mange kimambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Hatimaye Mange Kimambi afurahishwa hadharani na uamuzi wa Samia Kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge Tanga

    Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
  2. ngara23

    Nani anafaa kuwa dada wa taifa kati ya Mange Kimambi na Rachel Dangwa?

    Mange alitamba muda mrefu kama mkosoaji asiyejificha ila Kwa Sasa mitandao imejaa Mtanzania anakimbiza aitwaye Rachel Dangwa Rachel Dangwa huyu dada ni hatari anakosoa Kwa lugha chafu, yaani hadi binafsi huwa nashtuka lugha zake Kwa viongozi wa Kisiasa Rachel Dangwa amempiku na amejizolea...
  3. Hyrax

    Mange Kimambi na washirika wako nakwambia hivi: Maandamano ya kweli huwa hayatangazwi hii movement ishafeli big time 100%

    Huwezi ukawa unataka kushinda vita kwa kuropokaropka mbinu zako za kivita kwa adui yako ambaye muda mwingi yupo kimya akikusoma tu ilihali unajua kabisa unayemropokea ana nguvu kila idara. Mange kimambi na washirika wake wanaofanana tabia za kimovement za aina hiyo nawaambia tu kwamba kwa hili...
  4. Metronidazole 400mg

    Maria Sarungi na mange Kimambi nyie watanzania wajinga mmekubali ni wanaharakati kweli??

    Wako nje ya Tz, mmoja ulaya, mwingine sijui kenya na familia zao zipo Safe. Ni kivipi ww mwanaume mwenye kende mbili ukubali harakati za hawa wavaa pichu, wanaojiita wanaharakati wa mchogo na wanafiki. Kama wanapenda nchi yao,, kwanini wasije huku Bongo na tupigane wote kama wana uchungu wa...
  5. Kimbesa11

    GE2025 Polepole anageuka mbogo anapoulizwa maswali: Kinachomtesa ni kiapo chake cha utumishi wa umma, si barua

    Husika na mada tajwa hapo juu: Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema "Ee Mungu nisaidie" Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka mbogo pale anapoulizwa maswali magumu na waandishi wa habari hizi ni stress. mimi ninamshauri aombe...
  6. R

    Mange Kimambi na Msanii Aslay wafikishwa Kortini, wadaiwa fidia Billioni 5

    Mwanaharakati maarufu katika mitandao ya kijamii aishiye Marekani, Mange Kimambi na nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Isihaka Nassoro maarufu Aslay, wamefunguliwa kesi ya madai kortini, wakidaiwa fidia ya Sh5 bilioni. Katika hati ya madai, Mange anatajwa kuwa mkazi wa Los Angeles...
  7. B

    Mange Kimambi anaamini kuwa ana nguvu kubwa sana mtandaoni

    Mange Kimambi ana a mini kuwa ana nguvu kubwa sana mtandaoni. ( Of course anazo) Nguvu ambayzo angeweza kuzitumia either against Samia's Government or in favour of Samia's Government kipindi hiki cha Uchaguzi. Probably serikali ya CCM ilimfuata kuomba kumtumia, kwa yeye kukaa kimya kwa...
  8. B

    Mange Kimambi aisapoti " OKTOBA TUNATIKI" eidha kwa kujua ama kutokujua

    Kwenye post yake la Leo kuhusu Makonda amewaasa wananchi wa Arusha kutokumchagua mgombea wa mchongo( Makonda) , ambae wamepewa na CCM na badala yake wamchague mgombea wao wenyewe. Mpaka hapo ni OKTOBA TUNATIKI 2 - 0 NRNE. NRNE haikuwa na uhalisia. Bora Chadema wangeingia ulingoni halafu...
  9. Kimbesa11

    Nawashangaa wanaomshabikia Mange Kimambi ilihali wanajua 'No reforms, No election haitafanikiwa'

    Kwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu ..huu ni ujinga. Pili. Chadema wanaamini Mange Kimambi ndiye anaye wasukumia agenda zao hii ni anguko...
  10. Stuxnet

    Kampeni ya Ku-unfollow wasanii inayoendeshwa na Mange Kimambi imeleta athari ya chini ya 0.2%

    Kwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:- endelea..... Mytake: Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya...
  11. B

    Watanzania si mnasemaga hamuwezi kuongozwa na mwanamke kwa sababu wanawaza kwa hisia, mbona sasa Mange Kimambi anawaelekeza cha kufanya na mnafuata?

