Wakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Leo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious?
Kaanza kuwadanganya mabwege ohhh tokeni sana tokeni sana jeshi na polisi lipo na nyie na wamemhahakikishia lipo kuunga maandamano, lipo na nyie asilimia 100% haya mmetoka kama misukule jeshi...
Kwa mara ya pili, Taasisi ya Uchunguzi wa Uhalifu ya Marekani, FBI, imemuarifu Mange Kimambi kwamba amepangwa kuuawa, kwa mujibu wa taarifa za kiinteligensia ilizozipata FBI.
Yamesemwa leo na Mange mwenyewe.
Mara ya kwanza alitahadharishwa hayo wiki mbili zilizopita wakati akipanda ndege...
Mange Kimambi umeua watanzania wewe ukiwa unakula burger Las vegas shame on you. Na ulaaaniwe na kizazi chako
Maria Sarungi ulaaniwe na liberatus wako mmefanikiwa kupoteza damu ya watanzania na mlaaniwe na vizazi vyenu
Tmejifunza na tujipanga kama nchi , wenye mamlaka rekebisheni mapungufu...
Ipo video amepost dada wa Taifa imenifanya kuleta uzi huu kwani nimewaza mengi bila majibu.
Mange anasema yaani kuna vikosi vinamilki bunduki bila risasi!
Kikosi kingine kinamilki risasi lakini hakina bunduki!
Dada wa Taifa anasema kuna vikosi vina milki vifaru lakini hizina munitions
Na walio...
Ameandika Mange Kimambi kwenye mtandao wa Instagram, "Wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanatiki wenyewe na sasa wameaniza kunitumia video walivyokuwa wanatiki. Na kwenye semina walikuwa wanaambiwa kabisa kama kituo chako kina watu 400 lazma urudishe kura 400 za Samia."
Namuhurumia sana Mange Kimambi kwa aibu atakayopata kutoka kwa Watanzania.
Binafsi natamani maandamano ya amani yawepo reforms zifanyike kusudi huko kupiga kura kuwe na maana kuliko maigizo haya ya kila siku ya kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana tayari.
Kwa nguvu alizotumia Mange...
Hi Nimesikiliza sana mazungumzo ya mitandaoni ya Mange kimambi na Maria Sarungi wakihamasisha kuwa tutoke kwa wingi tena tujitahidi sana na wala tusiogope .
NAJIULIZA YAFUATAYO?
1. Maria Sarungi wewe ni jasiri kweli mbona hukuja kumzika baba yako? Si ungeingia ukishikwa uwe na watu wa vyombo...
Naitwa Tesha kwa asilimia mia moja nipo na Mange katika ukombozi wa Taifa hili lakini tutambue kuwa mitandao ni silaha kubwa sana kuhakikisha tunatoka kwa namba kubwa. ushauri wangu hakikisha una VPN za aina zote ingia Play store na App Store pakua zote kikubwa tusipoteane siku hiyo.
Mwenye...
Wiki kadhaa zilizopita niliwataja Mange Kimambi, Humphrey Polepole na Luhaga Mpina kama watu ambao sijaamini dhamira ya maneno na matendo yao ya kisiasa. Haya maneno niliyasema siku kadhaa kabla taarifa za kupotea kwa Polepole hazijatoka.
Niliwahi kusema master plan ya siasa za CCM ni kuwa...
Wakuu,
Sheikh Sharifu Firdaus Al qadiri anatema cheche, lakini ajabu ameshindwa kukemea namna ambavyo Serikali imekaa kimya kwa Matukio maovu ya utekaji na watu kuuliwa pamoja na ufisadi unaofichuliwa na wakina Mange dhidi ya Serikali ya huyo Samia, yeye amekazia matusi na Maadii ya Kitanzania...
Wadau kama mnavyojua FBI(Federal Bureau of Investigation) ni shirika kubwa la usalama wa ndani na upelelezi wa uhalifu lenye mamlaka ya kufanya kazi za kijasusi ndani ya nchi ya Marekani.
Hatimaye wamenusa harufu ambayo sio nzuri kwa raia wake na activist mkubwa Mange Kimambi ambaye amekua...
Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?
Mafisadi yamejipanga Kwa njia zote.
Leo wameamuru meta ambao ni wamiliki wa Instagram kushusha post zote za kuhusu ufisadi wa serikali
Kwamba serikali haitaki kuona post za watoto wa fisadi Seleman Momba ambaye ndo mkurugenzi wa usalama wa Taifa wakichezea mamilion ya USD nyumbani huku wananchi...
Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?
Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru?
Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma?
Enyi watu wazima ambao mliona...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kwa haya anayoyafanya huyu mwana mama anasihili zawadi gani?
Hakika anapambana
Kutoka kwangu anastahili apate mbigu aketi pamoja na KRISTO YESU, maana anafanya ambacho MWENYEZI MUNGU anataka tukifanye, kuwapambania masikin na kupigania...
Sasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote tunajua jeshi la akiba ni migambo na wanatambulika sasa hili kundi la vijana walikusanywa na kupewa...
Nikiwaita wajinga mnakasirika.
Kutwa kutwa mnakesha kufuatilia habari za uzushi kutoka kwa Mange Kimambi na Polepole ambao wao pia ni wana CCM ambao mfumo umewakaanga.
Polepole ana madudu mengi sana. Kesho nitayaanika hapa.
Mange baada ya kukosa Ubunge ndipo kaja na utetezi uchwara.
JPM alimpa...
Hivi karibuni zimekuwepo tuhuma za ufisadi wa kutisha nchini. Mange kimambi, mwanadada aliyeko marekani kwenye channel yake ya Instagram ameibua tuhuma nzito sana zinazomgusa mtoto wa Rais Abdul, mwanamama mmoja aitwaye Anjela, na Wafanyabiashara wenye asili ya Asia.
Mange amezungumzia tuhuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.