mapenzi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ukioa kwa kigezo cha wife material, kuna siku utaona aibu hata kutoka naye out

    Mke atakuwa anajibidisha sana kwa kila kitu lkn moyoni atakuwa hayumo kabisa, na hata "moto atakuwa hauwashi". Ataonekana kama mjomba tu. Jamani ndoa Ina raha kama umeoa pisi inayouwehusha moyo ukiitazama. Na hata ukitoka nayo out inakuinulia hadhi na kukufanya ujione wewe ni mwanaume kati ya...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mwanaume soma hapa kwanza

    MWANAUME SOMA HAPA KWANZA 1. Starehe ya dakika 3 isikuharibie mfumo wa maisha yako mazima 2. Achana kabisa michezo ya kufirana 3. Punguza kujipiga nyeto na kuangalia video za ngono Hapa wengi najua mnapenda sana ila hii kitu si nzuri kwa afya ya akili yako na dudu yako 4. Kama...
  3. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya uchawi wa kiapo yanavotesa watu

    Miaka ya 90 nilimpenda binti mmoja alinisumbua sana enzi hizo basi nakaona nimwendee kwa sheik wangu kunipa dawa ya kumvuta kuwa wangu bwana. Nikaandikiwa makorokocho na dawa ya kupaka sehemu za siri.kweli bwana nikabahatika kumteka yule mtoto wa kike. Uwezi amini yani mpaka leo ananisumbua...
  4. JamiiForums Tanzania Kumi (10) Bora ya Mashabiki Maarufu, Vichaa na wenye mapenzi zaidi na timu zao Tanzania.

    Mashabiki maarufu wa mpira Tanzania 10. GB 64 Huyu ni Shabiki maarufu wa Simba sc ambaye amekuwa gumzo sana siku za hivi karibuni hususan baada ya kupata mizengwe kutokana na kauli zake dhidi ya uongozi wa timu yake. 9.Aggy Simba Huyu mwanadada jasiri na shabiki lialia wa Simba sc ambaye...
  5. JamiiForums Tanzania Penzi letu na mpenzi limevuja tena ndio bye bye limeishaa! Almost 4 years ila sio riziki isee!

    Jamani ndo hivyo limeshavuja tena nimebaki napuliza majivu maana moto siuoni.. ndio ameshatoboa mtungi majii yananimwagikia tu pwaaa!pwaa! Zile sifa zote alizoniambia kwamba kama mimi hajawahi kumuona ila nashangaa hakuniambia alivyokutana nae! Dah....!
  6. JamiiForums Tanzania Wivu unachochea kuongezeka hisia za mapenzi na nguvu za kijinsia

    Licha ya kuwa wivu una hasara nyingi, lakini pia miongoni mwa faida za wivu ni kuchochea hisia, hamasa, nguvu na hamu zaidi ya kimapenzi.. Fikra, mawazo, nguvu, akili na uwezo wote wa muhusika huhamia kwenye mapenzi.. Kule kujiamini na ubinafsi anaokuwa nao muhusika dhidi ya anae mzengeazengea...
  7. JamiiForums Tanzania Ameota anafanya mapenzi na boss wake wa kike. Je, ina tafsiri gani?

    Shalom, Naripoti toka Dodoma City Kisa kiko hivi huyu msela wangu ni mtu smart, mpole, na mwelevu kiasi, elimu yake ya kawaida, hana maneno mengi, anaishi maisha ya kawaida kabisa. Anasilimulia kuwa ana boss wa kike ofisni na yupo ngazi ya juu kidogo kwa maana sio boss wake wa uwajibikaji wa...
  8. JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es salaam kufaminiwa umetaka mwenyewe tofauti na mikoani

    Huku mikoani ni rahisi sana kufumaniana kwa mlio kwenye ndoa au mahusiano sababu ya ufinyu wa maeneo mfano gest, bar, sehemu za starehe nk. Mikoani ukichepuka eneo uliopo ni rahisi kujulikana ukilinganisha Dar yaani umechepukia Kimara Bonyokwa wewe unakaa Buza Kilakala. Yaani tuliopo mkoani...
  9. JamiiForums Tanzania Mawasiliano ndio kigezo kikubwa kinachoonyesha kama kuna mapenzi au ndio yamejifia

