mapenzi

  1. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kabla hamjaanza kufanya mapenzi ni vyema kila mtu azime simu yake

    Kuzima simu kabla ya tukio la kufanya mapenzi kutakusaidia kukuepusha na mambo mengi sana yaliyo nje ya uwezo wako nakumbuka tukio lililowahi kunikuta 2020 pisi imeingia hoteli niliyolipia laki mbili na nusu kwa usiku huo mbaya zaidi chakula changu kala tena cha bei tumeingia room ili tuanze...
  2. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Kilio cha mwanaume kwenye mapenzi kwa sasa ni hiki

    Sikuhizi wanaume mnalia hivi Nakupa mapenzi Nakupa vichenji Nini haupati, Vikoba nimekulipia Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa Akina mama wapunguzieni adhabu wanaume wa watu jamaan, mtawamaliza mjue
  3. Chibule

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na Utafutaji havikai pamoja!

    MKURUGENZI hapo Kitaa ambaye unapambana sana kuhakikisha huyo Mwanamke anakupenda, fikiria muda unaopoteza wenzako wanafanya nini kwa ajili ya kesho yao! Amua sasa wakati unahangaika kumjazia texts na kumpigia wapo wanao wanakimbizana na michongo, hisia za mapenzi wamezizika na nyota ya...
  4. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la mapenzi na wanawake, wanaume wa JF tuache tabia ya kung'ata na kupuliza. Mnatuponza wengine

    Mpaka nimekumbuka ile kauli ya akili za kuambiwa, unatakiwa kuchanganya na zako Ukitembelea mjini MMU utakutana na nyuzi kibao za kuwaponda wanawake, watoto wa kike, vitoto vya 2000, nyuzi za kupinga ndoa (kataa ndoa), uanachama na wanachama wa Kataa Ndoa n.k Kila mtu anamsemea mwanamke kwa...
  5. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Usikute Yeye Ni Ndumilakuwili: Mapenzi ya Kijanja au Kuingizwa Chaka?

    Mwanaume au mwanamke wako anapokufanyia vituko vya kushangaza, kama ku-mute simu akilala au kubadilisha password mara kwa mara, unajua kuna mambo. Hivi unadhani ni sawa kuingia kwenye mahusiano ya kutomwamini mtu? Au kuna uwezekano kwamba huyu mtu wako ni mdumilakuwili? Karibu hapa tujadili...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania UREMBO, UTANASHATI NA USAFI WA KINA KATIKA MAPENZI IWE NI LAZIMA SIO KWA NJE TU, BALI NI MUHIMU SANA KWA NDANI PIA, NA INAPENDEZA ZAIDI.

    Marashi ya kujipulizia sio muhimu sana, na yanazidisha kero na usumbufu yakichanganyika na uchafu mkiwa katika faragha. Kujisafisha vizuri zaidi kwenye mikunjo ni muhimu zaidi na inapendeza zaidi. Mpenzi akichojoa mavazi yake, marashi husalia kwenye nguo zake, akiwa yeye sasa kama alivyozaliwa...
  7. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Sikiliza kijana, mapenzi ni utapeli kwa mwanaume

    Leo nakufungulia hii code. Thamani za mwanaume na mwanamke zinaangaliwa katika vigezo tofauti. Thamani ya mwanaume ni mali/uwezo wa kifedha na thamani ya mwanamke ni mwili wake yaani ile purity. Mwanamke anaingia kwenye soko la mahusiano around miaka 15 hivi akiwa na thamani kubwa, hiki ni...
  8. SISIS

    JamiiForums Tanzania Nimemwambia akipata kazi na pesa ndiyo nitajua kama ana mapenzi ya kweli na mimi, kakasirika

    Nipo kwenye mahusiano na binti 2 years aliasomea ualimu na kazi hajawah pata mahusiano 2 years hakuna nachofaidika zaidi ya mbususu hana offer yyte hata likitokea la kutokea napambana mwenyewe. Hapa kati kati akawa anafosi nimuowe nikamwambia tu wewe hapo ulipo tabia zako halisi bado...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je? Unafahamu uliyenaye muda huu kwenye mapenzi anatafuta mwingine ambaye ni perfect kwake?

