishiriki habari, picha na video za maafa hayo. Lakini imgegundulika kwamba baadhi ya machapisho hayo yameilaumu kwa njia...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wakati China inapanga kutoa mpango wa amani kuhusu mgogoro kati ya Russia na Ukraine, Marekani na wenzake wanapanga kuchochea

    Kwenye mkutano wa usalama ulipofanyika hivi karibuni mjini Munich, Ujerumani, suala la mgogoro kati ya Russia na Ukraine limeonekana kugubika mkutano huo, na kuufanya uonekane kuwa ni mkutano wenye ajenda ndogo tu inayohusu mgogoro huo, na sio kuangalia suala la usalama kwa ujumla wake kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Jill Biden, mke wa Rais wa Marekani kutua Namibia na Kenya leo

    Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu ya #WhiteHouse, ziara hiyo inayoanza leo Februari 22, 2023 inalenga kuimarisha uhusiano kati ya #Afrika na #Marekani, kuangalia hali ya Usalama wa Chakula na Uwezeshaji wa Wanawake. Hii itakuwa ziara ya 6 kwa #JillBiden kufika Afrika ambapo ziara 5 alikuja wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Urusi kujaribu silaha mpya za nyuklia muda wowote Marekani akifanya hivyo

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amekuwa akilihutubia Bunge la la nchi hiyo. Ametumia mwanzo wa hotuba yake kurudia nadharia ambazo amekuwa akitumia mwaka mzima uliopita: anadai kuwa ni Washington ambayo "ilianzisha vita" na mapema mwaka 2022 iliitaka Ukraine kushambulia Crimea na Sevastopol...
  8. JamiiForums Tanzania Ikulu ya Marekani yadai Wapiganaji 30,000 wa Wagner Group wameuawa vitani Ukraine

    Msemaji wa Ikulu ya #WhiteHouse John Kirby, amesema kundi hilo limepoteza Wapiganaji wake zaidi ya 9000 ndani ya wiki 1 huku likiendelea kuajiri wafungwa zaidi kutoka Magereza ya #Urusi wengi wao wakiwa hawana uzoefu na mafunzo ya Kivita. Jeshi la #Ukraine limesema Wapiganaji wa Wagner ambao...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ni halali akimbilie Marekani

    Kwahii michano ya Roma mkatoliki kwenye hii Ngoma aliyoshirikishwa na izzo bizness ya Mr Xmas Ni halali jamaa akimbilie marekani maana ni noma Kuna watu wamechanwa humo na hawaelew kama wamechanwa Em cheki Hapa
  10. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya kiteknolojia ya Marekani inaweka shinikizo kwa biashara zake yenyewe

    Kampuni kubwa ya simu ya Marekani, Apple, inapanga kutoa punguzo la bei la yuan 700, sawa na dola za kimarekani 103 kwa simu zake zote za iPhone 14 Pro zinazouzwa nchini China. Hii ni kwa mujibu wa waraka wa ndani wa SUNPIE, wakala maalum wa kampuni ya Apple nchini China. Na katika baadhi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani na Ulaya wenye umri kama wangu wanamiliki majumba

    Hi Huko Marekani na Ulaya watu wenye umri kama wangu wanamiliki majumba makampuni makubwa sana lakini mimi huku Tanzania njoo unione bado nakaa kwenye nyumba ya urithi Vingunguti. Dah life is not feya kabisa 😭😭😭
  12. JamiiForums Tanzania Raia wa Pakistan asiyejulikana anayeishi Marekani atoa msaada wa zaidi ya bilioni 60 kwa wahanga wa Tetemeko la Uturuki

    Wakuu haya ndiyo matendo makuu sasa, fanya mambo kisha unapotea. Mwanaume mmoja ametembelea ubalozi wa Uturuki nchini Marekani na kutoa msaada wa Dola za Kimarekani milioni 30 (zaidi ya bilion 60 za Kitanzani). Msaada huo ni kwa ajili ya huduma za kiutu kwa wahanga wa Tetemeko la Ardhi. Mtu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapaswa kuacha wasiwasi wa kupita kiasi kuhusu China

