Kumekuwa na imani potofu kwa wanawake kwamba hawawezi kumwambia ukweli mwanaume anampenda kwanza mpaka mwanaume aanze lakini ukweli usiopingika ni kwamba wao pia hupendi na mara nyingi wao wakianza kupenda hupenda kweli kufikia stage hata ya kuhisi kuumwa. Hizi ni dalili za mwanamke anaekupenda...
HABARINI za kazi wapenzi .. kuna rafiki yangu anatafuta (matured women )mwanamke mwenye umri wake kidogo( for no string attached) above 34 and 50 asiwe mke wa mtu labda awe single mother tu yeye ni mtaalamu wa real estate by occupation na anakipato kizuri sio kibaya mengine mtaajuana huko...
Yaani sio nawadharau ila niukweli.
Mtakuwa mnasaidia wenzenu mademu zao wanawake zao.
Namtabaki tu na stress na kufikia kunywa sumu.
Why mwanamke wanawake watakuwa wanakutema wanakufuata tu pale nilazima apewe tu kitu fulani ila mumewe akimuuliza kati yangu na huyo lofa unamtaka nani kwa...
Bhana nimecheka sana, kuna rafiki yangu kipenzi anamadharau sana, akimwona mwanaume hajajiweka sawa anamcheka na akimfuata anamkimbia au anadai kaolewa.
Kuna huyu mkaka wako majirani kikazi, yaani ofisi zao zinaangaliana, huyu kaka alimfukuzia best yangu tokea kitambo ila yule dada alikuwa...
Kinachofanya wajione wao bora na wazurii ni Sisi wanaume tunapenda kuwasifu lakinii ukweli ni kwamba hawana uzuriii wowote ndo maana vitu vya urembo vimekuwa vingi kwao ili wapendeze waonekane wazurii. Ila Men tupo really bado tunapendeza na tunavutia
Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?!
Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa.
Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza...
Ndoa ya moja hivi karibuni kutoka katika kabila la WAZULU imekuwa gumzo baada ya Msichana mmoja kuolewa kwa ndoa moja ya kijadi na Wavulana wawili Mapacha kuwa waume zake.
Sasa swali ni kuwa atawamudu wote kwa mpigo katika yale mambo yetu, au watapangiana zamu kama zile za mume mwenye mke zaidi...
Habari wanaJF, naomba mnishauri pia kwa hili.
Nilikutana na binti mmoja mwaka 2012 katika mazingira ya kazini na tukaingia katika mahusiano, binti huyo alikuwa akiishi kwa dada yake mkubwa ambaye wamechangia mama. Kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba dada yake huyo alikuwa akimnyanyasa na...
Ndugu zangu. Kwanza Mungu awabariki. Kuna ndugu yangu ameanza mahusiano na binti mwanasheria miezi kadhaa iliyopita. Kuna tetesi kwamba hawa viumbe huwa ni wakorofi na huwa hawataki kushindwa. Kuna mtu anayeweza kuthibitisha hili? Na tabia gani nyingine wanazo? Jamaa yangu anataka kujua.
Heshima kwenu wakuu,
Baada ya kuona Watu wanawaandikia wapenzi wao meseji za kawaida zisizo romantic, nmeona niwakusanyie meseji japo uwe unacopy na kumpastia umpendae.
Hii itasaidia kuamsha mapenzi na kumfanya mpenzi wako ajisikie poa
Just mtumie meseji moja kati ya hizi uone majibu yake...
Nimuamua kushare na nyie huu ujumbe nimekutana nao sehemu ili uwe na Amani ya moyo fanya hivi;
=======
Kwa wanandoa na wenye wapenzi waaminifu, uaminifu limekuwa ni jambo la msingi sana ili udumu na huyo uliyeingia naye kwenye ndoa, mjengee imani kuwa wewe ni wake na haitatokea siku...
Naomba ifahamike wazi linapokuja swala la kufanya sex mwanamke anaweza kuvumilia kutofanya sex kwa muda mrefu, tofauti na mwanaume.
Nimekutana na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wakilalamika kuwekewa masharti haya magumu na watoto wa kike la kutokufanya mapenzi mpaka ndoa.
Kidini na...
Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaani nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni:-
1.Ni wa mooooto
2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe
3.Hachakai haraka
4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa
Kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa...
Wana Chit Chat!!!
Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile;
1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani,
mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa na mwingiliano wa mada.
Kama kuna uliyempenda kutoka jukwaa lolote lile mlete hapa umwambie...
There was a blind girl who hated herself just because she was blind.
She hated everyone, except her loving boyfriend.
He was always there for her.
She said that if she could only see the world, she would marry her boyfriend.
One day, someone donated a pair of eyes to her and then she could...
An 80 year old man was sitting on the sofa in his house along with his 45 years old highly educated son. Suddenly a crow perched on their window.
The Father asked his Son, 'What is this?'
The Son replied, 'It is a crow'.
After a few minutes, the Father asked his Son the 2nd time, 'What is...
Ndugu wapendwa mimi ndio mara yangu ya kwanza kuwa hapa. Nina jambo naombeni msaada.
Nimeolewa hivi karibuni, baada ya kumjoin my husband aliamua kunitambulisha kwa wanawake aliyodai ambao baadhi ni marafiki tuu wa kawaida na wengine ni wafanyakazi wenzake.
Ok nilikubali na kuwaona wote. Ila...