    Hilo ni swali kwa jinsia zote yaani Me na Ke , Uhalisia ulivo kwanza kwenye mahusiano asikudanganye mtu kua uko peke yako , mwanamke au mwanamme akikueleza uko peke yako huo unakua uongo wa wazi, Hii haijalishi umeolewa, umeona, haujaolewa, Una mchumba , hauna mchumba, Asili ya binadamu ni...
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

    Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa. Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga. Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kujidhuru au kumdhuru mwingine na kudhulumu uhai wake au wako mwenyewe kwa sababu ya mapenzi?

    Mathalani kujiua kwa kunywa sumu au kumdhuru mwingine kwa sumu, kujinyonga, kumdunga mtu au kujidunga kisu mwenyewe kwajili tu ya mapenzi. Kumpiga mtu rungu au kumpiga mwingine kwa kitu kizito au risasi.. Ni ngumu kuvumilia changamoto za kwenye mapenzi lakini inawezekana kuziepuka na kuishi...
  12. farfat

    JamiiForums Tanzania MAPENZI KIGEU GEU

    Katika hali is iyo ya kawaida nimejikuta nakata tamaa ya kuwa ktk mahusiano maana wanawake wa leo wamekuwa wabinafsi kupita kiasi. 1. Hupendwi kama hauna pesa au kama ulimshawishi kwa pesa ikitokea aka akajua undani wako na uhalisia wako anakuacha solemba 2. Kwa sisi wanaume tunaojitafuta ni...
  13. KENZY

    JamiiForums Tanzania Nyie walimwengu dunia yenu ya mapenzi imeshanishinda!

    Hamna dogo nyinyi,staha wala adabu mtu unajitahidi kwa uwezo wako wote mpaka jasho linakumiminika,vikengere utamu mpk vinachemka lkn mtu bado anakuambia unafanya mapenzi kama bata!!..😠 Bata! sure bata! WTF
  14. Surya

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukosa hisia/msisimko wa Mapenzi.

    Nianze na Wanaume: Mfumo wa hisia za mapenzi na mchakato wa kusimama kwa uume ni mchakato changamani ambao unahusisha miitikio ya kihisia, kiakili, na ya kimwili. Yafuatayo ni maelezo ya hatua mbalimbali zinazopelekea kusimama kwa uume hadi kufanikisha tendo la ngono: 1. Kuvutiwa Kihisia...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mapenzi hayana muongozo ila hakuna mwisho wa kujifunza

    Katika Harakati za Kila siku basi mdachu 🤣maeneo fulani dodoma mara Rafiki angu wa kike ambae hatukua na mazoea sana akapiga simu gari yake "24.O Harrier" Tako la nyani imekamwa njiani ameishiwa uwese/mafuta Mimi Niko town AREA D wakati huo Sina gari wala pikipiki, ikabidi nichukue kidumu cha...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mafuta ya taa hupunguza hamu ya kufanya mapenzi

    Nakumbuka shule niliyosoma tulikuwa tunawekewa mafuta ya taa kwenye chakula, Katika kudadisi kwa nini watuwekee mafuta hayo niliambiwa kuwa wanatuwekea ili kutufanya tusiwe na hamu au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi ukizingatia wanafunzi wanakuwa wameanza au walishapevuka tayari. JamiiCheck...
  17. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Kama hauna pesa endelevu achana na mapenzi

    Habari wana JamiiForums Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu wanakimbia. Hii ina maana gani? Hii ina maana Wanawake hawaingii kwenye mahusiano na wewe kwa upendo wa...
  18. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Sitampa mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi tena, nimekoma....

    Weekend Imekuwa ndefu Nipo arusha Land Rover festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi, alichokutana nacho hatamani mwanaume yeyote afanye hicho kitu Basi me nikapita nikaenda zangu...
  19. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Mapenzi Haya! Kweli nimeamini Nyuki hawezi kumlazimisha Nzi aamini kwamba Asali ni Tamu kuliko Mavi

    Ndugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa. Amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate, Sikutaka kuanzisha ugomvi maana ni Mpenzi tu huyu sio mke baada ya hapo nimemuuliza dereva bajaji amekiri...
  20. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Mapenzi Ni biashara

    Kitambo sana wazee wa Kazi. Kwanini mapenzi au ndoa nyingi huwa na migogoro pale uchumi wa Sisi WANAUME kushuka? Nyinyi wanawake ambayo mpo kwenye ndoa Na ambao hampo kwenye ndoa hebu tujuzeni. Kuna wale ambao wameolewa bila bikra watakuja kutukana hapa. Mods tafadhali msifute huu uzi.
Back
Top Bottom