mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Acha kuamini Furaha inapatikana kwenye mapenzi

    Acha kuamini kuwa ili uwe na furaha unahitaji mahusiano. Wakati mwingine unachohitaji ni kazi, pesa, na nguo mpya tu. #Madodi ✍🏼
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nimekua nikisumbuliwa na hamu kufanya mapenzi mara kwa mara hadi sasa idadi ya wanawake ni wengi nisaidieni jamani

    Habarini wakuu mimi kijana wa miaka 27 tu lakini nahisi mpaka sasa nimeshafanya mapenzi na wanawake idadi inakaribia 50 Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa mwaka huu hali ilikua shwari hadi mwezi wa tisa nilikua nimefanya mapenzi na wanawake wanne tu kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa

    Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa, unaweza kulala mwili tu lakini akili na moyo zikakesha zikitafuta utulivu na usipatikane Unaweza kuongea pekee yako na yakakupelekea kuona kama hukuwa na sababu ya kuzaliwa na huna thamani yoyote tena. Maumivu yanatesa...
  4. JamiiForums Tanzania Kila tukimaliza kufanya mapenzi, anakimbilia kuoga, shida nini?

    Jirani: Money penny njoo Money penny: Mekuja jirani nambie Jirani: Mepata bwana Mkatoliki, sa kila tukimaliza tendo la ndoa anakimbilia kuoga fastaa Nikamwuliza shida nini, akasema amefundishwa kuwa tendo la ndoa ni dhambi, so akifanya anatakiwa aoge haraka kuondoa dhambi Money penny: Du...
  5. JamiiForums Tanzania DCEA: Wanawake waongoza kutumia Skanka, Mapenzi yanatajwa kuwa chanzo

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas James Lyimo amesema wamefanikiwa kukamata Kilogramu 1066.105 za dawa za kulevya,mililita 447 za dawa tiba zenye asili ya kulevya, kuteketeza hekari 157.4 za mashamba ya bangi. Akizungumza na wanahabari...
  6. JamiiForums Tanzania Mayowe ni ya nini kwenye mapenzi, kwani hakuna namna ya kufurahia kimyakimya?

    Kwani hakuna namna ya kuenjoy silently ndrugu zangu? Mayowe ya nini sasa kama tumevamiwa na majambazi au kuna ugomvi? Hembu gugumia utamu kistaarabu tu my friends, ladies and gentlemen. Huo sio ungwana kabisa yaani, mnatisha watu na kukosesha wengine amani hata kama sio drama Punguza mayowe...
  7. JamiiForums Tanzania Siku Mungu akinijalia kadri ya mapenzi yake nitanunua chuma hiki alicho simama nacho alex jones katika picha hii

    "Labda najipiga fix tu, ila sio kosa kutumaini"
  8. JamiiForums Tanzania TFF mulikeni refa wa jana hafai kuchezesha mechi za yanga hakuficha mapenzi yake kwa yanga hadharani!

    Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Umewahi fanya mapenzi nje?

    Mwezi wa 6, Kuna siku nilikuwa na demu mmoja home. Sasa siku Ile tulikuwa sebuleni napiga katikati ya show imekula Kali tukajikuta tupo nje tukapiga show, japo nyumba ilikuwa inafensi. Tuliendelea mpk tukamaliza, lakini baadae ndo ukawa mchezo wetu tunaenda nje kuajiri na se*y. Daaa nikikumbuka...
  10. JamiiForums Tanzania Binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?

    Hivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake? Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara wa Babeli? Tutatwanywa kwa kuvurugwa na lugha gongana?
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kuoa mke mfanyakazi. Labda kwa waliofeli maisha wafanye hivyo wasije kufa njaa

    Hello! Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam. Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao aliweza kutembea nao kwa siri zaidi. Kati ya hawa mabinti wapo wake za watu na wachumba wa watu ...
  12. JamiiForums Tanzania Kuambatana na mke wako Kwa watu, haimaanishi una mapenzi ya dhati kwake

    Wanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu Tunaonesha mapenzi Kwa vitendo na kuwajibika hapo mke na watoto watajua kweli anawapenda Kwa dhati Sio kutaja " I love you" mara 100 Kwa siku, wakati watoto hawana hawana ada, chakula na mahitaji Hapo mwanaume unaonekana huna...
  13. JamiiForums Tanzania MAKINIKIA: Hekaya fupi ya kaburi la wanapendanao lililopo katika jiji kongwe la Tanga ambalo linasemwa kuwa ndiyo kitovu cha mapenzi

    #MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA KABURI LA WAPENDANAO LILILOPO KATIKA JIJI KONGWE LA TANGA AMBALO LINASEMWA KUWA NDIO KITOVU CHA MAPENZI Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya...
  14. JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli : Nani alistahili?🎵🥱 (Kisa cha mapenzi chenye kusisimua)

    NANI ALISTAHILI 🎵🥱 Sehemu ya Kwanza MTUNZI: Madodi ✍🏼 WHATSAPP: 0655 969 973 Mambo?? Habari?? Hi?? Zilikuwa jumbe tatu nilizozikuta upande WA messenger katika account Yangu ya Facebook Kutoka Kwa Rick. Nilijiuliza 'nani huyu?? Mbona jina jipya simfahamu?' Niliamua kujibu Kwa sms moja "Safi nani"...
  15. JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

    ⚽️ Young Africans SC🆚Azam FC 📆 02.11.2024 🏟 Azam Complex 🕖 12:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Azam FC Mpira umeanza Dakika ya 3 Yanga SC wanashambulia kwa kasi Dakika ya 5 Dube anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 14 Max anafanyiwa madhambi Dakika ya 17 Aziz k anakosa nafasi ya wazi...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭

    Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭

    Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭
  18. JamiiForums Tanzania Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭

    Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭
  19. JamiiForums Tanzania Washiriki wa Mapenzi ya Jinsia Moja kufikishwa Mahakamani, Serikali Yajipanga Kusimamia Sheria

    Serikali imeahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili kukomesha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ambavyo vinakiuka sheria, taratibu, mila na desturi pamoja na kuwakamata wanaojihusisha, sambamba na kuchukua hatua za kuwapeleka Mahakamani Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo ya Dating Apps: Kupata Mapenzi Huko ni Rahisi au Unapoteza Muda?

    Hivi ukiingia kwenye dating apps, unatafuta mapenzi au unatafuta maumivu? Watu wengi wanajaribu bahati yao huko, na wengine wanajikuta wakipoteza muda huku wakichanganywa na maswipe right na swipe left. Inajulikana kuwa hizi apps zimejaa watu wa kila aina – wengine wanatafuta penzi la kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…