mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Je, tulikuwa tunangojea twende Kwake Geita ili tuonyeshe Mapenzi yetu ya Kinafiki kwa Wamachinga aliokuwa akiwapenda na kuwajali?

    Na ni Matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa hata pale tulipoenda Kuzuru Kaburi lake tulimuomba Msamaha kwa Kuharibu karibia 75% ya Mambo ya Msingi ( hasa ya Kimiradi ) aliyokuwa anaitekeleza huku hadi sasa 90% imesimama baada ya kuruhusu Kukumbatiwa na Mafisadi na Mafia wa 2005 hadi 2015...
  2. JamiiForums Tanzania Unataka kupendwa?

    Kama kweli unataka kupendwa na kuheshimiwa na watu fanya haya. 1) Jua thamani yako. Kujitambua 2) Jifunze kuzuia hisia zako. Husivauke, maamuzi sahihi yanapatikana kwakutokuwa na hasira wala shahuku/furaha 3) Husishobokee vitu vya watu. Iwe mke, gari, nyumba chochote kile acha shobo. 4) Jua...
  3. JamiiForums Tanzania Iker Casillas ajitangaza kuwa yeye ni mshiriki wa mapenzi ya jinsia mmoja

    ALIJIUNGA na Real Madrid akiwa na Umri wa miaka tisa. Akaweza kuichezea Klabu hiyo Kwa miaka 25 huku akifanya Makubwa na kuweza kubeba Makombe 19,Baba wa watoto wanne,IKER FERNANDEZ CASILASS amejitangaza rasmi kuwa anajihusisha na Mapenzi ya Jinsia Moja ikiwa ni Mwaka Mmoja tangu aachane na...
  4. JamiiForums Tanzania Mapenzi ni upuuzi

    Nimegundua kwa mara ya pili mapenzi ni upumbavu na upuuzi tu, yalishanikuta mara ya kwanza nikapuuzia na hii mara ya pili nathibitisha ni upuuzi tu! Baada ya siku kadhaa kuwakejeleli watu hapa JF waliokuwa wakilialia kipuuzi kuhusu mapenzi na mimi yamenikuta aisee! Unampenda mtu na kumjali na...
  5. JamiiForums Tanzania Akatwa kichwa kwa kushiriki mapenzi ya jinsi moja

    Mpalestina anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja akatwa kichwa eneo la West Bank Haijafahamika ni vipi Ahmad Abu Marhia alifika katika mji wa wa nyumbani kwa wa Hebron Polisi wa Palestina wamemkamata mshukiwa wa mauaji ya mwanaume mwenye umri wa miaka 25-baada ya mwili wake kupatikana ukiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Unamshangaa Masanja? Msome hapa JB Mpiana ujue maana ya uvumilivu kwenye mapenzi

    Kwanza nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM.... Yaani penda usipende CCM imebeba matumaini yako kama mtanzania. Tukirudi kwenye lengo la uzi ni kwamba nimeshangazwa sana na watu wanaomshambulia mmiliki wa kanisa la Feel-Free, comedian Masanja Mkandamizaji kwa kumsamehe mkewe anayesemekana...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wakiwa na hasira ni raha!

    Guys I hope you're doing just fine, and so do I. Basi bana kama ilivyo ada leo nina jambo la ku share na ninyi especially wanaume wenzangu. Wanawake bwana wakiwa hana hasira ni raha mpaka nashindwa kuelekeza. Niende sasa kwenye kisa kilichonikuta kitambo kidogo wakati niko chuo. Kulikuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Ni aibu gani umewahi mfichia mpenzi wako?

    Habarini za wakati huu wandugu. Naomba niende kwenye mada kama jinsi kichwa kinavyosomeka. Binafsi nimewahi kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti na binadamu tuna mapungufu yetu lakini wakati mwingine mapungufu yetu haya yanaweza kuwa unbearable kwa mwingine. Nilikutana na huyu...
  9. JamiiForums Tanzania Je, mapenzi ni upendo au ni tendo?

    Ebu leo tuzungumze ili je mapenzi ni upendo au mapenzi ni kitendo. Iko hivi mfano tuseme mapenzi ni upendo je mbona kuna mtu anaweza kuwa na mpenzi wake akaenda kusaka mpenzi mwingine hii ina maana je ana upendo na yule aliyenae? Labda tuseme mapenzi ni TENDO ndio maana mtu unaweza kwenda ata...
  10. JamiiForums Tanzania Mapenzi yana raha bwana, asikwambie mtu!!

