mapenzi

  1. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yana nguvu ya kubadilisha maisha na kila kitu. Sikiliza hii

    LOVE HAS POWER TO CHANGE LIFE AND IMPOSSIBLE. Being engaged in Love stress and depression can run away and you be come relaxed. . This animated video song #POWER OF LOVE# is for showing True Love in Society and between Couples, enjoy it by watching now.
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Usifanye kosa hili kwenye mapenzi, utajuta daima. Utageuka kuwa chizi uropoke peke yako barabarani

    Najaribu tu kuukumbusha ubongo wako kidogo, jambo dogo ila ndio source ya mambo yote mabaya katika ndoa au mapenzi. Usiwe na mahusiano ya kimapenzi na mtu unayempenda wewe huku hujajihakikishia kuwa anakupenda pia au la. Kuwa katika mapenzi na mwanamke au mwanaume anayekupenda na si...
  3. fareed uziel

    JamiiForums Tanzania Chubby girlfriend anahitajika

    WanaJF Nakuja kwenu kutafuta kipenzi cha roho yangu.Natafuta msichana awe girlfriend mwenye sifa hizi. Awe mnene Awe anavutia Awe rangi yoyote. Asizidi 35. Awe na shughuli yake. Sifa zangu Nina mwili wa wastan Mweusi mtanashati Nina miaka 27 sijaoa na nipo single na sina mtoto Nina kazi yangu...
  4. M2WAWA2

    JamiiForums Tanzania Mike Oliver, Mzungu mtalii aliyetembea na wanawake 300 nchini Kenya

    Mike Oliver mzungu toka UK, ni mtalii aliyetembelea nchini Kenya tangu mwaka mmoja uliopita. Mpaka jana 24 August 2020 baharia amethibitisha kutembea na wanawake 300 huko Kenya. Ametoa uthibitisho huo kwa kutoa na kuchapisha picha za hao wanawake wakiwemo wake za watu, wachumba, watu wazima...
  5. nentewene

    JamiiForums Tanzania Mapenzi si umri

    Kyij
  6. nentewene

    JamiiForums Tanzania Mapenzi miaka ya 90

    Kkk
  7. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

    Picha hii imewekwa kwenye akaunti yao ya Twitter huku wakiweka caption isomekayo Sauti Sol Family. Maswali yameibuka kuwa mbon akuna Mwanaume na Mwanaume je nao ni wapenzi kama hao wa jinsia tofauti? Kwa muda mrefu zimekuwepo taarifa za mmoja wa wanakikundi hiki cha muziki kutoka Kenya...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwa mapenzi ya wananchi kwa Tundu Lissu, wamechapisha T-shirt hii

  9. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mapenzi halisi toka kwa mwanamke

    Zama za leo wanaume tumekuwa tukilalamika kukosekana kwa mapenzi halisi toka kwa wanawake! Ni dhahiri zama zimebadilika,ule upendo halisi umefifia Ila haujapotea!. Kilichopotea ni kile ambacho hakipo kabisa! na kilichofifia ni kile kipo Ila kwa uchache. Hatuwezi kuzungumzia mapenzi bila kuiweka...
  10. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ukiota unafanya mapenzi na mwanamke matokeo yake huwa tofauti sana na mwanamke katika uhalisia?

    habari za muda huu wakuu? naomba kuleweshwa kidogo, tukiacha habari za majini mahaba na wenziwe. ni kwa nini mtu ukiota unafanya mapenzi na mwanamke kwenye ndoto raha yake huwa ni kubwa mara mbili mpaka tatu kuliko ya mwanamke wa halisia?
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya za TCRA : Vipindi vya mapenzi kama Ala za Roho na Chombeza Time kuanza saa 6 usiku

    Kumbe sasa vinatakiwa kuanza saa 6 usiku badala ya saa 4 usiku , labda uchumi wa kati umesababisha watoto kuchelewa kulala .
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama kazi tunastaafu kwa nini mapenzi tusistaafu?

    Mapenzi ni kitu kingine, huwezi kufananisha na kitu chochote kile; Kwa wale waliofanikiwa kupendwa ni vigumu kuamini kuwa, kuna wengine mapenzi yamewagharimu maisha yao yote au yamepoteza dira ya maisha ya watu wengine. Wapo ambao mapenzi yamewachapa mpaka kupoteza mwelekeo na hawatamani tena...
  13. Rekoka

    JamiiForums Tanzania Kuna mapenzi kweli hapa?

    Habari wadau, kuna binti nipo kwenye mahusiano naye na amenizalia mtoto. Sasa kajipangia na mahari kabisa kwamba nisipo toa hiyo pesa bora tuachane. Sasa najiuliza kweli hapo kuna mapenzi?
  14. Zack Snyder

    JamiiForums Tanzania Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

    Nilikuwa najiamini kuwa mimi ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu. Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake. Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wadhaifu sana...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye hajafanya mapenzi kwa muda mrefu vs mwanaume mfanya mazoezi

    Wakuu naomba kujua kati ya mwanamme ambaye hajafanya mapenzi kwa muda mrefu vs anayefanya mazoezi ya viungo kila siku ni yupo anasukuma pampu vizuri wakati wa kula tunda au kugegeda? Mfano mwanaume ambaye ameoa alafu amekaa miaka miwili bila kupump vs mwanaume anayekwenda jim kila siku
  16. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufiwa na mpenzi wako wakati mnafanya Mapenzi?

    Nipo namsikiliza Mtu anasema kuwa wakati mnafanya Mapenzi, dyu dyu ukiingia kwenye sehemu za siri za mwanamke, na mambo yakakolea, wakati mwingine dyu dyu unazama inagoma kutoka kwahiyo ule mizunguko wa damu na presha na nini Mtu anaweza akafa Sa nimelala hapa, najaribu kupata picha ivi wakati...
  17. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya Chuo

    Inasikitisha ila pia inafurahisha🤣🤣 Mapenzi moto moto Waliendelea na mapenzi na kufaulu kwenda mwaka wa pili. Walipendana SANA😄😄 Na pete ya Uchumba juu🤣🤣 Ila kandege kalipeperuka kwa wenye fweza. Bora nipooze machungu
  18. j wa nmb

    JamiiForums Tanzania Usilolijua kuhusu Mapenzi/Mahusiano, hisia za mapenzi kwa ujumla

    Mahusiano ni kama Gari la masafa marefu, Tena lenye linapitia barabara yenye mashimo, milima na mabonde. Inabidi muda wote ucheze na usukani, ukilala tu utajikuta ulisha acha barabara mda mrefu ulio pita na unaelekea shimoni. Hii ikiwa na maana usijisahau, kumbuka hisia zinapotea kutokana na...
  19. Abdul mrope

    JamiiForums Tanzania Athari za kufanya mapenzi kila siku

    Kuna watu ambao hawawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu. Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida Nyingi, lakini linapo kuja swala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni jambo la Kheri lakini wa dada msiache ndoa iwafanye muwe watumwa wa mapenzi

    Kila mtu anapenda kufunga ndoa na kuwa na familia. Bahati mbaya kwetu wanawake ni mwanaume anaefanya maamuzi kuwa huyu ndiye ananifaa katika safari ya maisha. Hapa hakuna formular wengine watapenda binti mzuri, wengine wanapenda kwasababu ni kabila moja, wengine wanapenda msomi ni mambo...
Back
Top Bottom