    Hivi karibuni puto moja la uchunguzi wa hali ya hewa la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya limefuatiliwa sana na Wamarekani. Kutoka kugundua puto hilo tarehe Mosi hadi kuiliangusha kwa makombora tarehe 4 mwezi huu, baadhi ya wanasiasa wa Marekani wametumia fursa hiyo kuchochea wazo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kama Marekani itaiga inachofanya China barani Afrika, sio tu itajivunia heshima bali pia haitapata inachotaka

    Siku chache baada ya waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang kumaliza ziara yake ya mwaka mpya barani Afrika, waziri wa fedha wa Marekani na balozi wa nchi hiyo kwenye Umoja wa Mataifa walianza ziara zao barani humo mmoja baada ya mwingine. Na imeeleweka wazi kuwa lengo kuu la ziara hizo ni...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Marekani haipaswi kukaa kimya juu ya video ya siri kuhusu kampuni ya Pfizer

    Hivi karibuni, video ya siri inayomwonyesha Jordon Trishton Walker, aliyeelezwa kuwa Mkurugenzi wa wa Pfizer anayeshughulikia Utafiti na Maendeleo, Operesheni za Mkakati na Mipango ya Kisayansi ya mRNA, akisema jinsi kampuni hiyo inavyotafiti kubadili virusi vya Corona ili kuongeza faida ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kushirikiana kibiashara kupitia sekta binafsi

    07 Feb, 2023 SERIKALI imesema imefungua milango ya ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Marekani kupitia Sekta Binafsi ili kuchochea biashara kupitia uwekezaji ikiwa ni utekelezaji wa mazungumzo kati ya Marais wa nchi hizo mbili yaliyofanyika hivi karibuni mjini Washington...
  17. JamiiForums Tanzania Milioni 23 za bure kutoka ubalozi wa Marekani kwa wenye mawazo ya miradi (AMBASSADOR’S SPECIAL SELF-HELP FUND)

    Nasikitika kwamba uzi wangu wa US ambassador's self help fund ulifutwa sikuelewa sababu ni zipi. Nimepata lawama sana juu ya uzi huu nimeurudisha tena uzi huu. Vijana wenzangu ninawapenda sina wivu na mtu, mimi ni mpenda maendeleo tuchangamkie hii fursa. US AMBASSADOR’S SPECIAL SELF-HELP FUND...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani yashindwa kutungua balloon la China

    Licha ya kujinadi kwamba Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa silaha za kila namba, Marekani wameonyesha week was Yao dhidi ya balloon la wachina ambalo linaendelea kuvinjari na kukatiza maeneo mbalimbali yakuwemo maeneo nyeti kama kambi za jeshi. Licha ya kutuma makombora mazito kutungua...
  19. JamiiForums Tanzania China yatuma puto la kijasusi Marekani!

    Ni uchokozi ama ni nini?! ============= Habari za puto la kijasusi la China kuelea juu ya Marekani zimewaacha wengi wakishangaa kwa nini Beijing ingetaka kutumia chombo kisichokuwa cha kisasa katika uchunguzi wake wa eneo la Marekani. Uwezo wa puto hili hauko wazi, lakini wataalam wanasema...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Washington: Marekani inajiandaa kupeleka msaada wa kijeshi wa $ 2.2B kwa Ukraine yakiwemo makombora ya Masafa marefu

    Leo jumatano Wizara ya Ulinzi ya Marekani inajiandaa kutangaza msaada mpya wa kijeshi Kwa Ukraine wenye thamani ya $ 2.2B. Msaada huo Kwa mara ya kwanza utajumuisha makombora ya Masafa marefu ya GROUND LUNCHED SMALL DIAMETER BOMB (GLSDB) yenye uwezo wa kupiga umbali wa 150km. Hata hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…