mapenzi

  1. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa 2 sasa bila kufanya mapenzi ni raha kweli kweli

    Hapo vip!! Mimi ni kijana rijali haswa ila baada ya kumchunguza kiumbe anayeitwa mwanamke kwa miaka mingi nimegundua sintoweza kuishi naye kwasababu kipindi cha nyumba nikiwa kwenye mahusiano mwanamke amekuwa chanzo ya kunipokonya uhuru na furaha yangu ya asili. Pili ninapoona ushetani...
  2. Mapandeson

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima mpenzi wa sasa ajue mahusiano yaliyopita?

    Je kuna ulazima mpenzi wako wa sasa hajue mahusiano yako yaliyopita??
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?

    Maana bila pesa hapo katikati ni sawa na hasara kwenye biashara. mapenzi hayafanyiki kabisa.. Mtu moja ana hudumia au kuhumiwa na michepuko zaidi ya minne, ukavu na msinyao wa via vya uzazi ni wa kupindukia.. Bila pesa wapenzi hawakutani, lakini pia bila fedha hakuna mawasiliano ni ukimya tu...
  4. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yamenishinda

    Hi Nikifikiri kuhusu mapenzi naona mimi nimeumbwa kupenda na kuumizwa ila sio kupendwa mda wote unachunwa mpaka akiba Vuta picha unakutaka na ex wako yupo na rafiki yake rafik yake anakupa salamu af ex wak anasema nilikula pesa zako
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumuonea huruma mwenza wako ukaahirisha mechi licha ya kukubaliana?

    kwamba mmekubaliana kwenda kufanya mapenzi kwa hiyari, makubaliano, mapenzi na ridhaa zenu wenyewe... ghafla mmeingia eneo la faragha tayari kwa game kunako 6kwa6, then ghafla unajawa huruma, hofu na stimu inakata kwa unachoshuhudia kwa macho, mathalani kutoka kwa mwenza wako?.. Je, ni kitu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

    Wanajamvi Siku hizi limekuwa kama jambo la kawaida kukuta watu wamepaki gari wanafanya mapenzi humo ndani. Hii imekaaje?Ni sahihi kweli? Pia soma: Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari
  7. Rayns

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Kufanya Mapenzi mbele ya Mwanaume Mwenzako ni Kudhalilishana

    Habari za wakati huu wote, Leo Ningependa kushare nanyi hili tukio ambalo lilinitokea, na sio zuri kuliendekeza kwa wale wanaofanya. Nimejikuta nakumbuka mojawapo ya DHARAU kubwa sana kuwahi kufanyiwa. Kwanza kabisa niseme kuna watu tunadharaulika, nilifananishwa na bulb (Taa), au Mbu wale...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Umewahi kushindwa kufanya mapenzi ukiwa na mpenzi wako chumbani, uliamua nini baada ya hapo?

    mathalani, kwa muda mrefu, na kwa hamu kubwa, mmepanga au kuahidiana kukutana faragha kwa ajili ya kushiriki penzi moto moto na kipenzi chako, halafu ghafla umefika eneo la faragha tayari kwa tendo, halafu hakuna kinachowezekana, moja haikai, mbili haikai, na huelewi wala hujui sababu ni nini...
  9. Cecil J

    JamiiForums Tanzania TALES OF LOVE: Mikasa ya kweli ya mapenzi.

    ...
  10. Bull Striker

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa kufanya mapenzi katika Jamii hushuka kila uchwao...

