mapenzi

  1. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kipindi cha Karantini 😂😂😂

    Heeeeeeepiiii Neeeeew Yaaaaaaa 🔥🔥 Poleni na Corona (Covid19) I think I miss this place Ila sio kiviiile but hey am here 😷 Mapenzi kipindi hichi cha karantini yananifanya niwe boya zaidi, naona kama nafeli Sana kwenye game Zamani angalau utatoka nje utakutana na watu mtaongea, sahivi NI ndani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hali ya Mapenzi imeimarika mtaani baada ya Covid-19

    Habari wana JFs MMU. Hali si siri tena. Mambo yamebadilika ghafla. Twaweza kusema asante corona! Japo imekuja na mabalaa ya kuugua na baadhi ya vifo huko duniani na Leo Tz R.I.P Issa H. Mtibwa( kama sijakosea jina). Pamoja na madhara hayo kwa upande mwingine Corona imekuja na matokeo chanya...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wanawake wote wakikataa kufanya mapenzi ni mwisho wa dunia

    Imagine dunia nzima wanawake wagome kufanya mapenzi itakuwaje? Kuanzia walio ndoani mpaka makahaba. Hakutakuwa na uzao Tena na ndio itakuwa mwisho wa dunia.
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mambo ya mapenzi na tendo la ndoa tulioyatoa kwa wanyama

    Kula denda - tumetoa kwa njiwa. Kulambana sehemu za siri - Tumetoa kwa Mbuzi na mbwa. Kuwa na mke mmoja hadi kifo - tumetoa kwa njiwa. Mwanaume na mwanake kusaidiana katika kulea mimba - njiwa wanavyoasidiana kulalia mayai Style ya mwanamke chini mwanaume juu (missionary position) - tumeitoa...
  5. Eagle J

    JamiiForums Tanzania Je, ni vitabu gani vya utundu wa mapenzi umesoma vimekusaidia mpaka leo?

    Katika kupitia uzi pendwa mzee Jason Bourne na Mkuu Kiga wametuonesha kuwa kusoma vitabu vilisaidia wao kujua jinsi ya kupata nywila za wenzi/wapenzi wao. Wanadau naombeni vitabu mlivyosoma ili tusaidiane kwenye libeneke, maana sio wote wameenda jando
  6. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya kutupia sms nzuri za mapenzi

    kama una sms nzur ya mapenz pleas naomba utupie hapa
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kitu gani Cha kipuuzi uliowahi kufanya kwenye mapenzi

    Me nakumbuka rafiki yangu alimnunulia Prado demu wake ikiwa ni mwezi mmoja tu wa relationship yao wakati yeye anatembea na gari aina ya Vits alafu wazazi hawajawanunulia wala nini. Baada ya miezi mitatu kupita wakaachana. Je, kwa upande wako Jambo gani la kipuuzi umewahi kufanya kwenye mahusiano?
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

    kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile? Naomba mawazo yenu wana JF ------------------------------ Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile: KWA UFUPI Wakati idadi ya wanawake wenye maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ikiongezeka, asilimia...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nilianza mapenzi na mke wangu kwenye concert ya wimbo wa Ashawo wa Mr. Flavor, Nigeria

    Nimeamini mapenzi yanayoanzia kwenye muziki yananoga Sana na hasa ukiukumbuka wimbo maalumu wa enzi ya mapenzi yenu. Mimi mapenzi na mke wangu yalianzia kwenye wimbo wa ASHAWO CONSERT Abuja Nigeria Mr flavor. Sawasawa sawaleeee x 2 Ausha x 4 popopoooo Acha kabisaaaaa hapo nikiwa boya tu...
  10. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Kwako kipimo cha mke bora ni kipi?

