The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
Katika ulimwengu wa kisiasa, wanawake wanakutana na vikwazo vingi vinavyozuia ushiriki wao kamili. Na sio tu kwa nafasi kubwa kama Ubunge na Urais, kuanzia huko kwenye Uwakilishi wa Serikali za Mitaa na Udiwani
Upendeleo wa kijinsia na ukosefu wa rasilimali ni baadhi ya changamoto kubwa...
aljazeeraenglish
The fact that the cumulative weight of bombs dropped on #Gaza exceeds that of those dropped during World War II is “extraordinary”, Will Hutton, political economist and journalist, tells Al Jazeera.
.
#Israel could not have done this without US military aid, but it could have...
Mhadhara - 44:
Mnamo Oktoba 1, 2024 niliwaletea MAMBO 13 YA BUSARA. Leo nawaongezea mambo mengine kumi na nne (14) ya busara ambayo yataongeza au yatalinda heshima, thamani na utu wako. Ikumbukwe kuwa watu pia ni mtaji wa kujipata kimaisha.
MAMBO 14 YA BUSARA:
1. Acha tabia ya kucheuwa ovyo...
Ushawahi kujiuliza kwanini Mungu aliwaandaa Simeoni na Anna kumpokea mtoto Yesu pale hekaluni kabla ya umauti kuwakuta?
Soma Injili ya Mtakatifu Luka (Lk 2:25-38)
Sasa Imagine Yusufu na Maria wangekutana na Kuhani au mapadri wa kwetu huku kukiwa na tetesi mtaani kuwa mtoto si wa Yusufu...
Habarini!
Nikiwa nina uhakika wabongo na masuala ya ngono hawatenganishiki kama kahawa na kashata, sijistukii na wala sina hofu yoyote ya kuleta Uzi huu asubuhi kama hii ya kazi. Siajabu wakurugenzi wakawa wa kwanza kuisoma.
Kwenye mada!
Ndugu, mmeshakokotana hadi chumbani na hamjisikii mzuka...
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameonyesha sifa kadhaa ambazo zinaonekana kufanana na sifa za rais bora:
Uadilifu: Rais Samia ameonekana kujitahidi kufuata maadili ya uongozi na kutoa kipaumbele kwa maslahi ya umma.
Uongozi bora: Tangu kushika madaraka, Rais Samia ameonyesha uongozi...
Hivi USA wanapataga wapi Taarifa Muhimu za intelligence kabla ya Jambo kutokea?
1. Juzi walionya kuwa Iran Ina mpango wa kushambulia Israel ndani ya Masaa mawili yajayo na ikawa hivo
2. Mwaka 2021 December na 2022 January walionya kwamba Urusi Ana mpango wa kumshambulia Ukraine ! Ambapo Urusi...
Radio maria acheni udini aisee mnazingua aisee Tanzania kuna dini kubwa mbili aisee sasa kwanini kila siku nyie mnaizungumzia dini moja tu ya ukristo? Ili hali nyie ni radio tu kila mtu anapaswa kuisikiliza sio kubase kwenye dini moja tu aisee mnakera sana aisee
Mtanirekebisha kama ni radio ya...
Kwa elimu yetu ya hapa Tanzania soma vyuo ambavyo vina network kubwa ya kukuongezea uwezekano wa kupanua goli la oppurtunities (Ajira, Promotion maofisini, Scholarships, Grants, n.k) hata kama huna connection.
haya mambo ya kuwa nondo ,kuiva, kujisifu chuo kina elimu ngumu ni hayana uzito...
Mambo 13 ya busara
1. Ufikapo mahali ambako umealikwa usiketi kwenye kiti kabla ya kukaribishwa na mwenyeji wako.
2. Kama unakula mbele ya watu wengine usipende kuvutana na nyama ambayo ni ngumu. Nyama ngumu achana nayo.
3. Uendapo kwenye usaili wa ajira (kazi) usivae suruali bila mkanda...
Nadhani wote mmesikia kilichomtokea Zuchu huko Mbeya, Sio kosa lake, Hakujua kwamba yupo eneo tofauti kabisa, Alikuwa akipigia sana debe viongozi bila kujua kufanya hivyo ni kuamsha hisia kali wasizozipenda wanambeya wasiopenda mambo ya kutukuza sana viongozi (Uchawa)
Na kama unaingiza mambo ya...
Prince wa Salman wa Saudi Arabia amesema kuwa hataki kujihusisha na mgogoro wa Palestine. Ana nchi yake na anapaswa aangalie mambo yanayohusu nchi yake.
==========
Saudi Arabia's Crown Prince Mohammed bin Salman told US Secretary of State Antony Blinken that he does not personally care about...
Unapotumia simu au kompyuta, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia ili kuhakikisha usalama, afya, na ufanisi:
1. Usalama wa Mtandaoni:
- Tumia nywila (password) ngumu na salama.
- Epuka kubonyeza viungo vya kutatanisha au kutoka kwa vyanzo visivyoaminika.
- Hakikisha kompyuta au simu ina...
Unafiki wa waislamu, wao wanalazimisha sharia zao uzunguni, wakiguswa kidogo hung'aka sana, ila wao wachokozi, wana ugomvi na kila dini dunia hii, mavita vita kila mahali na ukizingatia uislamu ndio dini changa kati ya zote, dini iliyobuniwa miaka 500 baada ya Yesu, kabla hapo hakuna sehemu...
Kumekuchaje wanajamvi?
Wakati tukisubiria hukumu ya akina Nyundo Mjeda na wenzake dhidi ya Binti wa Yombo, hebu tumkumbushe mama kitu kimoja cha msingi maana huenda hajui.
Kwenye uongozi kuna mambo 2 ya msingi ambayo kwa kiongozi yeyote yule hata mjumbe wa nyumba 10 huwa hayakwepeki.
Mambo...
Wale ambao mnatembelea mitandao mbali mbali,kuna habar huko katika ule mtandao wa kindege,kwamba kuna mwamba ambaye yupo karibu na mkuu wa kaya,huyu mwamba kamnunulia tamu yake apartments kadhaa,na kila mwezi humpa milioni ishirini (20ml) za matumizi tu.
Sasa ebu fikiria,tamu ya mwamba pamoja...
1. Kocha Fahdu anatakiwa aaambiwe ugumu wa mechi za mikoani otherwise atadondosha sana pointi ugenini hasa kule Mbeya, Kagera, Singida na Kigoma.
2. Fahdu amezidiwa kabisa kimbinu leo na Dodoma Jiji kama sio uzoefu mambo yangekuwa magumu leo
3.Fahdu akubali kuwa mechi za ugenini ni za akina...
Mungu ni roho, Mungu anaongea kiroho
Haongei kama sisi wanadamu, ana namna zake ambazo ni muhimu uzifahamu
KUNA NJII KUU 3 ZA MUNGU KUONGEA NA WEWE
1. KUPITIA NDOTO/MAONO
2. KUPITIA NENO LAKE. Biblia Takatifu
3. KUPITIA WATUMISHI WAKE(MANABII, WALIMU N.K
LEO TUONE NJIA YA NDOTO
Ndoto...
Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.