    Jamii sasa imekumbwa na kupungufu uwezo wa kufanya mapenzi. Labda vizazi vyetu havina nguvu wala uwezo huwenda kutokana na sababu mbali mbali. Mfano moja wanawake wawili Kati ya kumi ndo huweza kufika kilele (Mshindo) Wanawake wengi wanafanya mapenzi na hawafiki kileleni. Wanaume wengi...
  11. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Manguli wa mapenzi msaada wa haraka unahitajika kwangu naomba njooni mnisaidie

    Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mfupi mweusi mnene kidogo wa wastani,. Changamoto yangu ambayo ninahitaji msaada wenu ni kuwa, Nina wapenzi wawili ambao wate kwa pamoja wanaonyesha kunipenda sana, wananipenda mpaka nimekuwa nashindwa kuelewa niingie na yupi kwenye ndoa na wote wanahitaji...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kila anachoomba anapewa lakini hataki kutoa penzi

    Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana leo, anasema ana mwanamke alimtongoza na wana miezi kama saba hivi. Kila akimpanga kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa mwanamke, akiomba pesa anapewa, akiomba pesa ya kusuka anapewa, jamaa akiomba waonane wanaonana sehemu kama kwenye...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari

    Ni kukaribisha laana na mikosi kwenye gari, bajaji au ofisi yako au ya mwenzako.. Acha kabisaa tabia hiyo chafu, ingawa wewe unaona tamu. Gari au bajaji yenyewe umeazima na hiyo ofisi umaajiriwa tu, usikaribishe na kupakaza mikosi kwenye ofisi na gari ya watu tafadhali muungwana. Ni vizuri...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

    Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote. Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali. Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Adui yako ni mke au mume wako, siyo huyo unayemwambia akae mbali na mwenza wako

    Mjinga mkubwa wewe, tatizo sio huyo mwanaume unayemwambia: "Kaa mbali na mke/mpenzi/mwanamke wangu." Tatizo ni mke, mpenzi au girlfriend wako amempa nafasi mwamba ya kuongea, kuwasiliana au kutaniana naye na kutongozwa na kuna uwezekano tayari kashampiga miti. Shtuka adui yako ni mke au...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini matumizi ya kondomu na matangazo kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii yamepungua mno?

    Unaweza kuingia sehemu za kupumzikia wageni mathalani hotelini, guest house au lodge usikute box au pakiti ya kondomu mezani, hata sabuni siku hizi mpaka uombe kwa muhudumu tofauti na kipindi cha nyuma vyote unavikuta chumbani. Na wakati huo mtu anaweza kuwa na mchepuko mmoja tu Lakini anatumia...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni matamu sana

    Hakika mapenzi matamu. Shemeji katoka - South Africa kapata chombo Tanzania
  18. realMamy

    JamiiForums Tanzania Alidanganywa na Mwanaume wake kuwa ni Askari sasa limemkuta Jambo. Tumuombee

    Mimi binti wa miaka 24 mwaka jana nilipata mchumba akaja hadi nyumbani akanitolea kishika uchumba baada ya hapo tukawa tunasubiri mahali siku ya kutoa mahali ilipofika kweli alikuja na mshenga wake mi sikujuwa kilichoendelea make walikuwa na wajomba ndani baada ya hapo akanivalisha pete...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Upo uwezekano mkubwa mashabiki wa Yanga wakamzomea Haji Manara siku ya Mwananchi kutokana na mapenzi yao kwa Ally Kamwe

    Haji Manara leo amejikweza sana kwenye redio yao ya unafiki na umbea mwingi akidai kuwa yeye ndio msemaji wa Yanga na mkataba wake unasema hivyo, ametamba sana na kuitisha Simba isipeleke timu tarehe 8 akidai watafanya mauaji, akaahidi kuwa endapo Simba hatofungwa chini ya bao 4 atarudi pale...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaisha ila maisha yanaendelea na utamu wa maisha ni shoo za kibabe

    Shalom, Imeandaliwa na Chief Wadiz.a.k.a Chief Mapenzi. Leo nimewakumbuka Maex zangu mademu kama wanne hivi Aisha, Mariam, Win, Esther na Esther na Elizabeth. Jamani acheni maisha yaitwe maisha yaani hao mademu ilikuwa ni shoo shoo enzi hizo nawakatia mademu viuno kama vya Nyoshi wa FM...
Back
Top Bottom