    Kuna siku nimekutana na post moja ambapo mwamba anasema anamtext mrembo halafu hujibu baada ya masaa mawili au matatu. Mwamba akawa anauliza, "Hivi imekaaje?" Wakati unatafakari juu ya jambo hilo la mwamba, nami nimejikuta natafakari yangu. Kuna mrembo mmoja alikuwa anaitwa Zawadi. Hatukuwahi...
  10. JamiiForums Tanzania Sumu ilioniondolea Babe Mama

    aomba nishee ka story kangu, ila wanawake 🙌. Bana nakumbuka nimemaliza chuo, sasa nilikuwa na pisi iko mwaka wa mwisho. Sasa home ilikuwa ni karibu na chuo nilikomaliza kusoma na yeye ndio alikuwa anasoma hapo. Kuna siku bwana nilimwambia tukutane mara moja nimuone kwa sababu nilikuwa nimemmisi...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke jifunze kusema asante unapofanyiwa kitu na mwanaume wako

    Yani wanawake wengine sijui wapoje yani mwanaume anajipinda anakufanyia kitu Lakini kusema asante tu ni shida. Hii kitu inapunguza sana morali ya kuwafanyie vitu Vizuri maana mtu hana shukuraani ya nini umsumbukie? Na leo sitoi hela ya SIKUKUU sasa jitu zima halina Shukrani. *****.
  12. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya dhati ya Mama Dangote kwa Diamond ndio chanzo kikuu cha mafanikio ya mwanaye

    Miaka zaidi ya kumi Watanzania bado hawajategua kitendawili, Diamondi atashuka lini kwenye huu music wa Bongo Fleva. Wengi wamebakia kubashiri nini kipo nyuma ya mafanikio makubwa aliyopata, na anayoendelea kuyapata bwana Nasib. Wapo wanaosema ni Freemason, ni mganga wa Morogoro, ni Majini...
  13. JamiiForums Tanzania Mapenzi na Hekima: Safari ya Yohana Mayunga wa Musoma

    Jina langu ni Yohana Mayunga, mzaliwa wa Musoma, mkoa wa Mara. Katika maisha yangu, nimejifunza mengi kupitia methali, misemo, mafumbo, na nahau. Hizi ndizo nguzo zinazoniongoza katika safari yangu ya maisha. Nimepitia changamoto nyingi, lakini hekima za wahenga zimeniongoza na kunipa mwanga wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Wanaume: Mpenzi wako akikukosea unatumia njia gani kumaliza tofauti zenu?

    Wadau wa MMU tuongee Mahusiano Ijumaa ya leo Kuna baadhi ya Wapenzi wakikosana hupigana kama njia ya kuonesha hasira zao Lakini leo tuko na Wanaume. Kwa Mwanaume kumpiga mpenzi wake inaonesha nani ni 'kiongozi' ndani Au wengine huamini Mwanamke bila kumpiga hasikii na habadiliki Lakini...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kama umeamua kuwa mchepuko basi zingatia yafuatayo

    .
  16. JamiiForums Tanzania Hadithi: Mapenzi ya Mjini

    Sehemu ya Tatu: Mtihani wa Mapenzi Baada ya harusi yao ya kifahari na sherehe za furaha, Musa na Amani walijitosa katika maisha mapya kama wanandoa. Waliendelea kuimarisha uhusiano wao, wakifanya kila juhudi kuhakikisha wanadumisha furaha na mapenzi kati yao. Walihamia kwenye nyumba yao mpya...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

    kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25 wawili Wanaopata milioni 20 wawili Wanaopata milioni 15 watatu Wanaopata milioni 10 sita Hao wengine...
  18. JamiiForums Tanzania Njia sita (6) wanaume wanaweza kuepuka umaskini

    Na Dada Fridah Nakazwe 1. Pata mwanamke sahihi - Sahau slay queens na wanawake wenye sura lakini akili sifuri. Pata mwanamke ambaye sio tu atasaidia maono yako lakini pia atakusukuma kufikia zaidi. Mwanamke ambaye atakupa msukumo wa kufanya kazi kwa bidii na sio mwanamke anayekufanya uwe mgumu...
  19. JamiiForums Tanzania Hadithi: Mapenzi ya Mjini

    Sehemu ya Kwanza: Mkutano wa Hatima Kulikuwa na mji mkubwa uliokuwa ukijulikana kwa jina la Mji wa Furaha. Katika mji huu, tamaduni na mila mbalimbali zilijumuika na kufanya maisha kuwa na mvuto wa kipekee. Miongoni mwa wakaazi wa mji huu, kulikuwa na kijana mmoja kwa jina Musa, aliyekuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Ni bora mwanaume anaekwenda kucheat na akarudi nyumbani. Kuliko mwanamke anayekufanyq ulee watoto ambao sio wako kwa maisha yako yote bila kujua

    This weekend nililetewa kesi moja ya mahusiano kuitatua. Wakati wa maongezo niligundia jambo ambalo lilinifanya niwaze na kujiuliza "Je si ni bora kuishi na mwanaume mchepukaji ila anahudimia familia yake kumjali, kumheshimu na kumpenda mke wake kuliko kuishi na mwanamke anayekufanya ulee watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…