The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
Baada ya kumaliza ugomvi, nikaamua kukarufisha kimya kimya watu wasione wasije wakanicheka.
Sasa jana nimekaleta geto saa sita usiku ili watu wasikaone.... leo kameamka saa kumi na mbili alfajiri kakaanza kufagia uwanja aiseee.....
Yaani hapa nawaona majirani wananong'onezana tu huku...
Nimeshindwa kuweka hapa makala video fupi.
Ila wachumbuzi wale wakina zungu hata hii teknolojia ukiuliza ilifikaje iran watabaki na kusema maandiko ya dini.
Marekani alikuwa rafiki mkubwa iran mpaka kumpa teknolojia kubwa na kuna mataifa walipewa hii teknolojia kwa lengo la kufua umeme.
baada...
Wasalaam
Nimekaa nikajiuliza ni kwanini baadhi ya mambo yanafanya watu hata wenye heshima zao, elimu na nyadhifa kutokwa akili kabisa wanapoyajadili. Kuna mijadala ambayo inakufanya uanze kumwangalia mtu kwa jicho tofauti.
Unakuta unamuheshimu mtu vizuri tu lakini akianza kuzungumzia mahaba...
Miaka 5 ijayo (2026 - 2031) dunia haitaenda pole pole. Kitaalamu, tunakwenda kwenye miaka ya AI kufanya kazi badala ya kuongea tu.
Hizi ndizo tech 7 zitakazobadilisha maisha yako moja kwa moja:
1. AI Agents - AI itakufanyia kazi, sio kukujibu tu
Sasa hivi unaniuliza, nakujibu. Miaka 5 ijayo...
Tofauti na babu wa Loliondo wa kikombe sijawahi kusikia mtu amezungumza na mungu akaambiwa suluhisho la kudumu la magonjwa ya Cancer, kisukari, Ebola, UKIMWI, Homa ya ini ambalo litatibu watu wengi au kumuambia dereva asisafiri siku hiyo atapata ajali (unakuta ni mtu mmoja tu anasema aliambiwa...
Tunazaliwa bila hiari yetu.
Tunapewa masharti ya kuishi as if ulikubali kuja kuishi kwa masharti.
Hivi ni nini maana halisi ya uwepo if all we do is end up dying..
Je kuna kusudi lolote la sisi kuwepo, beside kuzaliwa, kuishi na kufa?
Maana we are living as if this life is our own and then...
Wakati fulani nilipanda dala dala moja wa abiria akamwambia kondakta nirudishie chenchi yangu (50) niwaze mambo mengine.
Maana yake ni kwamba yule abiria alikua muda wote anaiwazi hio 50
Ni kiasi kidogo sana ila illi kuwa inampa shida ya kuzingatia muda wote kwamba konda hajanirudishia hela...
Unataka waache kupakuana wakupakue wewe?
Juzi jamaa mmoja aliyefukuzwa kazi polisi nilikuwa tunapiga naye story na nikasema Mimi nimewahi kukwepa mitego kadhaa ya mashoga walitaka niwapakue.
Mashoga 3 live kabisa watu ambao huwezi kudhani kuwa kipa kahama golini. Na wengine huko mitandaoni...
Mimi ni mfanyakazi katika sekta binafsi (Private Sector) ambaye nimepata fursa ya kujiendeleza kielimu katika ngazi ya shahada. Nilichagua kujiunga na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kupitia mfumo wa masomo ya jioni (Evening Programme) kwa kuwa unaendana na majukumu yangu ya kikazi.
Hata...
Gari ni kitu muhimu sana, ukimiliki gari kwenye hizi jamii zetu thamani yako inaongezeka. Na thamani yako ikiongezeka na pesa zitaongezeka.
Pesa ni thamani na si makaratasi.
Ndio maana unaweza kumlala MDADA ukampa 20k tzs na ukalala na mwingine ukampa 200k tzs. It's because of the value.
CCM...
Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu...
Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂
Leo nimekajaribu kwa salam..
Mimi: mambo
Yeye: niko poa kabisa
Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani...
Mangungu ana watu wazito nyuma yake na agenda yao kubwa ni kuimilikisha Simba kwa familia ya gsm.
Hawajali Mo akiondoka ,wala Simba ikiyumba.Agenda yao hii wanaipigania kupitia kwa mangungo na baadhi ya watu wajinga wanaotaka kumrudisha manara.
Siasa zinaharibu sana mpira wetu,maana kuna watu...
Serikali imesema inatarajia kutumia shilingi bilioni 730 na chenji katika maandalizi na kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mvua za vuli zinazotarajiwa kuambatana na hali ya El Niño, kuanzia Oktoba 2026.
Kwa mujibu wa mpango huo, sehemu ya fedha hizo zitatumika katika...
Mambo matano kwenye mchezo wa fountain gate vs simba leo
1.KAPILI MACHUPA
Alikuwa kizuizi kwa Simba licha ya kuruhusu goli moja alipaswa kuwa man of the match
2:ANCET OURA
Hakuwa kwenye kiwango kizuri alimfanya kasuku kuwa kwenye kiwango Bora
3:MGUNDA SHABAN
Jamaa alitawala dimba la Kati...
Nimepita zangu shopping mall kununua simu mpya, nimelipia safi sasa wakati tunaandikishana risiti na mambo mengine..
Mara akafika hapo jimama nene la kizungu na vijana wawili wadogo mmoja kavaa kimasai na mwingine kawaida, kimuonekano masai alikuwa smart ila huyu mwingine ana rasta chafu, nguo...
Inaonekana Nzena amepoteza imani kwa kiwango kikubwa kiasi kwamba hawataki tena kwenda pale. Baada ya kupewa boosters za kutosha, sasa tunaelekea kwa Wagogo kutafuta proper treatment, huku tukiendelea kupewa boosters ili angalau tuonekane kwenye sherehe na kuonyesha kwamba mambo yako sawa...
Kukithiri kwa vijana wengi mashoga ni kutokana na influence ilioletwa na waarabu kipindi cha utawala wao na haswa wakati wa utumwa.
Waarabu waliwalawiti wavulana na kubaka kinyume na maumbile wanawake. Matendo haya yaliacha alama kwenye jamii na yakarithiwa kama ya kawaida
Ukiangalia upande wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.