    Nakumbuka mafundisho fulani hivi niliyopewa mwaka fulani kwamba kila jambo lina kanuni au 'principle' zake, ukishindwa kucheza ndani ya hizo principle umekwisha 'kipopoma', vilio vingi vya mapenzi siku hizi watu tunajiendea tuu hatufuati 'principles' za association then matokeo yake ndio hayo...
  11. JamiiForums Tanzania Uzinzi unavyogharimu mipango ya familia nyingi

    Na Christian Bwaya Ninapata chai ya jioni na Injinia. Jamaa kafanikiwa. Maisha yake yanaongea na kuhamasisha wengi. Jamaa anaheshimika na kanipa heshima ya kikao. Simu zimeachwa yatima mezani kwa takribani saa mbili zilizopita. Injinia anaomba kutoka akateme mate kidogo. Namruhusu...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali Kutoka Jf,, mapenzi changamoto

    Habari za kwenu wadau. Kuna jamaa moja hivi rafk yangu ameniomba ushauri juu ya Hilo. Alimtongoza demu moja hivi huyo demu akamwambia "Sina shida na hilo but you know that my mom n mchepuko wa mzee wako? Na wamezaa watoto wa wili?".. but yeye demu sio miongoni mwa hao watoto,na kimila kwa kuwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ukitaka usiumizwe na mapenzi lazima uwe malaya? Discuss

    Habar wadau!!! Mapenzi ni kitu cha ajabu sana hii inadhihirika hata kwenye vitabu vya dini SAMSON alikuwa na uwezo wa kutandika askar 3000 na akapigwa KO na delila ebu waza hili samson aliulizwa mara nying sana siri ya nguvu zake akusema ila kwa delila alisema yote shida ipo wapi shida ni...
  14. JamiiForums Tanzania Wivu wa Mapenzi, Migogoro ya Ardhi, vyanzo vikuu vya mauaji Njombe

    Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Butusyo Mwambelo amesema Mkoa huo unamatatizo yanayosabishwa na Migogoro ya Kimapenzi na Ardhi Kaimu kamanda ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa huduma za msaada wa kisheria mkoani hapa inayotolewa na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC. "Njombe hii kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Dalili za awali za mke/mume mwema

    Wakuu amani kwenu. Kumekuwa na maswali mengi sana kutaka kujua kama kweli mwanamie/mwanamume fulani anafaa kufunga ndoa naye ama la. Wengi hutaka kujua ni sifa zipi hasa mwenza anapaswa kuwa nazo kabla ya kujiingiza kwenye mahusiano ya kudumu. Leo nitazungumzia sifa chache muhimu zaidi ambazo...
  16. JamiiForums Tanzania Tuwaalike JF hawa Watu wenye Changamoto za Mapenzi kabla Hawajaua au Kujiua

    Waje wapate ushauri nasaha na pia wajue kuwa ukikosa huyu unaweza pata mwingine. Si lazima ulazimishe kuwa na huyo. Wajue pia wanaweza kula issue nyingine kimasikhara. Waonane na wataalamu humu kama akina GuDume , Zero Brain yule jamaa wa kula tunda kimasikhara , @malisaGj na wengineo. Hata...
  17. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapenzi ndoa mpaka kifo

    Idadi ya vifo, majeruhi na athari hasi mbalimbali zitokanazo na mahusiano mapenzi na ndoa imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti idadi kubwa ya athari hasi zitokanazo na mapenzi ndoa pamoja na mahusiano. Utasikia huyu kamuua mkewe kisa wivu wa wapenzi, au...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu aua mke na watoto wawili, naye ajiua kwa kunywa sumu

    Kitongoji cha kibumbe, kata ya Kiwira wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya mke, mume na watoto wawili wakutwa wamefariki ndani ya nyumba na miili yao ikiwa imeharibika. Mdogo wa marehemu (mke) kutoka Mbeya Mjini alisema zaidi ya wiki moja alikosa mawasiliano na familia hiyo ambao wote ni walimu, hivyo...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza HIV+

    Natafuta mwanaume mwenye hiv +, mwenye uelewa na afya yake na anatumia ARV. Aliyeserious tafadhali mengine tutajuana PM.
  20. JamiiForums Tanzania Kama upo chini ya miaka 40 usitumie pesa kuyapata mapenzi ya wanawake

    KAMA UPO CHINI YA MIAKA 40 USITUMIE PESA KUYAPATA MAPENZI YA WANAWAKE Anaandika, Robert Heriel Andiko hili ni Kwa utambuzi vijana, kuwafanya wajiamini na kujielewa. Wakati wanawake wakihamishana Kupenda wanaume wenye pesa na kuwabagua wanaume wachanga ambao wapo kwenye umri wa utafutaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…