    Kitanda changu ni nne kwa sita, mke wangu aisee ana staha sana. Kinachofurahisha Zaidi ukimshika mgongo nywele zinasisimka, ukimshika paja linatelezaa tu, ukimnong’oneza mpaka nywele za kichwani zinasimama, ukimbinya hata sauti inabadilika “mm m-mm-e wangu” Ukimaliza anashukuru na siku...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wivu wa mapenzi: Mwanaume achoma nyumba na kuua familia ya watu 6

    Watu sita wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuchomwa moto usiku wa manane kata ya Mjawa wilaya ya Kibiti mkoani Pwani. Kati ya watu hao sita wawili wakiwa ni mama na watoto wao walikuwa wamelala nyumba ilichomwa moto usiku wa manane na kuteketea. Akizungumzia tukio hilo kwa...
  12. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

    Kwa umri wangu sikuwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimahaba na mwanamke aliyenizidi umri mpaka mwaka huu nilipopata mama mwenye miaka 40 alimaarufu namba A. Mimi nina 27yrs, hakika naenjoy maana wana ladha tofauti kabisa 1. Wanajua mapenzi na ni wasafi wa kiwango cha SGR. Unakula tunda la grade...
  13. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Njia saba kujua mapenzi ya mungu kwenye ndoa

    7 WAYS TO DISCOVER THE WILL OF GOD IN MARRIAGE A lot of things have been said and written about the will of God in marriage. Many people, especially Christians, are concerned about marrying the will of God for their lives and not making a marital mistake. This man writing is not an exception...
  14. gstar

    JamiiForums Tanzania Maisha na mapenzi

    Katika mchakato wa Maisha kuna mengi tunapitia, kuna kupanda na kushuka pia kuteleza na kuanguka. Kila kitu tunacho pitia ni Mungu ndiye amepanga kutupitisha huko hivyo hata kama ni magumu kiasi gani unayo ya pitia usimkufuru Mungu. Kila mtu unaye kutana naye ama kuishi naye ni wa thamani kwako...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi?

    Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UGANDA: Mtoto wa miaka 10 amuua mwenzake kwa wivu wa mapenzi

    Polisi wilayani Bududa mashariki mwa Uganda wanamsaka mwanafunzi wa miaka 10 kwa tuhuma za kumchoma kisu mwenzake ambaye alidai kupora mpenzi wake wa miaka 11. Mtuhumiwa huyo, ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Buwali. Polisi walimtambulisha mwathirika huyo kama Sam Watsosi, 16. Watsosi alidaiwa...
  17. trouble maker

    JamiiForums Tanzania Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    CHUNGU LAKINI DAWA Kama hana bikra usimuoe, achana naye. Tafuta mwenye bikra ujichukulie mwali. Kama hana bikra usitoe mahari kama umeamua kuoa. Toa mahari kwa mwanamke uliyeikuta bikra kwake. Mtu hana bikra unatoaje mahari. Kama hana bikra usifanye harusi. Harusi ni kwa mwanamke mwenye bikra...
  18. blogger

    JamiiForums Tanzania Weka hapa ngoma yako moja kali ya mapenzi na tueleze kwanini hiyo

    The secret behind this song is that it's Big.. Biiig! Wimbo huu nilimsikilizisha my girl back in 2006. Hakuwa shabiki wa muziki kihivyyo, kama mnavyokumbuka miaka hiyo. Niliandika hizo lyrics nikamtumia kwa karatasi. Nitaendelea kuwapa what happened. Story hii ni ndefu ila nashukuru wimbo...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Hapo ulipo kuna mapenzi ya kweli au unachunwa?

    Hapo ulipo kuna mapenzi ya kweli au unachunwa? Wanaume wengi tumekuwa katika mahusiano tukiamini tunapendwa kwa dhati, kumbe kwa upande mwingine tunapendwa kwa sababu tunatoa huduma fulani; inapokuja kutokea changamoto za kiuchumi hasa kuyumba kwa kipato, hapo ndipo mtu anapokuja kugundua...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yapo, umepata? Utapata? Au hutopata kabisa??😌😌

    Mapenzi halisi yapo, wachache wamegusa kuonja na kuona mapenzi halisi, lakini it’s fate kama ilivyo kwa mambo mengine kwenye maisha kama elimu, afya njema, ustawi katika uchumi, kukubalika katika jamii( kibali machoni pa watu) si kila mtu anabahatika kupata.
Back
Top Bottom