maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Maoni binafsi; Katika hukumu ya Lisu sio kosa la Katuga ila Ndunguru na wenzake nafsi zitawasuta milele

    Sijasoma sheria na wala sijui sheria lakini hii hainizuii kutoa maoni binafsi baada ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya Tundu Lisu, muhaini wa 2025/2026 Bw.Katuga kama wakili msomi wa serikali alikuwa kazini kutimiza majukumu yake kama wakili na mwanasheria yoyote yule ambaye angepewa kazi hiyo...
  2. MamaSamia2025

    Kwa maoni ninayosoma kwa matukio kadhaa yaliyotokea hivi karibuni inaonyesha watu wengi hawapo tayari kufuata sheria

    Kesi zinazotrend kwa sasa ni tatu. Ya kwanza ni ya jamaa aitwaye Kelvin aliyekamatwa akifanya mapenzi na mtoto (binti wa chini ya miaka 18) ambapo kisheria inahesabika ni kumbaka. Ambapo kosa lake la pili ni kusambaza hiyo video chafu mtandaoni. Cha kushangaza watu wengi wanamtetea mtuhumiwa...
  3. Pascal Mayalla

    Kuhusu Hukumu ya Mwana TLS Tundu Lissu, Natoa Pongezi kwa TLS Kukaa Kimya Bila Kukurupuka Kutoa Maoni Yoyote Kuhusu Hukumu Hiyo, Halafu ...

    Wanabodi, Tundu Lissu ni mwanachama wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, TLS, Hili ni bandiko la kuipongeza TLS kwa kitendo chake cha TLS kukaa kimya tangu kutolewa kwa hukumu hiyo, TLS imekuwa kimya bila kusema chochote, au bila kukurupuka kutoa maoni yoyote rasmi ya TLS, kuhusu hukumu...
  4. G

    Facebook wanadai bila VPN huwezi KUFUNGUA jiandaeni soon inaweza kutokea na Jf pia Lisu anatetea uhuru wa maoni na habar

    Facebook imekuwa jukwaa kubwa la live update ya kesi ya Lisu Kwa muda mrefu . Leo Kuna malalamiko ya uzito wa KUINGIA huko bila VPN
  5. M

    Naomba support yenu kidogo – Nimekuwa nikitengeneza platform ya kidigitali, nahitaji watu wa kuijaribu na kunipa maoni

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa nikijifunza na kujituma kwenye masuala ya technology na software development, na katika harakati hizo nimeweza kutengeneza platform inayoitwa Taifika. Kwa sasa nimefikia hatua ambayo ningependa watu wengine zaidi ya mimi mwenyewe waijaribu, waichunguze na kunipa...
  6. Roving Journalist

    Responded TRC: Tumepokea maoni kuhusu changamoto ya ukataji tiketi wa magari Kituo cha SGR Morogoro, tutafanyia kazi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa hoja akieleza “Utaratibu wa tiketi za magari Kituo cha SGR Morogoro ni mbovu, Watu wanaganda kwenye foleni”, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema limepokea na litafanyia kazi hoja hiyo. Hoja ya Mdau ~ Utaratibu wa tiketi za magari Kituo cha SGR Morogoro...
  7. econonist

    Maoni yangu: Lema ni dalali na anataka CHADEMA irudi kwenye udalali

    Kwa press ya Jana ya Lema amekiri kwa kauli zake kwamba yeye ni dalali na anataka CHADEMA irudi kwenye udalali. 1. Kwanza kabisa, Lema kanishtua sana aliposema ya kwamba alikutana na Makamu wa Rais pamoja na Mwanasheria Mkuu wa serikali. Nimeshangaa sana, kwa sababu hata machawa wa CCM na...
  8. Tlaatlaah

    Wako wapi wale wafuasi wa kile chama cha saisa cha kushangilia vifo vya wanasiasa, watu mashuhuri na waja wa Allah, walio na maoni tofauti na yao?

    Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia? Au muda wa kushangilia bado? Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini? In fact, ni kitu nonsense sana...
  9. MaweSaba

    Maoni: Kiwango cha hekima na ubora wa viongozi duniani umepungua sana

    Kwa 🇹🇿 Mfano Wako wapi watu kama JK Nyerere, Rashid Kawawa, Getrude Mongella na viongozi wengine wa zamani? Ukikaa ukasikiliza "viongozi" wa sasa unashikwa na hasira, hawana huruma, hekima, staha ya midomo. Mfano hawa wa Tanzania wengine, wengi hawana maadili kabisa na competence. Uchawa na...
  10. min -me

    Kuhusu maoni yangu binafsi kwa warembo wa jf😅

    Nilitoa maoni yangu binafsi, nilio ona nipisi kali niliwataja selfika 😊,pisi mbovu pia zilikuwepo kwa maoni yangu😅😅 , haya ni maoni binafsi mno 🤣 yalichukuliwa kwa uzito na makasiriko sijui kwanini😅😅 Kwamba zile mamsi zote ni kali? Acheni ufala namnitoe kwenye huo mkumbo wa kipumbavu...
  11. papag

    Nini maoni yako?

    Eti?
  12. Idugunde

    Maoni ya Idu:Kama Pambalu ni mhaini basi hata mimi ni mhaini.

    Hii Tanganyika imepotea njia👇
  13. Parabolic

    Tarimba: Wana Kinondoni Tujitokeze Kutoa Ushahidi Ili Waliohusika Wachukuliwe Hatua

    Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam Mhe Abbas Tarimba amewataka wananchi wa wilaya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa Wananchi wa Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja Tume hiyo ya kimataifa inayoundwa na...
  14. U

    Chama cha Mapinduzi CCM Kahama huyu mwnachama wenu anayejiita Manala Mbumba anayefanya utapeli ilikuaje mkamruhusu agombee ubunge kura za maoni?

    Huyu jamaa alikuwa anafanya real estate, kuuza viwanja ametapeli watu wengi sana hapa Daressalaam. Na pia ana chuo cha udereva kinaitwa Essence Driving School amekuwa akikitumia kutapeli watu kuanzia wafanyakazi wake , Wanafunzi n.k Mpaka Sasa hapa NIT sisi Wanafunzi ametutapeli pesa za...
  15. T

    Nimeamua kufunga biashara yangu ya BAR ili nipate maoni ya Wadau

    Ilikuwa ikiniingizia 200,000 kwa siku kwa kuuza bia Zaidi ya 2000.. Mganga kaniambia niifunge ili nijue mbaya wangu nani katika biashara... Karibu nafanikiwa... Ila JF member usifunge biashara ni kazi
  16. Kipenzi Changu

    Maoni ya kawaida kuhusu madhira ya Jane na Kweka; ubinafsi unatumaliza

    Kama mwanamke ni mbinafsi usiingie kwenye ndoa Kama mwanamke ni kiburi usiingie kwenye ndoa Kama mwanamke huridhiki na mwanaume mmoja usiingie kwenye ndoa
  17. sepema

    Maoni na mapendekezo yangu kwa NHIF

    Salaam kwenu nyote. Bima ya afya (NHIF) kwa watumishi wa umma inahudumia wategemezi watano mbali na mchangiaji mwenyewe. Wapo watu kadhaa ambao wameainishwa kuwa wanaweza kuwa wategemezi wa mwanachama mchangiaji endapo vigezo vitafikiwa. Miongoni mwa wategemezi ni;mwenza, watoto na wazazi...
  18. Roving Journalist

    TRC: Tumepokea maoni ya Afande Sele kuhusu ratiba ya Treni ya SGR kutoka Morogoro

    Baada ya Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Selemani Msindi "Afande Sele" kutoa maoni yake kuhusu ratiba ya treni ya SGR kutokea Mkoano Morogoro kuelekea Dar es Salaam. ufafanuzi umetolewa na Shirika la Reli Tanzania (SGR). Alichokisema Afande Sele kipo hapa ~ Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa...
  19. Roving Journalist

    THBUB yapokea maoni kwa Waombaji Nafasi ya Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Makamishna na Makamishna Wasaidizi

    TANGAZO LA KUPOKEA MAONI KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI YA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI, MAKAMISHNA NA MAKAMISHNA WASAIDIZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Kamati ya Uteuzi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 129 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ilitangaza kupitia...
  20. Hyrax

    Maoni Yangu: Huu ndio Muarobaini wa Ajali za Barabarani - Kila Dereva Awe na Leseni, na Mfumo wa Pointi Uboreshwe, Uwe na Ufanisi.

    Ndugu zangu wa JamiiForums, Ajali za barabarani zimeendelea kupoteza maisha ya ndugu zetu, kusababisha ulemavu, na kurudisha nyuma uchumi wetu kupitia uharibifu wa mali. Mara nyingi tumekuwa tukilaumu ubovu wa miundombinu au magari, lakini ukweli ni kwamba chanzo kikuu cha ajali ni kiburi...
Back
Top Bottom