    Mange Kimambi ana watoto watatu. Wawili wa kiume ni raia wa Marekani. Mmoja wa kike ni raia wa Uingereza.. Ye ye mwenyewe anaweza kuwa na uraia wa Marekani kupitia ndoa y/zake. Babake na mamake ameshawazika wote. She has nothing to loose hata kilichafuka Tanzania yeye hawezi kupata madhara...
  12. Ashampoo burning

    Mange Kimambi ni mkubwa kuliko CHADEMA wenyewe

    Mange kimambi kwa sasa ushawishi wake katika siasa za tanzania ni sawa kabisa na chama cha siasa kimoja Mange kimambia aliiingia kwenye siasa rasmi mwaka 2015 wakati huo alijaribu kugombea jimbo la kinondoni kupitia ccm hakupita kura za maoni akabaki kama mwanachama na tukaingia...
  13. O

    Mange Kimambi na Kauli ya 'No Reforms, No Election': Je Vijana wa Instagram Wanaamka Kisiasa?

    Katika hali ya kushangaza, kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" inachipuka kwa kasi kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, jukwaa ambalo lilizoea kudharauliwa na wachambuzi wa kisiasa kama sehemu ya "wajinga", wasiojali siasa wala mustakabali wa taifa. Instagram, mtandao wa picha...
  14. Mhaya

    Mange Kimambi anaingiza Mamilioni ya Pesa Kupitia Udaku, Milioni 100 kwa Mwezi kwake sio shida

    Mange Kimambi au kama watu wengine wanavyomuita Dada wa Taifa ni miongoni mwa Socialites wanaolipwa vizuri kwa kazi zao za mitandao. Kwa wachache msiomjua, Mange Kimambi ni Mwanamke mwenye asili ya Tanzania aishie Marekani na mwanaharakati anayepinga vikali ufisadi na matendo yote mabaya...
  15. N

    Maandamano makubwa nchini yananukia...

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza. Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Nay wa Mitego amkana Mange Kimambi kuhusu madai ya kupewa Milioni 100 na kuhamia CCM

    Nay wa Mitego amekanusha madai ya Mange Kimambi kwamba amelipwa Milioni 100 na muda wowote atatangaza kuhamia CCM "Unaona mimi ni wa million 100 kweli.?! career yangu ina thamani kubwa sanaaaa, mapenzi ya Wana Nchi wangu huwezi fananisha na kiasi chochote cha pesa, na nina enjoy kua ivi nilivyo...
  17. comrade_kipepe

    Ila wenzetu Wakristo wamebarikiwa kwenye sekta ya viongozi

    BORA UZI UFE TUU, MMEZID KU EDIT MIMI SIKUANDIKA HIVI, FURAHINI SASA
  18. Megalodon

    Tumsikilize Mange Kimambi pamoja na Edo wa WASAFI

    Wakuu tumsikilize Miss Mange Kimambi kwa nini reform ni muhimu. Pia Tumsikilize one of the Big Brain pale WASAFI . Wananchi hawafurahishwa na namna polisi wanavo behave kwenye minor issue. - Mwisho na kwa maoni yangu mimi kama Dr Megalodon Ndesaruo Mushi: Ukifanya a Simple survey; , asilimia...
  19. Li ngunda ngali

    META imezifunga kurasa zote za Mange Kimambi

    Mwana dada machachari mitandaoni anayejulikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META. Mange alijulikana zaidi kwa maandiko yake ya kuwatweza watu binafsi na hata Viongozi mbalimbali wa Serikali...
  20. Ojuolegbha

    Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania

    Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania Katika miaka ya karibuni, Mange Kimambi ameibuka kuwa mmoja wa watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii akijipambanua kama mwanaharakati wa kisiasa na kijamii, hasa akilenga kupinga sera na uongozi wa Serikali ya Tanzania. Hata...
Back
Top Bottom