Hapa sijala nina siku saba!😭
Kaniita Mimi shetani halafu navuta hewa ya msaada! Nimemnasa kibao nikapiga na mtama bahati mbaya nikaanguka mimi nimekonda nimebaki robo! Baada ya kuanguka akaniuma kwenye shingo! Huyu mwanamke hana huruma kabisa akaja akanikalia tumboni kwa mara ya kwanza nikajua...