marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Kwanini Tanzania watu huhusisha paka, bundi na fisi na uchawi tofauti na Ulaya?

    Kwanini Tanzania watu wengi huhusisha viumbe mfano wa paka, bundi na fisi na uchawi? Ulaya viumbe hawa ni marafiki wa karibu sana wa binadamu. Naomba jibu.
  2. Sijutii kutokuwa na marafiki

    Katika circle yangu, nina atu wengi, ila wa kumpa cheo cha rafiki kiukweli bado, cheo cha urafiki ni kizito mno, Niliowahi kusoma nao ni wengi sana, kuna kipindi hadi simu ilikuwa kero sasa, ilibidi ni badili laini, shuleni na chuoni nilikuwa mchangamfu, mcheshi, nk hii ilifanya niwe kama...
  3. Nawatakia mkesha mwema ndugu, jamaa na marafiki katika kuadhimisha Mawlid ya Mtume Mohammad SAW

    Kwa ndugu zetu waislam nawatakia kila la heri katika kusherekea kuzaliwa kwa kiongozi mkuu wa kiroho Mtume Mohammad SAW Mungu ibariki Tanzania
  4. Mohamed Said: Hamza Kassongo on Sunday JK Nyerere na marafiki zake saa tatu usiku leo TVE

  5. Mnapata wapi Marafiki Physically?

    Hivi nyie wenye marafiki ambao mnatembeleana na kukutana physically weekend mnawapata wapi? Mbona mi niko mwenyewe sana Yaani weekend nazichukia bora weekdays nikiwa kazini muda unaenda ila weekend niko mwenyewe kama zombie. Nijichanganye wapi na mimi nijuane ata na washkaji wawili watatu...
  6. K

    Vijana tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Mzee Jakaya Kikwete na Edward Lowassa

    I declare interest Mimi ni muumini wa Kikwete na Lowassa, Historia inaeleza kua hawa jamaa walikua marafiki wakubwa sana mpaka lilivokuja suala la Richmond inasemekana ndio lililowavuruga Lakini pamoja na kugombana mmoja akiwa ni mwenyekiti wa CCM taifa mwingine akiwa mgombea urais wa chama...
  7. O

    Tuwe makini na marafiki tunaowaamini na kuwaona ndio kila kitu.

    Si vyema kuishi bila rafiki lakini je, unamuamini rafiki yako kiasi gani na mangapi kukuhusu wewe anayafahamu. Kuna baadhi ya marafiki zetu, tunaowaona kuwa watu wa karibu wamekuwa na tabia za panya, yaan wanang'ata huku wanapuliza. Unaweza kupata shida fulani katika maisha mfano ya kifedha na...
  8. Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

    Sio lazima uwe unatembea nao kingono, ila at any time T hakikisha una wanawake angalau watatu warembo "standby", ambao una mawasiliano nao ya karibu. Ukiweza kuwa unawatafuna ni added advantage. Hii itakusaidia sana kudumisha mahusiano yako ya SASA kwa njia zifuatazo: 1. Itakujengea komfidens...
  9. Serikali Yangu ijitathmini, tunapopoteza Marafiki Kama Denmark tukijidanganya ma Wachina tunashida

    Wa Denish ... Hawa ni moja ya Wazungu wastaarabu sana. Nmekaa kwao, nmefanya nao kazi katika Miradi yao Mbalimbali. Sikuwahi Baguliwa, Dharauliwa au Kubagazwa. Ingawa sisemi kuwa wanakosekana kabisa wabaguzi katikati yao. Ni binadamu. Sisi wenyewe waafrika tunabaguana. Nasikitika sana...
  10. Marafiki zangu nawapenda ila mke wangu nampenda na kumsikiliza

    Nimekua niko karibu na marafiki zangu mno kwanzia Form 6, Chuo mpaka kazini, nimefurahi mengi tumepitia vingi vizuri, vibaya vichache kwa kweli namshkuru Mungu. Sasa basi mambo yameanza badilika tokea nimeoa.. marafiki wakilalamika nimekua naji exclude atumeet kama ilivyokua desturi mpaka...
  11. Binti amlalamikia mpenzi wake kwa kumvalisha pete ya shilingi elfu 23,000

    MDADA - "Hi Nimevalishwa pete ya uchumba mwezi wa 6. Nilifurahi sana sababu sikutegemea. pete haina hata miezi 2 imeanza kupata kutu. Hata marafiki zangu chuo wameanza kunicheka kuwa nimevalishwa pete fake. Kuna rafiki wa mchumba wangu nimeongea nae ameniambia pete yangu ni ya elfu 23...
  12. Baada ya kupoteza kazi iliyokuwa inanipa heshima mjini pia nimepoteza na marafiki zangu wote

    Hili jambo lisikie tu kwa watu baki, baada ya kupoteza tu kazi hata marafiki wamenikimbia. Hadi naandika huu uzi mida hii moja haikai mbili hakai, hakuna kitu kinauma kwa mwanamme kama kuamka na kutokujua unaamkia wapi. Niwakumbushe tu wanamme wenzangu wale mliopo kazini, heshimuni sana hizo...
  13. Ulishawahi kuwa na marafiki wa aina hii?

    Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda. Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.
  14. Utambulisho

    Nawasalimu kwa Jina la Muumba mbingu na Nchi na atupae uzima ulimwenguni. Kwa Majina naitwa YOHANA MATIKO ISACK, Niko Chuo kikuu Ardhi, Dar Es Salaam, nafuraha sana kujumuika nanyi ndani ya JF,, MUNGU AWABARIKI NYOTEE 🙏🙏
  15. Nahitaji marafiki wa vyuo tofauti,kama upo tayari welcome🙏

    Nipo Chuo kikuu cha Dar es Salaam karibu sana🙏
  16. Palamagamba Kabudi na Bashir Ally ndio marafiki kweli wa mzee Hayati Magufuli

    Huo ndiyo ukweli. Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki. Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi. Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM. RiP JPM.
  17. Biashara yenye faida nzuri marafiki zako hawatotaka uifanye

    1. I have a business idea ambayo nimeifanyia kazi na tafiti za kutosha kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu, morogoro kisaki wanalima sana mpunga,kipindi cha mavuno gunia la mpunga wanauza 35,000/= mpaka 45,000/= gunia la debe sita shambani, gharama za kusafirisha gunia moja mpaka godown gunia...
  18. Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

    Mambo ni vipi? Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hivi Huyu manzi nafahamiana naye tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call. Hio siku nikaona amepost anakula msuli anasoma nikamuuliza hujamaliza chuo...
  19. D

    Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

    Hulka moja wapo ya watu wakimya (introverts) ni ugumu wa kujichanganya na kuzoeana na watu wapya. Hii inapelekea wengi wanajikuta hawana marafiki ukitoa watu wachache wale waliofahamiana wakati wa chuo/sekondari, biashara/kazini. Siku zinavyosonga na wanavyozidi kukukua kimaisha "cycle" ya...
  20. Nahisi binamu yangu ananitaka kimapenzi

    Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio kubwa sana ila lina compose mahitaji yote muhimu kuanzia vitafunwa n.k Sasa wakati nikiwa pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…